Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Masele ni kijana wa Msoga gang,lolote laweza tokea,au naibu.
Spika ni Tulia!. Sio mimi, ni sauti!.Huyu Tulia baada ya Statement zake za leo tutegemee Bunge kutokuwa tu a Rubber Stamp bali hio Stamp itakwenda kabisa Ikulu ili wamalize huko huko hakuna haja hata ya ku-consult Bunge
Spika ajaye ni Dr. Tulia Akson!.Tulia hatakiwi kugombea, anatakiwa aendeshe mchakato wa kumpata spika.
Sasa anaachia kiti alichopewa kikatiba kugombea kingine bila kuwepo anayekaimu...
Hujaona alivuomponda Ndugai?Tulia ni mtu wa hovyo sana.
Yule mbele ya maslahi hata bwana ake lazima amgeukeHujaona alivuomponda Ndugai?
Huko ni kujikomba
Dkt Tulia ackson ni Kiongozi mzuri na makini Sana. Anajua vitu vingi na yupo very smart kwenye speech zake. Akiongea unasema kweli kiongozi ameongea.Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania...
Wengine msitake kuwa chokoza watu,mwisho mtasikia mwingine katoka mbiooo🏃.Dr Tulia Ackson.
Ni msomi
Ni mwanasheria...
Sio tuu msomi lakini pia ana uzoefu wa kuongoza Bunge na ni mwanasheria.Dr Tulia Ackson.
Ni msomi
Ni mwanasheria
Ana uzoefu sasa wa u spika...
Alitoa ufafanyzi wa executive kadiri ya Katiba yetu,hukusikia au nongwa?Mwanasheria asiejua sepation of power?
Hatutaki nungayembe kama Ndugai.Mwanasheria asiejua sepation of power?
Kwani rangi ya kijani Ina matabaka,nduio maana hawaoni sababu ya kubleach kijani yenyewe.Mwanasheria asiejua sepation of power?
Dkt Tulia ackson Ni Kiongozi mzuri na makini Sana. Anajua vitu vingi na yupo very smart kwenye speech zake. Akiongea unasema kweli kiongozi ameongea.
Alitoa ufafanyzi wa executive kadiri ya Katiba yetu,hukusikia au nongwa?
Pili Kazi ya spika sio kufarakana na kuchonganisha mihimili na wananchi
Sio tuu msomi lakini pia ana uzoefu wa kuongoza Bunge na ni mwanasheria.
Ukiacha hilo ni mwanamama ngangari kweli kweli ambae atalinda maslahi ya ccm na wananchi.
Kuns watu vichwa vyao vimejaa mlenda sanaAcha kupotosha, Bunge sio taasisi ya chama ambapo speaker anaenda kulinda maslahi ya CCM. Bunge ni chombo Cha kuwakilisha wananchi katika maamuzi ndio maana wabunge wanachaguliwa na wananchi. Hiyo kazi ya kulinda maslahi ya CCM bungeni ni uhuni Kama uhuni mwingine.
Katika makosa na kosa litakalofanywa na CCM ni kumchagua Tulia kuwa tena spuka. Mihimili ni mitatu miwili inakwenda kubwebwa na wamama na mhimili wa tatu upo hai hai kuchukuliwa na wamamama.Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania
Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick Nkamaha. Mchakato huu umeanza baada ya CCM kutangaza kutaka muwakilishi kugombea nafasi iliyoachwa na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai
- Patrick Nkamah
- Stephen Masele
- Tulia Ackson Mwansasu
- Godwin Kunambi
- Hamidu Ubaidi Chamani
Sio taasisi ya chama ila waliomo ndani ni wanachama wa vyama kwa hiyo Wana wajibu wa kulinda interests za chama Chao.Acha kupotosha, Bunge sio taasisi ya chama ambapo speaker anaenda kulinda maslahi ya CCM. Bunge ni chombo Cha kuwakilisha wananchi katika maamuzi ndio maana wabunge wanachaguliwa na wananchi. Hiyo kazi ya kulinda maslahi ya CCM bungeni ni uhuni Kama uhuni mwingine.