Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wasichana wachache sana wenye huruma + utu kwa mahusband wao. Tena visichana vya chuo ndiyo balaa, wachache ndiyo wanajierewa.
 
Tatz letu tukishasifiwa huko nje na kutongozwa kwa wing huwa tunaona hao waume zetu hawana maana ndio maana vibur vinaanza nakuanza kutafuta viugomvi visivyo namaana
Yaan tujifunze tu kwa kweli, Ila kwenye ndoa kusikizana ndo mpango mzima
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…