Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele
Nafasi iliyowazi ni ya spika,hiyo anayotaka ya sipika labda kuna taasisi nyingine anayoijua yeye ndio anataka kugombea huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mashimo hizi habari njema mbona hajatupasha leo pale Mbezi kwenye foleni ya mwendokasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]



Pep mambo ni mengi baba huku mjini[emoji2960][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
 
Mchungaji na Nabii Komando Mashimo ambaye hupatikana zaidi stendi ya Mbezi kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza nia yake ya kugombea nafasi ya "sipika" wa Tanzania. Pia aliitag ukurasa wa bunge kuonyesha msisitizo. Kama akishinda itakuwa mara ya kwanza bunge letu kupata spika anayetoka kwenye taasisi za dini.

View attachment 2076875
Spika wa Bunge Nabii komandoo mashimo. Hahahah
 
Mussa Hassan Zungu ambaye ni Mbunge wa Ilala amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za makuu ya CCM Dodoma leo.

"Kiti cha Spika kipo wazi na nafasi hii ina utaratibu wake wa kujazwa na kuombwa na kuombwa kwake ni kujaza fomu na Viongozi wa Chama watapitia maombi yangu na kutazama kama ninatosha basi watatoa majibu, kikubwa ni kumshukuru Mungu, kikubwa ni kuiombea Nchi yetu kuendelea na amani na kikubwa ni Tanzania tuwe wamoja kuweka maslahi mapana ya Taifa letu"- Zungu

 
Daktari wa falsafa naye kajitosa.
IMG-20220111-WA0019.jpg
 
Zungu huwa simwelewagi kabisa akikalia kiti. Kuna muda hoja ya mbunge ikitolewa, huwa anasimama kama serikali kuitetea. Ana jazba, hana subra na ana majibu ya hovyo sana kwa mbungr kama hapendezwi na hoja..

Bora tulia wangu apende cheo..
 
Zungu huwa simwelewagi kabisa akikalia kiti. Kuna muda hoja ya mbunge ikitolewa, huwa anasimama kama serikali kuitetea. Ana jazba, hana subra na ana majibu ya hovyo sana kwa mbungr kama hapendezwi na hoja..

Bora tulia wangu apende cheo..
Itakuwa amekuwa hivi kuanzia awamu ya 5, ila Zungu alikuwa fair sana wakati wa bunge la Mama Makinda. Unajua
 
Back
Top Bottom