TISS hawajawahi kuwa na busara, yaani wanajiona ndio wenye nchi wanasahau kuwa hii dunia ni ya MUNGU na vyote vilivyomo ni mali ya MUNGU,na kwamba wao sio mawe ipo siku watatoka ktk nyadhifa zao na kurudi uraiani,na Kuna kufa pia.Hawajiulizi tu kuwa Dunia ilishawahi kuwa na watu wabababe na wenye Kiburi na jeuri lkn leo hii hawapo tena walikufa kifo cha aibu sana.
 
Kijana wenu amekosea bila kujari ni nani alianza na kukosea.

Msivimbishane vichwa au kichwa, kijana amekosea sana, kuna sehemu haziruhusiwi hizo camera wala video, siwezi kutetea upuuzi wa namna hii.
 
Weka chuki zako binafsi pembeni, ni Afisa gani wa Tiss amekutendea uovu? Sema hapa sasa hivi.
 
Kijana wenu amekosea bila kujari ni nani alianza na kukosea.

Msivimbishane vichwa au kichwa, kijana amekosea sana, kuna sehemu haziruhusiwi hizo camera wala video, siwezi kutetea upuuzi wa namna hii.
Kwani hizo sehemu ni mbinguni? Et kuna sehemu haziruhisiwi camera! What is so special there?
 
Weka chuki zako binafsi pembeni, ni Afisa gani wa Tiss amekutendea uovu? Sema hapa sasa hivi.
Wewe ni TISS???.Km ni TISS na una tabia za kuonea watu acha mara moja, Mwenyezi MUNGU hayupo mbali,yu karibu Sana kututetea wanae tunaoonewa na wenye nguvu na mamlaka.

Unataka Mimi niweke wazi hapa kitu ambacho hakiwezekani kwasababu nitakuwa tayari nimejiexpose kwenu.Kifupi kuna TISS mmoja alinitishia kuniharibia maisha kisa na mkasa ni Mimi kukataa maelekezo yake yaliyokuwa na mlengo wa kunikandamiza.

Elewa hivyo Mkuu,kuwa TISS walio wengi wanatumia vibaya nafasi zao.
 
Kupuuza haisaidii, bali kutowa elimu nadhani ndio usahihi.
Kitaratibu kijana amekosea sana kurusha video mtandaoni, Je kiuhalisia ilikuwa sahihi kwa bwana yule kumpeleka pale?
 
Kitaratibu kijana amekosea sana kurusha video mtandaoni, Je kiuhalisia ilikuwa sahihi kwa bwana yule kumpeleka pale?

Kupeleka habari mtandaoni imesaidia sana kuyaanika maovu ya watu hawa kinyume cha sheria.
 
Ndio shida ya okota okota wanabeba failures huko kila kitu ni matumizi ya nguvu.
 
Kupuuza haisaidii, bali kutowa elimu nadhani ndio usahihi.
Matola wengi elimu haiwaingii mpaka washuhudie kwa vitendo, wangekuwepo 1979 baada ya Vita vya Kagera ndio wangejua Jeshi ni tofauti na raia iwe mitaani au maeneo yao.
Yule kijana hakuwajua wale NI TISS ndio maana hataki kurudi tena kutoa ushuhuda adhabu alizopata, na Mbunge wake
Simu wamempa na Gari lkn bado anawachokoza kurusha clip.
Na mm nimewaacha acha watajitunza Jeshi ni nini?
 
Kwani pamoja na udhwalimu ule hawaja wajibishwa bado?
 
Kwani pamoja na udhwalimu ule hawaja wajibishwa bado?
huwezi kuwaadhibu colleague wako, hiyo ofisi au Kambi si watakususia?
kila kitu kinafanyika kwa kubebana, hujafika kituo cha mung'anda unataka kumtoa mtu wako hana kosa kaonewa ukawaona jinsi wanavyobadilika, husaidiwi.
kuna jamaa yenu wa Katiba Mpya alitangaza kuwa wamesimamishwa kazi nikamshangaa yule Mangi
Hiyo ofisi inatangaza nafasi za kazi leo wawasimamishe wenzao waliotumwa wakafanye ambush wakazuiwa na ki Oppa eti taa za kijani zimewaka ndio zamu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…