Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hana hela huyu wanaume wenye hela hawatesa wake zao Wana wa spoil tu bila shida, mwenye hela hahaingiki na kubebewa maji bafuni anafikiria madeal makubwa ya hela
[emoji23][emoji23][emoji23]na huyu kopo lake la.kuogea ni lile lina mshikio kabisa muundo wa kata ya mbege. Utafikiri yeye chai anavyoungwa. Bafu lenyewe paspoti saizi. Na madodoki juu aliyoyatoa kijijini kwao[emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uwuuoi, ni singo faza kumbe... ila amelala mapema sana. Amelog out muda kweli. Ama amepata kiposongo saa hizi. Huyu kaka ngoja nimtongoze anioe nike kumnyoosha.

Mzee Shirimaa plz marry me. Mimi ni mtraamuu[emoji23][emoji23] ila jua tukaoana hatuachani. Biashara uje nitangaza singo maza humu na nyuzi nakuua. Nanyofoa hizo kengele na sikuachi bado maana utatafuta meingine. Haikubaliki... nakutaka shirimaa... kwanza una mauno uzazi?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shirima ni so bitter uonevu wake ulimfanya mke ampige na kitu kizito kichwani Sasa hana hamu.
I think shirima kukosa hela kukamfanya Hadi akose nguvu za kiume
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shirima ni so bitter uonevu wake ulimfanya mke ampige na kitu kizito kichwani Sasa hana hamu.
I think shirima kukosa hela kukamfanya Hadi akose nguvu za kiume
[emoji23][emoji23][emoji23]my wake amemkimbiaaaa... amechoka kubeba madebe ya maji ya kuoga. Pia amekasirika mke hamsugui na madodoki ya ule mti gani sijui mgongoni na masagamba yake ya mguuni.. mtu ana masagamba kama samaki halaf anataka mke awe romantic kweli huku anachana mashuka? Hapana. Shirima tafuta pesa kwanza mzee.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Huyo bwege tu hana lolote, anaanzisha vita na wanaume kwani tulishalala nae wote?
Nyie hamjielewi nimeanzisha vita gani nyie mkose hela, msiwe mna wagegeda wanawake wenu hasira zenu mniletee Mimi, tafuteni wake size yenu bwana Mimi Sina vita na wanaume failures kutwa kulia lia humu
 
Siwezi kulala na ndugayembe mimi, huyo ni single maza, single maza huwa ni wakali sana akisikia neno wanaume, si unaona bado amelala katoka kudanga huyo mida ya kuamka saa 5.
Tafta hela Mimi hata sijazaa jibuni hoja hafu usimalizie hasira za kumshindwa mkeo humu JF mkuu, deal naye perpendicularly usingle maza wa watu huku uache
 
Hela ninazo za kutosha, nakushangaa wewe uzi mzima malalamiko kwa wanaume, tumekuoa wote?
Nyie hamjielewi nimeanzisha vita gani nyie mkose hela, msiwe mna wagegeda wanawake wenu hasira zenu mniletee Mimi, tafuteni wake size yenu bwana Mimi Sina vita na wanaume failures kutwa kulia lia humu
 
Nikajua amekutaka kimapenzi huyu... atest zali. Wanaume watakufesheheshaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Basi tu wanaume humu Wana stress nyingi kuanzia ugumu wa maisha na mahusiano basi mie cariha ndio huwa punching bags zao za kupunguza hasira, na ma single father humu Wana ghadhabu mno
 
[emoji23][emoji23][emoji23]na huyu kopo lake la.kuogea ni lile lina mshikio kabisa muundo wa kata ya mbege. Utafikiri yeye chai anavyoungwa. Bafu lenyewe paspoti saizi. Na madodoki juu aliyoyatoa kijijini kwao[emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] unajua tuanzishe kampeni ya kusaidia Hawa wanaume wetu hata kwa michango maana Wana vunja ndoa Kwa vitu vya kijinga kweli kweli kisa uchumi duni tu, Hali inayowapa makasiriko mengi
 
[emoji23][emoji23]kizazi unacho ama huna? Its time tuifanye hii singo maza kama hali zingine ktk jamii na si kosa la jinai... tuwatumie tukiwa na hamu tu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwa kweli ma single mother tumeridhika na Hali yetu ujue jukumu letu wanawake ni kuzaa na kuongeza nguvu kazi kwa taifa, I wonder humu kuzaa kwetu kunaumiza wanaume humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na kutumwa kutengeneza mbege
Na hutakalia viti vya plastic. Ujue shirima huwa matukio kama ya misiba na sherehe ni anatumwa maana anajua kila boma. Kusambaza mbege kwa wajomba, kukatakata nyama ya uviri kwa wageni, kufagia mengele etc.. kuni anazipasuaga kabla ya matukio... tukimaliza sikukuu tunamwachia liten tunasepa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Basi tu wanaume humu Wana stress nyingi kuanzia ugumu wa maisha na mahusiano basi mie cariha ndio huwa punching bags zao za kupunguza hasira, na ma single father humu Wana ghadhabu mno
Eeeh, wana makasiriko tu. Wakimwona mlay anakula bata na mkewe maisha mazuri, christmas kama hv shirima hana nauli basi makasiriko full... mwisho wa siki makasiriko tunapokea sisi. Na ukicheza mke unaanza itwa mlango wa nane. Maji ya kunawa mikoni ulete kwenye kibeseni kweli jaman na wakati masink yapo? Hapa a

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]my wake amemkimbiaaaa... amechoka kubeba madebe ya maji ya kuoga. Pia amekasirika mke hamsugui na madodoki ya ule mti gani sijui mgongoni na masagamba yake ya mguuni.. mtu ana masagamba kama samaki halaf anataka mke awe romantic kweli huku anachana mashuka? Hapana. Shirima tafuta pesa kwanza mzee.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mke wa shirima kampiga shirima na kitu kizito mno, imagine shirima daily kumubebesha mkewe midoo ya maji bafuni, ampikie na Kuni, amsugue mgongo, bado amzalie huku shirima hatunzi mke kabisa ataacha kukimbiwa kweli na mkewe?
Kiukweli shirima atafte hela kwa bidii na uzuri mwaka unaisha had mwakani ka sahizi atakuwa vizuri kiuchumi.
 
Back
Top Bottom