Hii inaitwa kumtia mtu j"mba j*mba tu mkuu. Wamelikoroga huko halafu bado hana adabu.

Wanaita a gentleman reminder - na ajue kuchutama hakuna mwenyewe.
 
Tukiachana na tukio hili ambalo limetokea getini kwao, wewe hao Tiss wanaokutishia umewatambuwa vipi kama ni watumishi wa idara? Maana hawana uniform wewe unawajuwa vipi?
 
Tukiachana na tukio hili ambalo limetokea getini kwao, wewe hao Tiss wanaokutishia umewatambuwa vipi kama ni watumishi wa idara? Maana hawana uniform wewe unawajuwa vipi?
Matola anateseka sana jamani.
 
Matola anateseka sana jamani.
Anawaelimisha jamani ili mjue majukumu ya Jeshi kuwa lipo chini ya Mabeyo, maana wengine wanamfananisha na Sirro au Yule wa ZIMAMOTO
JKT ingerudi kwa wote haya maswali na nidhamu visingekuwepo, si lazima Vita viwepo hata humu ni tosha kabisa.
 
Wengi wanajumuisha hili tukio na TISS kwa ujumla..

Hao ni baadhi ya maofisa wachache wenye weledi mbovu.

Ikumbukwe na wao ni Binadamu + Mamlaka + Utashi + Mihemko = Kukiuka sheria.
 
Anawaelimisha jamani ili mjue majukumu ya Jeshi kuwa lipo chini ya Mabeyo, maana wengine wanamfananisha na Sirro au Yule wa ZIMAMOTO
JKT ingerudi kwa wote haya maswali na nidhamu visingekuwepo, si lazima Vita viwepo hata humu ni tosha kabisa.

Kwani jkt ilipokuwa lazima, watoto wa vigogo kama kina Mwinyi jnr walitia mguu huko?
 
Warudishe wasirudishe. Polisi, TISS na Magereza sio wanajeshi. Nchi nyingine polisi wanaitwa department au service tu.
Mwanajeshi ni yule anayepigana vita, huoni Ukraine mpaka wafungwa wameingia front kupigana vita?
hata wewe ni mwanajeshi endapo pale tu likitokea utavaa uniforms utasonga mbele...

Nguo au rangi za nguo zisikutishe.
 
Wenyewe huwa wanajita wenye nchi, Wanajiona wao ndio kila tu. Wapuuzi kabisa CCM ndio inawalea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…