Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Chadema!Anapitia chama gani!!
.........Chadema!
Spika wa Bunge Nabii komandoo mashimo. HahahahMchungaji na Nabii Komando Mashimo ambaye hupatikana zaidi stendi ya Mbezi kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza nia yake ya kugombea nafasi ya "sipika" wa Tanzania. Pia aliitag ukurasa wa bunge kuonyesha msisitizo. Kama akishinda itakuwa mara ya kwanza bunge letu kupata spika anayetoka kwenye taasisi za dini.
View attachment 2076875
Unavuta bangiahaaaaa mazungu ya ungaa kama hili ndiyo yanafaaa kuliongeza bunge la 'mazungu' ya unga ya mama samiaa,
????^kuweka maslahi mapana ya Taifa letu^
Itakuwa amekuwa hivi kuanzia awamu ya 5, ila Zungu alikuwa fair sana wakati wa bunge la Mama Makinda. UnajuaZungu huwa simwelewagi kabisa akikalia kiti. Kuna muda hoja ya mbunge ikitolewa, huwa anasimama kama serikali kuitetea. Ana jazba, hana subra na ana majibu ya hovyo sana kwa mbungr kama hapendezwi na hoja..
Bora tulia wangu apende cheo..
Anafaa kwenye nafasi hiyo na ana uzoefu mzuri katika mambo ya Bunge.Mussa Hassan Zungu ambaye ni Mbunge wa Ilala amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za makuu ya CCM Dodoma leo...