Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Tatz letu tukishasifiwa huko nje na kutongozwa kwa wing huwa tunaona hao waume zetu hawana maana ndio maana vibur vinaanza nakuanza kutafuta viugomvi visivyo namaana
Yaan tujifunze tu kwa kweli, Ila kwenye ndoa kusikizana ndo mpango mzima
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom