Ingetegemea huyo kijana ni muoga kiasi gani na anazitambuaje haki zake kisheria katika hii nchi.
Hivi nahisi ingekuwaje au kingetokea nini kama huyu jamaa angekuwa mjeda yupo full battle in dressing?
 
Wewe umejuaje hizo ni ofisi na premises za Usalama wa Taifa?
Kuna kibao, bango, alama au maneno gani yanayopatambulisha hapo kama eneo la Usalama wa Taifa?
 
Hao usalama wa taifa hawana kazi ndo mana wanadeal na vitu vidogo sana, siku wajichanganye wadondokee kwangu niwaonyeshe mafunzo niliyoyapata kwa Putin

полное невежество
[emoji16]
 
Wewe mpumbavu hapo kuna ishara, bango au kibao kinachoonyesha ni eneo laUsalama wa Taifa?
Watu wanachukua video Langley kwa CIA ndio uje kutishia watu na hapo.
Mshamba kweli wewe.
Hahaha naona umemjibu mwamba hapo ipasavyo

Miaka ya 90 maeneo yao tulikuwa tunakatiza safi tu,wenyewe hata hawaulizi, sijui nani alikuja na idea hiyo ya kupiga pini maeneo yao watu wasikatize

Ova
 
H Hadi tukio limetufikia yumkini mchukua Picha kaashatolewa na mjomba wake.
 
walipaswa kutumia busara na hekima kuliko kuonyesha umwamba kwa adui ambaye hawezi kuwazuia kufanya chochote..

Wahusika wangesimama kistaarabu mbele ya macho ya jamii, wangeita polisi aka Traffick na kuruhusu polisi walihandle suala kipolisi kama kweli dogo ana makosa, kama wao ndio wenye makosa walipaswa kumpotezea dogo au hata kumuomba samahani maana wangemsababishia madhara...

Kazi ya vyombo vya usalama ni kulinda raia na mali zake na mwisho kabisa wana kazi zao critical kuliko kudeal na mambo kama haya.... Hii ni hatari kwa vyombo vyetu na hali hii inatengeneza picha mbaya...
 
Hao ndio maana Hamza,aliwapa za kichwa na alikuwa mmoja,wangekua wawili au watatu leo ingekua story nyingine
 
Hao ni wepesi sana taarifa zikifika ngazi za juu. Maafisa wa juu wa jeshi huwa hayapandi raia kuonewa.
 
Hao ni wepesi sana taarifa zikifika ngazi za juu. Maafisa wa juu wa jeshi huwa hayapandi raia kuonewa.

Hayupo mwenye kupenda hali hii. Bila shaka hata wao waliko tayari wanajuta kuzaliwa.
 
Sio wanajeshi hao, hata TISS wanaona ufahari kuvaa nguo za kijeshi jeshi.

Kiswahili kigumu ndugu. Hivi unajua hata mgambo ni wanajeshi? Au kwako mwanajeshi ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…