miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Tatizo tukiwasaidia wanaenda kugongea wanawake wengine. Na ujeuri juu. Yaan hawanaga shukran wala.kueleweka. hawa usiwape hela hawa. Yaan unaweza liaa kwa hela zako mwenyewe. Ni wachache sana hifadhilika. Unamhurimia, unapeana nae support ila utafurahia ya mbeleni. Akishakua financially free sasa anaogea shower utajuta[emoji23][emoji23] utasikia u aint ma typo[emoji23][emoji23][emoji23] unajua tuanzishe kampeni ya kusaidia Hawa wanaume wetu hata kwa michango maana Wana vunja ndoa Kwa vitu vya kijinga kweli kweli kisa uchumi duni tu, Hali inayowapa makasiriko mengi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app