MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Naam kamanda, hupokea ruzuku ni kuhalalisha uharamia wa Chama Cha Mapinduzi.Nitaweka pressure kubwa hizo pesa zirudishwe haraka sana. Ukitaka kuwa msafi mbele ya jamii kwa kukataa uchaguzi haramu hivyo hivyo pesa haramu ikataliwe.
Nashukuru sana mkuu, kwahiyo ubunge na ruzuku vyote vimepatikana kutokana na kura za Lissu !!!!Sababu kubwa ya kupata Ruzuku ni wingi wa idadi ya kura za urais walizopata Chadema wala siyo wabunge. Ndiyo maana hata NCCR MAGEUZI kapewa ruzuku wakati hata mbuge mmoja hana.Hata hao wabunge 19 walioasi chadema wamepatika kupitia wingi wa kura za urais. Kwa hiyo hata kama Chadema haitakuwa na Mbunge ruzuku watapata tu kutokana na wingi wa kura za urais walizopata hata wakawa nafasi ya pili baada ya CCM
Duuh (Dola za Kimarekani )$3 Trillion za Kimarekani ni sawa na TZS Trillion 8000 hivi za Kitanzania.
Umoja wa Mataifa walitupatia lini haya mapesa kamanda BAK ???
Hebu pitia tena hizo takwimu zako mkuu.
Bado bi kidude na mke wake
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za mitaa ( LAAC )
Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Mkuu labda ni $ 3 Billion na siyo Trillioni.Hiyo pesa inatolewa kwa miaka mitano kama sikosei hadi uchaguzi mwingine. Unadhani kwanini maccm yalihangaika hadi kufoji signature ya Mnyika ili kuwaingiza COVID-19 Bungeni!?
Naam kamanda, hupokea ruzuku ni kuhalalisha uharamia wa Chama Cha Mapinduzi.
Shawishi makanda wagome na wazirudishe haraka sana, Aluta Continua.
Dada Erythrocyte umesikia kamanda BAK anasema rudisheni ruzuku.
Ccm wanachukua ruzuku kwani wameshinda kihalali?Kama mlishawafukuza mnawafuatilia wa nini? Mbona ruzuku mnachukua kimya kimya?
Mkuu labda ni $ 3 Billion na siyo Trillioni.
Ila ruzuku mnazopokea halali.Bunge haramu, msitegemee kipya chochote kutoka kwenye hili Bunge haramu. Bora tu Mkoloni angerudi kuliko kuwa na hawa wahuni.
Ila ruzuku mnazopokea halali.
Labda kwenye mahakama za huko nje, maana za Tz siyo huruHivi haiwezekani kufungua kesi
Toka lini nyumbu wakawa na msimamo? Aliyewapa hii title aliona mbali Sana.Ila ruzuku zitokanazo na hawa wabunge Chama kimechukua?
Hebu CHADEMA kuweni na misimamo ili tujue moja.
Ila ruzuku mnazopokea halali.
Akikutajia utaratibu uni tag. Hapo nyumbu atakuja na matusi Wala siyo majibu.Kwakweli sina kabisa akili na wala hujakosea ndugu yangu katika hili.
Haya basi nielekeze wewe mfumo mzima wa Ruzuku ukoje na sheria husika.
Ukinielekeza mfumo mizma ukoje na sheria zinazosimamia hili suala utakuwa umenisaidia mno.
Una akili Kama kuku kweli.Ni bora wakoloni wangerudi kuliko haya yanayoendelea.
Uko sahihi kabisa mkuu,..Ni serikali imewalipa, wakati Cdm wamesema hawayatambui matokeo.
..sasa kwanini serikali inakilipa chama ambacho kimetoa matamko kwamba hakitambui matokeo?
..Serikali izichukue fedha hizo kwa mtindo uleule ilioutumia kuwalipa Cdm.
..pia Mbowe ktk hotuba yake amedai kuna jinai imetokea ktk suala la wabunge wanawake wa Cdm walioapishwa na Spika.
..Tanzania ingekuwa na watu makini wangechunguza ni nani aliidhinisha wabunge wale kwenda bungeni. hakuna kikao cha Cdm kilichoitishwa na kukaa kuthibitisha majina ya wabunge wanawake.
..Tunajenga tabaka la watu ambao wako juu ya sheria na itakuja kutugharimu mbele ya safari.
Mkuu hueleweki kama unalia au unalalamikaKwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu,pambana na hali yako,si umemuona Maalimu halafu huo usaliti mbona haupo kwenye ruzuku anayochukua Mbowe?basi kataeni na ruzuku ndio tuwaone wa maana.
Vutenii mikwanjaa tuuu. Mnawabania wamama wawatu kisa tuuu wake zenu hawamo.Nani kakudanganya kwamba ruzuku imetokana na hawa wasaliti ?
Uko sahihi kabisa mkuu,
Kwanini serikali itoea ruzuku kwa chama ambacho hakiyatambui matokeo.
Jibu ni rahisi tu: Kuhalalisha uharamia wake iliyowafanyia watanzania mwaka jana.
Tatizo langu kubwa ni kwanini CHADEMA wapokee ruzuku ilhali wakijua ni pato la aibu ???
Ukikataa kuishi kwenye kasri la mfalme, basi kataa hata kunywa mvinyo utokao mezani kwake.
Suala la uvunjifu wa katiba kuhusu uteuzi wa viti maalumu liko wazi kabisa na lina hatari sana huko mbeleni,
Lakini pia kama CHADEMA watakubali ruzuku na kuhalalisha uharamia wa CCM wao pia watapoteza uhalali kisiasa.
Idadi ya kura ktk uchaguzi mkuu uliopitaNini kimewafanya CHADEMA wapate ruzuku kubwa kuliko vyame vingine vya upinzani ???