Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23] unajua tuanzishe kampeni ya kusaidia Hawa wanaume wetu hata kwa michango maana Wana vunja ndoa Kwa vitu vya kijinga kweli kweli kisa uchumi duni tu, Hali inayowapa makasiriko mengi
Tatizo tukiwasaidia wanaenda kugongea wanawake wengine. Na ujeuri juu. Yaan hawanaga shukran wala.kueleweka. hawa usiwape hela hawa. Yaan unaweza liaa kwa hela zako mwenyewe. Ni wachache sana hifadhilika. Unamhurimia, unapeana nae support ila utafurahia ya mbeleni. Akishakua financially free sasa anaogea shower utajuta[emoji23][emoji23] utasikia u aint ma typo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli ma single mother tumeridhika na Hali yetu ujue jukumu letu wanawake ni kuzaa na kuongeza nguvu kazi kwa taifa, I wonder humu kuzaa kwetu kunaumiza wanaume humu
Yaan wanaonaga ndo kama tusi kubwa mno. Yaan kizazi kiwe tusi kweli. Adabu hakuna

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu hata kijijini kwetu watu wanaogea Bomba la mvua, mambo ya kubebeana ndoo kichwani bafuni hamna, hafu niende kwa mwanaume anichoshe kiasi hicho sikunitaftia tu lawama za kijinga hizi jamani.
Lazima tupige kampeni wanaume wafanye kazi kuwe na mabomba bafuni jikoni Ili waache kutulaumu wanawake kwa sababu zisizo na msingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu shirima kazi itakuwa kutumwa tu na kazi yake itakuwa kuchinja na kuchuna mbuzi wa xmass kutengeneza mbege ya sikukuu na kuchoma nyama, Hadi kumenya ndizi
 
Shirima anatafuta hela kwanguvu saa hizi. Akili imemkaa sawa. Hata ingekua ni wewe ungebaki hapa na michano ya jana? Na nitapambana nikazitumie hizo hela. Shirima tambua siendagi gest za kubeba madebe ya maji mimi na bafu la nje. Naendaga hotel. Hili ujue kabisa kokote uliko. Kama uko under budget plz kazana. Nakuja next week kaskazini...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wanafikiri hatuchoki.. hawapendi kweli kazi. Wanategea wanawake walio na kipato kizuri. Ama financial status ya mwanamke. Hapo ndo kitonga chao. After hapo subiria matukio

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu shirima kazi itakuwa kutumwa tu na kazi yake itakuwa kuchinja na kuchuna mbuzi wa xmass kutengeneza mbege ya sikukuu na kuchoma nyama, Hadi kumenya ndizi
Hahaha na hiyo mbege ole wake iwe ngera. Tutamuua. Na kuosha magari yetu...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Na huyu shirima inabidi tumchangie nauli ya kupanda Tilisho au Dar express ya kuelekea rombo tena hyo Dar express iwe Ile VIP tumpe na hela ya nyama na mbege kabisa ya kutumia kipindi cha xmass asije enda huko akaishia tu kutumwa tumwa na watu wenye hela zao.
[emoji23][emoji23] Hafu ujue madai mengine ya kupelekwa maji ya kunywa ni uvivu tu wa wanaume why awe anapelekwa yeye tu na yeye hamupelekei maji ya kunywa, na hili la kunawishwa mikono sikuhizi kuna masink kabisa why ubebe maji kwa jagi la plus kitu ambacho ni uchafu
 
Weweee. Hapa ni michano tuu...
Cariha ndo amenileta hapa. Sisi WEUSI wa kaskazini tumekuja kikazi zaidi[emoji23][emoji23] tumemtanguliza Motra...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mchaga na kuchamba wapi na wapi, unatutia aibu watu wa kaskazee, sisi ni hoja michambo unajua inatoka wapi! Acha hizo habari mtoto mzuri...
 
Mwanaume usijiloge umpe hela au umsaidie majukumu atalemaa na nyingine atahonga michepuko
 
Wanafikiri hatuchoki.. hawapendi kweli kazi. Wanategea wanawake walio na kipato kizuri. Ama financial status ya mwanamke. Hapo ndo kitonga chao. After hapo subiria matukio

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hafu wengi humu wanadaganyana wanaume wanapenda wanawake wenye kazi vile wao ni wavivu, hafu humu wanaponda wanawake wafanya kazi
 
Kwahiyo wewe jukumu lako kwa mwanaume ni kutoa hicho kitumbua tu au na yenyewe huwezi?. Yaani huu ujinga wa haki sawa ndio umetumalizia wanawake.

Kisa nina hela usifanye kazi? Yawezekana hata kupika hujui kisa unasingizia una hela.
Huna hela wewe usingekuwa unalalamika kufuliwa nguo na mkewe kwa mikono, hayo ni malalamiko ya wanaume wasio na hela, wenye hela wanapeleka kwa dry cleaners
 
Kwahiyo wewe jukumu lako kwa mwanaume ni kutoa hicho kitumbua tu au na yenyewe huwezi?. Yaani huu ujinga wa haki sawa ndio umetumalizia wanawake.

Kisa nina hela usifanye kazi? Yawezekana hata kupika hujui kisa unasingizia una hela.
Jukumu kuu langu ni Hilo kutoa kitumbua bila stress, hafu kupika ndio kazi ninayo ipenda sana
 
Unataka vita.. hataki kusikia hajui kupika.. huko kwao yamkini wanapika na hivyo vinyeo.. kuna watu wanashida sana mkuu
 
Nakuomba Inbox Miss Pablo.
 
Na mimi nishachoka kuchangia michango ya harusi..ofisi ninayo fanyia kazi ndoa nyingi zimesha enda ali jojo.
Ndani ya ndoa ni kushindana tu kila mtu anataka kuwa juu mwanamke hataki kushuka kisa ana kazi na mshahara na mwanaume nae anataka aonekane ndiyo father house.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…