Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Oohh kwahiyo hata mwanaume awe na kipato kidogo kuliko mkewe bado atatakiwa kusimamia majukumu yake yote like kulipa bills na kumhudumia mkewe na watoto wake? Na asiulize kabisa kipato cha mke wake kinaenda wapi right?
Sasa mwanaume mwenye kipato kidogo wa nini jamani????

Wanaume wote waliojaaa wenye hela na kujielewa jamani.
Chaiiiii mwanamke utalipaje bills jamani???kuhudumia nyumba na watoto ni jukumu la mwanaume.
Kamwe usichukue majukumu yake.
Mwache apambane alete chakula mezani.

Jukumu la mwanaume kuhakikisha mke na watoto wanakula, kulala na kupata mahitaji muhimu ikiwemo elimu bora kwa watoto.
Mwanamke kulipa bills na kusimamia majukumu hii inamuondolea confidence mwanaume na ndo chanzo cha migogoro kama ndoa ya mleta mada.

Kazi ya kipato cha mwanamke ni moja tu kusaidia kuwa msaidizi yaani kujazilia sehemu ndogo sana, kuweka akiba pale mume siku akibanwa unampiga tafu, kuwa huru na kipato chako pia nikiamua kuwatoa out including mume ninatoka nae nalipa bills vizuri tu tunaenjoy maisha. Yeye pia ni binadamu iko siku atakwama, anaweza ugua au kupata matatizo mda mrefu kipato changu na akiba nilizoweka zitatusaidia tusongeshe gurudumu la maisha.

Kwanza kwa kumbukumbu zangu wanaume wasiokuwa na hela wana shida sana,mleta mada ni mmojawapo alizidiwa elimu na kipato na mke wake, ikamuondolea uanaume wake na kupelekea maugomvi na talaka.

Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra.
 
I totally agree with you.

Corporate jobs sio kama kufungua duka Kariakoo unaweza kumuacha kijana na ukaenda nyumbani kuanza kujipikilisha.

Kuna critical meetings ambazo huwezi kujua siku wala saa, kuna deadlines kuna mengi yasiyoelezeka.

Sasa huyo mwanaume kama sio gubu ni nini? Kama nguo zinaweza kutakata kwa kufuliwa na washing mashine kwanini alazimishe mwanamke apinde mgongo kufua nguo zake.

Kama kunaweza kuwa na domestic assistant wa kusaidia kusugua masufuria then why the hell not!

Ndo maana sometimes tunaambiwa tujiangalie katika equality lakini watu wanakuja kuelewa vibaya.

Mwanamme aliekatika same setting ni rahisi kuelewa kuliko dereva wa daladala na ma ovaroli yake.
Wanaume wengi when it comes to house chores ndiyo huwa wanajifanya wako primitive na conservative kutaka mke afanye kila kitu kwa mikono yake na wengine ndiyo hawataki atumie hata mashine! Ukija angalia ni utumwa tu uliojificha chini ya mwamvuli wa heshima kwa mume na bla blah kibao!
 
Mwanaume uliyeoa kufanya kazi za nyumbani ni ubwege... Msijitetee hapa.
Ila mwanamke kukusaidia majukumu yako siyo ubwege? Mkipungukiwaga mnatia huruma kweli utasikia mama nanii nimepelewa na kiasi kadhaa hapa naomba nipige tafu au nunua basi umeme au lipia basi maji hapa mimi sina hela ila mkiambiwa hata kuosha vyombo tu mlivyolia mnakaza misuli!
 
Ndivyo inavyotakiwa baba asimame km baba mpe baba majukumu yake,shida inaanza tunataka tujipendekeze Mara ufanye hiki,Mara kile automatically atajihis inferior tuu...labda aamue kukuomba umsaidie tena sio kila itokee kwa mwaka Mara 1 au Mara 2 hivi!
Pesa yako fanyia mambo yako au kama mnachanga hakikisha yeye amezidi kea kila hatua!!
Mfanye ajiskie baba ,ukitaka kujifanya wewe ndo mwenye uwezo Mara sijui ufanye hiki unnue kile rafiki ,mtakwaruzana tu atajiona hana thamani.

