Kiuon hata mama yako amekata ndio maana ukazaliwa wewe , wachaga wapi unaleta umuhimu kwenye maisha ya watu ..Safisheni meno kwanza.Kalieni kukata viuno vyumbani wapuuzi wakubwa nyie, wagosi kazi kubwa nyie ni kufanya vibarua kwa wachaga
Meno imara ndiyo maana huwezi kuona mtu mwenye meno ya rangi anaumwa jino, fanya utafiti mgosi, kusema kweli nyie wagosi ni vibarua wa wachaga kitambo sn, Tanga, Lushoto kumejaa wachaga tupu nyie mpo kwenye minazi.Kiuon hata mama yako amekata ndio maana ukazaliwa wewe , wachaga wapi unaleta umuhimu kwenye maisha ya watu ..Safisheni meno kwanza.
Tokeni tunawauzia dawa zile mpate tabasamu ..Walevi nyie nendeni kwenu sio kama watumwa ....Mnataka tuwaunge mkono never! tumejitambua kabla yenu hamna uwezo wa kutuongoza .Meno imara ndiyo maana huwezi kuona mtu mwenye meno ya rangi anaumwa jino, fanya utafiti mgosi, kusema kweli nyie wagosi ni vibarua wa wachaga kitambo sn, Tanga, Lushoto kumejaa wachaga tupu nyie mpo kwenye minazi.
Mgosi acha ubaguzi, mbona kuna wasambaa na wagosi kibao Moshi wanafanya vibarua wengine wanasaidia kwenye ulinzi? uchumi wa Tanga 80% unatokana na wachaga, usifukuze maendeleo.Tokeni tunawauzia dawa zile mpate tabasamu ..Walevi nyie nendeni kwenu sio kama watumwa ....Mnataka tuwaunge mkono never! tumejitambua kabla yenu hamna uwezo wa kutuongoza .
Ukianza najibu mapiga bila kujali ,,Endelea kuleta shobo kwenye maisha ya watu .Mgosi acha ubaguzi, mbona kuna wasambaa na wagosi kibao Moshi wanafanya vibarua wengine wanasaidia kwenye ulinzi? uchumi wa Tanga 80% unatokana na wachaga, usifukuze maendeleo.
Sshv tusilale hivi hivi jmnMlango unavunjwa mtu anapigwa mpaka wanaondoka naye, sahizi wanatafuta nini! Yaani walishindwa nini kutoka muda huo? Na wao utazani wala urojo tu!
Kwani uongo kuna wasambaa wangapi Moshi na Arusha wanatusaidia kazi ndogo ndogo kama ulinzi, kuuza bar, mashambani na kulisha mifugo? sisi ni nguzo ya uchumi wa Tanga na nchi kwa ujumlaUkianza najibu mapiga bila kujali ,,Endelea kuleta shobo kwenye maisha ya watu .
SIJAELEWA MKUU. "hao waliomuua Mdude" kwani mdude ameuwawa?.Sema nyie silent killers hao waliomuua Mdude mngewawinda mmoja mmoja na kuwakaribisha kwenye mbege yenye sumu.
Mtu asipofanya kazi unasema , mbona una nongwa wewe muoza meno ? Ulitakaje sasa au wanafanya bureKwani uongo kuna wasambaa wangapi Moshi na Arusha wanatusaidia kazi ndogo ndogo kama ulinzi, kuuza bar, mashambani na kulisha mifugo? sisi ni nguzo ya uchumi wa Tanga na nchi kwa ujumla
Nchi ni ya Mungu jmnNdio wenye nchi...
Mgosi sisi ni nguzo yenu ya uchumi, wakati mnakata viuno wachaga wanatafuta pesa ili baadae mfanye vibarua, Lushoto utadhani upo Rombo wachaga tupuMtu asipofanya kazi unasema , mbona una nongwa wewe muoza meno ? Ulitakaje sasa au wanafanya bure
Siku mumeo akitekwa utajua hujuiNo offense:
Wenzetu wanakula mgomba huko na mpunga wa kutosha
Sasa mimi pangu pakavu tia nchuzi Dar huku wanauza kila kitu mpaka maelekezo niache kutafuta hela nikamtafute Mdude kweli? Ah mtatusamehe jamani
Yakikukuta ndo utaelewa maana ya kusimama kutetea haki. Endelea kupuuzia mambo ya msingi.No offense:
Wenzetu wanakula mgomba huko na mpunga wa kutosha
Sasa mimi pangu pakavu tia nchuzi Dar huku wanauza kila kitu mpaka maelekezo niache kutafuta hela nikamtafute Mdude kweli? Ah mtatusamehe jamani
Nimewavulia kofiaMbeya ni state
Salute to you Waisa. Mmenikosha sana.There's a lot of family squabble were I'm from. But when a family member gets into trouble we put everything aside and attack like wolves.
When the trouble is over, we get back into fighting and KUNUNIANA. It's a trail of emotional rollercoaster.
I love being NYAKYUSA🤣🤣🤣
Kwe jinsi ccm walivyo hapo watakuwa wanajiapiza kutopeleka maendeleo Mbeya kama ilivyo kawaida yao lkn cha ajabu bado ni miongoni mwa mikoa yenye uchumi mkubwa bila msukumo wa serikali,hizi takwimu kwa roho yao mbaya zitakuwa kero kwao!Asanteni kwa kutukubali