Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimkuta akiwa hana ishu mkuu.....kuanzia shule mpaka kuanza kazi ...ila akaja kuota mapembe baadaye
😀😀😀😀😀Wasichana wachache sana wenye huruma + utu kwa mahusband wao. Tena visichana vya chuo ndiyo balaa, wachache ndiyo wanajierewa.
Vizuri tu Anne .Ngoja nikalale niwaachie uzi wenu 😴😴[emoji120]
Unaendeleaje?
Ulale salama M.Vizuri tu Anne .Ngoja nikalale niwaambie uzi wenu [emoji42][emoji42]
Yaan tujifunze tu kwa kweli, Ila kwenye ndoa kusikizana ndo mpango mzimaTatz letu tukishasifiwa huko nje na kutongozwa kwa wing huwa tunaona hao waume zetu hawana maana ndio maana vibur vinaanza nakuanza kutafuta viugomvi visivyo namaana
Ila weweUlale salama M.
Hope pombe tumeacha kabisa[emoji4]
Ausa au tu 😅😅Ulale salama M.
Hope pombe tumeacha kabisa[emoji4]
[emoji16]Ausa au tu [emoji28][emoji28]
Haya bana nawe pia
[emoji38]Ila wewe
Nishakwambia nmekatazwa[emoji38]
Lee kule umeninyima picha.
Niwache bwana nichat na kaka yangu.
Najua ni mbinu za kuninyimaNishakwambia nmekatazwa
Dah sawa mchaga wa Rombo mchaga low gradeWe mchaga wa kishimundu apa Niko naoshwa miguu na babe mama..! Sura personal unajikubali kwa sababu hamna anaweza kukubali kaa na gubu zako hzo na matusi mdomoni ..! Nimewapiga kwenyewe phaller kabisa
Aje na kivuruge wake
ValentinaAje na kivuruge wake
Nakusalimia sanaDah sawa mchaga wa Rombo mchaga low grade
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Dah sawa mchaga wa Rombo mchaga low grade
Leo mbavu huna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Kumbe hili nili shomile linaandika ujinga wake maana hamnaga mchaga mjinga ka yeye, ngoja nimchambe huyuMrombo wapi huyu fala wa bukoba... kuchafuana tu. Humu wanaume wanaojipaishaga tunawaangalia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hela zipo.?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app