Muache Annue mpk kiberiti,hii Tabia ya kujifanya eti na miye naweza kwa kua na kazi inatugharimu then tunaonekana tuna kiburi tuna jeuri n.k..!!!
Msaidie inapobidi sio ubebe majukumu ya baba au Mme!hamtaelewna never ever....!!!!Ada wewe,pango wewe,Mara sijui kila kitu kaaah,na unamuambia kama huwezi baasi ntafanya mwenyewe...hii mbaya kabisaa ndo tunapofeli hapo!
Yaani mimi naandikaga bajeti ya chakula mwezi mzima, malipo ya dada, king'amuzi, gas, umeme, matumizi ya dada kama pads mafuta matumizi ya watoto , hela ya saloon na lotion hela za kila week za mbogamboga na maziwa.
On top of that ninaomba pesa yangu binafsi ya matumizi kila mwezi, nikitaka kutoa out na vijana anapewa mkeka wake.

Huwezi kumsikia akilalamika sababu ni majukumu yake kwetu.
Nami natimiza majukumu yangu kama mama.

On top of that house chores ananisadia hasa jumamosi tunapokuwa wote home lengo lake ni vijana wetu wajifunze kujihudumia kujipikia walau chai ĺna waweze kujihudumia, usafi wa vyumbani mwao na miili yao.
 
Mwanamke kitamaduni zetu za asili anakuwa ni deputy. Majukumu yake ni ku care household yake na welfare ya mume na watoto.

Kizungu mke ni partner tu ambaye anaishi na mume wakiwa wamezaa watoto! Mume ndio slave wa kubeba majukumu yote ndani mke na watoto. Mwanamke yeye hafanyi lolote yupo kwa ajili ya kulalamika anateswa tu!
Mwanamke hafanyi lolote? Mind you hapa hatuzungumzii hao magolikipa ambao hata ninyi wanaume wa siku hizi mnawakimbia hamuwataki mnataka wanawake wa kusaidiana maisha sasa kwanini usaidiwe wewe tu mwenzio usimsaidie?
 
Upuuzi tu na kuiga wazee wa zamani.

Kuwekewa maji ya kuoga sio vibaya ila vibaya ni kulalamika endapo mtu hujawekewa maji ya kuoga.

Mimi upuuzi huu kwwngu siutaki.
Upuuzi wa kuwekewa maji ya kuoga.
Upuuzi wa kuagiza maji ya kunywa wakati mwenyewe naweza kwenda kuchukua hizi ni puuzi za kuachwa tu hazifai katika jamii ya kitanzania.

Maji ya kuoga unatakiwa uweke mwenyewe chooni.
Tafuta hela aisee watu huwa hawaogei chooni na wala maji ya kuoga hayapelekwi na ndoa bafuni unayakuta huko huko tena yakiwa ya moto.
 
Una confuse kitu gani? Wewe ni mam mfanyakazi je ukirudi home kwako hutataka kumtengea mumeo chakula? Mi nawashangaa sana wanawake wa humu[emoji28].

Nina cousin ni auditor wa TRA na mumewe yuko TASAC. Walianzana jamaa akiwa senior auditor TRA baadae akahamishiwa TASAC. You can imagine uhasibu ulivyo demanding ila mwanamke wakirudi wote kazini anapika wanakula na watoto wao na dada wa kazi yupo lakini[emoji28] saingine wanakuwa hawana dada!

Sijawahi sikia yule binti wa watu akilalamika eti kupika anachoka[emoji28] yani ni aibu na fedhea ila kuna watu humu kufanya kazi ni kisingizio kikubwa[emoji28]
Tofauti ipo kubwa sana mkuu hata ninyi wanaume huwa mnatimiza majukumu yenu kulingana na uwezo wenu kiuchumi! Hivi na sisi tungesema "mbona kuna wanaume wanawanunulia wake zao simu za million 2 mimi wangu ananinunulia za laki 4" ingekuwaje maana msifikiri kwamba ni pesa tu ndiyo ngumu kupatikana mjue hata muda nao ni mgumu kupatikana vile vile kwa mke aliyeajiriwa full time!
 
