Kulikuwa na kura ya kupigia Israel itsmbuliwe Kama nchi swala ambalo ni kinyume na taratibu za UN.. hawa wasituone si ma lofa bhanaKumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine.
Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea.
View attachment 2137041
Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha:
View attachment 2137034
View attachment 2137035
Source: NPR Cookie Consent and Choices
Oppressor Ni nani Sasa katika mgogoro huu?!
Kulikuwa na kura ya kupigia Israel itsmbuliwe Kama nchi swala ambalo ni kinyume na taratibu za UN.. hawa wasituone si ma lofa bhana
Hii vita lawama zote ni kwa Mmarekani.. Kama kawaida yake anachonganisha alafu anakaa pembeni
... msome Archbishop Tutu and Rev. King Jr. hapo juu about what does neutrality or silence mean in such a situation (of injustice)!Mbona marekani anapoanzisha matimbwili yake huwa hawapigi Kura..?
Sisi tupo neutral hatutaki kuegamia sehemu moja wasituchoshe.
Binafsi Mmarekani asingekua nyuma ya Ukraine ningesimama na Ukraine. Siwezi side na Ukraine wakati najua vita ni ya mmarekani.
Mungu mbariki mChina japo ana maudhi yake amejua kumkwamisha mmarekani kwenye mambo mengi ya uonevu
... in a situation of injustice; we can't say we are neutral or silent!Kama nchi hatufungamani na upande wowote, ila wananchi mmojammoja wana maoni yao
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabadilishe viongozi wa Russia na Ukraine mioyo yao watafute Suluhu nje ya vita
Ningekuwa na hela ningekuoa malaika
... ha ha ha! Eti Tz yasitisha msaada wa USD kwa Urusi! Wakati baada ya sentensi moja tu kwenda viral kuhusu aliyelipia tangazo lile la Burj Khalifa kila msemaji huko serikalini alitoka na statement yake!
Hatuwezi kufanya maamuzi kisa tu kina fulani walisema nini!.. kukaa kimya nayo ni maamuzi.... msome Archbishop Tutu and Rev. King Jr. hapo juu about what does neutrality or silence mean in such a situation (of injustice)!
βIf an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality.β - Archbishop Tutu. Kwenye hili sakata bado hujaweza kutofautisha elephant na mouse?Oppressor Ni nani Sasa katika mgogoro huu?!
Baada ya corona kupotezewa na wanokulipa Naona umekuja Kwa mada mpya ππ
Mungu ibariki pia chademaKama nchi hatufungamani na upande wowote, ila wananchi mmojammoja wana maoni yao
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabadilishe viongozi wa Russia na Ukraine mioyo yao watafute Suluhu nje ya vita
βIf an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality.β - Archbishop Tutu. Kwenye hili sakata bado hujaweza kutofautisha elephant na mouse?
Kwa hiyo kwa sababu tu Marekani yupo nyuma ya Ukraine, ni heri kwako waendelee kuuliwa?Binafsi Mmarekani asingekua nyuma ya Ukraine ningesimama na Ukraine
Mungu mbariki mChina japo ana maudhi yake amajua kumkwamisha mmarekani kwenye mambo mengi ya uonevu