Mbona unasimama na Israel dhidi ya Palestina na waarabu wengine wakati Marekani yuko nyuma ya Israel?!
... in a situation of injustice; we can't say we are neutral or silent!
Mungu ibariki pia chadema
Kwa hiyo kwa sababu tu Marekani yupo nyuma ya Ukraine, ni heri kwako waendelee kuuliwa?
Kwa hiyo kwa sababu tu Marekani yupo nyuma ya Ukraine, ni heri kwako waendelee kuuliwa?
Kama nchi hatufungamani na upande wowote, ila wananchi mmojammoja wana maoni yao
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabadilishe viongozi wa Russia na Ukraine mioyo yao watafute Suluhu nje ya vita
Tanzania ya sasa ni boya tu! Waziri wetu wa nje naye kama mtoto anayejifunza kuongea. UNawezaje kujitokeza vita hii wakati vita ya Libya tulikuwa kama mabwege tuKumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine.
Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea.
View attachment 2137041
Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha:
View attachment 2137034
View attachment 2137035
Source: NPR Cookie Consent and Choices
Tanzania ya sasa ni boya tu! Waziri wetu wa nje naye kama mtoto anayejifunza kuongea. UNawezaje kujitokeza vita hii wakati vita ya Libya tulikuwa kama mabwege tu
Sheria za kimataifa na za kiasili zipo wazi. Mrusi kamvamia Ukraine ilihali Ukraine hajafanya chochote dhidi ya mamlaka ya Urusi.Wewe ulitaka tusemaje? Na kwa sababu zipi?
Sheria za kimataifa na za kiasili zipo wazi. Mrusi kamvamia Ukraine ilihali Ukraine hajafanya chochote dhidi ya mamlaka ya Urusi.
Sababu za kusema Ukraine kutaka kujiunga na NATO kunahatarisha usalama wa Urusi, ni falsafa duni na ya kufikirika. Ukraine, kama nchi ina mamlaka ya kujiunga na jumuia yoyote alimradi havunji sheria za kimataifa.
Urusi imajaza makombora ya nuklia, je nchi nyingine zinazopakana na Urusi hazipo kwenye hatari kutokana na Urusi kumiliki makombora hayo? Je, mataifa hayo yana haki ya kuua raia wa Urusi?
Urusi inaendesha primitive politics ambazo hazikubaliki na mtu yeyote mstaarabu, mwenye hekima na akili timamu.
Maccm hamtabiriki mmemsaliti dikteta mwenzenu rassiaKama nchi hatufungamani na upande wowote, ila wananchi mmojammoja wana maoni yao
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabadilishe viongozi wa Russia na Ukraine mioyo yao watafute Suluhu nje ya vita
Mama D, inaonekana hukuelewa hata falsafa ya kutofungamana na upande wowote.Hakuna niliposema Ukraine wauwawe. Nilichosema mwanzo kabisa hicho hapo chini
Tuelewane
KAA KMYANi upuuzi mkubwa kwa Tanzania kushindwa kupiga kura kwa jambo lililo wazi ka hili. Ni aibu kubwa!!
Tanzania ya Mwalimu, haikuwahi kuwa na kigugumizi katika sualq lolote linalohusu haki. Tulikemea kwa haki na kuoiga kura dhidi ya Israel pale Israel ilipowaua raia wqkqti wanawashambulia wapiganaji wa kipalestina, licha ya kwamba israel ilikuwa imetufanyia mambo mengi: kutujengea UDSM, mafunzo ya JKT, mafunzo ya makamanda wetu, na hata miradi ya kilimo.
Tusifikiri tupo salama sana kwa kujifanya popo. Tutasuswa na wote.
Ninaamini una uelewa wa kutosha. Usisikilize habari za vijiweni. Ukraine amefanya nini dhidi ya Russia? Nimekaa kidogo Urusi, Ukraine, Poland, na zaidi nchi za Magharibi.Sema ukweli buana. Huyo mrusi kamvamia Ukraine bila Ukraine mwenyewe kumchokonoa??
Ukraine wameingizwa mkenge na America
Na sasa America wenyewe wametulizwa na Putin haswa baada ya Kim na China kuwa wakweli
Mungu saidia marais wa Ukraine na Russia wapate mioyo ya huruma kwa watu wao na ufahamu wa kuwajua maadui zao