Kumbe wanaume halisi bado wapo. Suala la kuwanyoosha watoto ni la baba. Sisi tukiwa wadogo mama alikuwa anatwambia kuwa mmekosea ngoja baba yenu aje nimwrleze. Manake suala la nidhamu na kunyoosha vijana ni la baba. Unaogopaje kuwanyoosha wanao kisa mkeo hataki? Ujinga gani huo? Jiulize wakati unamleta hapo nyumbani alikuja na watoto? Watoto ni wako wewe baba na hata huyo mama mkitofautiana ndo maana watoto huwa anawaacha hapo kwa baba. Wanaume amka nyoosha watoto wenu acha kueaogopa wake zenu.
Halafu mwisho wa siku watoto wakiwachukia mseme mama zao ndiyo wamewalisha sumu! Kumbe hali halisi yenyewe ndiyo iko hivi dooh haki wanawake tunasingiziwa kwa mengi!
 
Yaani mimi naandikaga bajeti ya chakula mwezi mzima, malipo ya dada, king'amuzi, gas, umeme, matumizi ya dada kama pads mafuta matumizi ya watoto , hela ya saloon na lotion hela za kila week za mbogamboga na maziwa.
On top of that ninaomba pesa yangu binafsi ya matumizi kila mwezi, nikitaka kutoa out na vijana anapewa mkeka wake.

Huwezi kumsikia akilalamika sababu ni majukumu yake kwetu.
Nami natimiza majukumu yangu kama mama.

On top of that house chores ananisadia hasa jumamosi tunapokuwa wote home lengo lake ni vijana wetu wajifunze kujihudumia kujipikia walau chai ĺna waweze kujihudumia, usafi wa vyumbani mwao na miili yao.
Kama mbele mbele yaani. Maisha ndio hayo sasa. Mungu akupe nini tena.
 
Sawa ila ukichoka zaidi umwambie bek 3 ampe na mbunye kabisa
Kwamba wanaume wanaofanyiwa hayo yote ndiyo hawachepuki siyo? Wanaume mnajulikanaga hamna shukurani siku zote na ndiyo maana siku hizi hatutishiki na hizo kauli zenu za sijui kupandisha mke cheo, sijui kutembea na beki tatu kisa ndiyo anakufanyia kila kitu maana tumeshashuhudia ndoa za wake wanaofanya hayo yote kwa waume zao, na bado wakapandishwa vyeo au kusalitiwa na hao mabeki tatu kama kawaida sasa sijui mtatuambia nini asee!
 
Tatizo watu wanataka mteremko wa kusaidiwa majukumu, mteremko wa kupikiwa, mteremko wa kupasiwa, mteremko wa kuandaliwa maji ya kuoga. Mteremko wa papuchi. HAIWEZEKANI.

Chagua ufanye majukumu yako 100% kama mwanaume, yaani utoe huduma zote za familia au mshirikiane majukumu upoteze kuhudumiwa kama mfalme.
Na hapo kwenye kuchagua ndipo panapowashinda wanaume wengi! Wengi walivyo wabinafsi wanataka vyote wanataka wanawake wa kusaidiana nao maisha and yet wawatreat kama wafalme bila kujali kama wenzao wanachoka ama la!
 
Sasa mwanaume mwenye kipato kidogo wa nini jamani????

Wanaume wote waliojaaa wenye hela na kujielewa jamani.
Chaiiiii mwanamke utalipaje bills jamani???kuhudumia nyumba na watoto ni jukumu la mwanaume.
Kamwe usichukue majukumu yake.
Mwache apambane alete chakula mezani.

Jukumu la mwanaume kuhakikisha mke na watoto wanakula, kulala na kupata mahitaji muhimu ikiwemo elimu bora kwa watoto.
Mwanamke kulipa bills na kusimamia majukumu hii inamuondolea confidence mwanaume na ndo chanzo cha migogoro kama ndoa ya mleta mada.

Kazi ya kipato cha mwanamke ni moja tu kusaidia kuwa msaidizi yaani kujazilia sehemu ndogo sana, kuweka akiba pale mume siku akibanwa unampiga tafu, kuwa huru na kipato chako pia nikiamua kuwatoa out including mume ninatoka nae nalipa bills vizuri tu tunaenjoy maisha. Yeye pia ni binadamu iko siku atakwama, anaweza ugua au kupata matatizo mda mrefu kipato changu na akiba nilizoweka zitatusaidia tusongeshe gurudumu la maisha.

Kwanza kwa kumbukumbu zangu wanaume wasiokuwa na hela wana shida sana,mleta mada ni mmojawapo alizidiwa elimu na kipato na mke wake, ikamuondolea uanaume wake na kupelekea maugomvi na talaka.

Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra.
Japo umenichekesha sana ila umeongea ukweli tupu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila nimeshangaa sana mke hata kumpikia mume wake tuu inakuwa ni big deal eti kisa na yeye katoka kazini!!! Real!! Yaani na makichen utilities yote kwa ajili ya kurahisisha kazi za jikoni bado mtu anakuwa mvivu!! Chaaaa!
Mnanishangazaga sana mnaosema hivi! Sasa kama kuna kitchen utilities za kurahisisha na ninyi mnaona ugumu gani kufanya mkuu maana mambo si yamerahisishwa?
 
Sasa mwanaume mwenye kipato kidogo wa nini jamani????

Wanaume wote waliojaaa wenye hela na kujielewa jamani.
Chaiiiii mwanamke utalipaje bills jamani???kuhudumia nyumba na watoto ni jukumu la mwanaume.
Kamwe usichukue majukumu yake.
Mwache apambane alete chakula mezani.

Jukumu la mwanaume kuhakikisha mke na watoto wanakula, kulala na kupata mahitaji muhimu ikiwemo elimu bora kwa watoto.
Mwanamke kulipa bills na kusimamia majukumu hii inamuondolea confidence mwanaume na ndo chanzo cha migogoro kama ndoa ya mleta mada.

Kazi ya kipato cha mwanamke ni moja tu kusaidia kuwa msaidizi yaani kujazilia sehemu ndogo sana, kuweka akiba pale mume siku akibanwa unampiga tafu, kuwa huru na kipato chako pia nikiamua kuwatoa out including mume ninatoka nae nalipa bills vizuri tu tunaenjoy maisha. Yeye pia ni binadamu iko siku atakwama, anaweza ugua au kupata matatizo mda mrefu kipato changu na akiba nilizoweka zitatusaidia tusongeshe gurudumu la maisha.

Kwanza kwa kumbukumbu zangu wanaume wasiokuwa na hela wana shida sana,mleta mada ni mmojawapo alizidiwa elimu na kipato na mke wake, ikamuondolea uanaume wake na kupelekea maugomvi na talaka.

Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra.
Labda ungewashauri tuu vijana wasioe kabla hawajipanga lkn sio kuwakebehi vijana walio na kipato cha chini katika nchi yenye asilimia zaidi ya sabini ya watu wasio na ajira rasmi tia maji tia maji.
 
Ila mwanamke kukusaidia majukumu yako siyo ubwege? Mkipungukiwaga mnatia huruma kweli utasikia mama nanii nimepelewa na kiasi kadhaa hapa naomba nipige tafu au nunua basi umeme au lipia basi maji hapa mimi sina hela ila mkiambiwa hata kuosha vyombo tu mlivyolia mnakaza misuli!
Kama kazi inakufanya usitimize majukumu yako, iache.

Primary responsibility ya mwanaume ni ku-provide for his family, conversely, ya mwanamke ni ku-take care of her family.

Tuishi humo.
 
Back
Top Bottom