Jichanganyeni siku muone balaa lake , sisi tukiamua tunaweza kuitoa CCM sio nyie ..Endeleeni kupiga keleleMgosi sisi ni nguzo yenu ya uchumi, wakati mnakata viuno wachaga wanatafuta pesa ili baadae mfanye vibarua, Lushoto utadhani upo Rombo wachaga tupu
Hawa hata usipowapelekea maendeleo hawajali. Kwa sababu wanazalisha chakula kingi sana kwa nguvu zao wenyewe🤣🤣 hivyo hawana njaa na sababu ya kuwapigia magoti CCM.Kwe jinsi ccm walivyo hapo watakuwa wanajiapiza kutopeleka maendeleo Mbeya kama ilivyo kawaida yao lkn cha ajabu bado ni miongoni mwa mikoa yenye uchumi mkubwa bila msukumo wa serikali,hizi takwimu kwa roho yao mbaya zitakuwa kero kwao!
Ndiyo maana Tanga ni masikini haswa shauri ya CCMJichanganyeni siku muone balaa lake , sisi tukiamua tunaweza kuitoa CCM sio nyie ..Endeleeni kupiga kelele
Tell you what.Salute to you Waisa. Mmenikosha sana.
Kwenu hatoki Fala.
Duh! It's interesting!Tell you what.
Back in the 60's, from our village of Mabonde, we had very prominent figures in the government. One of them used to be an assistant to Gen Sarakikya, of the nascent TPDF.
One day he came back from missions and found his wife pregnant. And rumor has it, the General did it. The government officials under Mzee Nyerere wanted to cover the matter, but failed.
The Nyakyusa guy, took a gun, shot the wife, and then shot himself to death. Luckily he couldn't find the general around, otherwise he could have been shot too.
After this, all of his records were purged off from Tanzanian Military History. It was a very big scandal back then, but it never became common knowledge.
Talking About Misimamo Mikali 🤔
Umaskini ni wewe na akili yako , uache kuwasaidia ndugu zako mtu ana miaka 42 anaishi kwa baba yake mpaka anaiba koti ya baba yake , mzee anamuua mwanae wa kumzaa ..Saidia hawa wajinga kwanza huko kwenu , kwingine ni shobo mpauko .Ndiyo maana Tanga ni masikini haswa shauri ya CCM
Sasa ulitegemea huyo aliyepigwa picha awe kila mahali? Walipotea kina Soka na wengine uliwaona wangapi wakimtafuta.Huu ni ubinadamu, lakini hizo picha zinaonesha watu ni wachache mnoo, haifai kusema watu wa mbeya, nilitegemea kuona makundi ya watu, mbeya ina wakazi takribani milioni na chenji, picha inawakilisha watu wengi wa idadi ya watu 100 ila sio milioni, atleast tungeona picha zenye matukio tofauti, makadirio ya watu ifikie hata 100k hivi, hapo pingezi ndio zingeenda kwa wana mbeya
Unamaanisha dar?..tusisifie mbeya tu, kweli wanastahili..lkn tutaje pia mkoa wenye maiti lkn zinatembea licha ya kila aina ya maonevu tena ya wazi kabisa lkn wako busy na ujinga wa simba na yanga!
Mbeya na Arusha ni kama state zinazojitegemea. Ina watu wa tofauti sana na hawa tuliowazoea huku Dar, Tanga na Zanzibar!Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Soka alipotezwa Temeke hatukuona hata watu 10 kuhangaika kumtafuta.Sasa ulitegemea huyo aliyepigwa picha awe kila mahali? Walipotea kina Soka na wengine uliwaona wangapi wakimtafuta.
Arusha wanajitahidi ila nao wahuni pori sana. Kupenda starehe na nyama choma kunawafanya wasiwe consistent.Mbeya na Arusha ni kama state zinazojitegemea. Ina watu wa tofauti sana na hawa tuliowazoea huku Dar, Tanga na Zanzibar!
Wapi imesemwa wamefanya vurugu?acheni kuwajaza ujinga wenzenu.
Wanambeya msijazwe upepo wa kijinga mkavimba.
haki inadaiwa kwa taratibu za kisheria sio vurugu.
Kama polisi walivyofuata taratibu za kisheria kumpiga nyundo Mdude pale kwake usk wa manane sio?haki inadaiwa kwa taratibu za kisheria sio vurugu.
Akirudi nitagg. Naona umempa jibu murua kabisaKama polisi walivyofuata utaratibu za kisheria kumpiga Mdude pale kwake usk wa manane sio?
Sina mashaka na wananchi wa MBEYA ila mwakyembe tu ndio alikuwa anaizalilisha MBEYA
😁ndoho tabhu geteKwa wasukuma napinga, hata wakimpoteza kiongozi wao mapambanoni, husema ndo tabu.
Tujigawe mara ngapi..? tumeshagawanyika tayari, matendo maovu kabisa tena yanafanyika hadharani na kwa kujirudia watu wanakaa kimya as if hakuna kilichotokea simply anayeshukiwa kuwa sehemu ya huo uovu ni mtu wa kabila au dini yao..kwa hali km hiyo unadhani wale kabila na dini tofauti wanafurahia hali hiyo...? kinachofaa kutuunganisha ni wote tuchukie UOVU yeyote akitendewa bila kujali hadhi, dini, kabila umri nk lazima tuinuke pamoja kukataa hali hiyo! hizi sio zama za kuishi kinafiki bwn..Mwisho wa sisi kuongoza tutajigawa , hatuwezi kuongozwa na watu wa porini...Tunataka uhuru wetu ,tuwe sehemu yq Zanzibar.
Nani ulimpambania uhuru wewe mtu wa pwani..haya huo upambanaji wenu umewafikisha wapi hadi sasa..nyinyi si ndio maskini wa kutupwa nchi hii kazi kuongeza wake tu mzigo wa kuhudumia watoto na mama zao wanabeba wengine, hata senti tano ya kodi hamtoi..nani anawalisha nyinyi km si hao washamba..!Nyie wajinga mnaotekwa ndio nawaonea huruma ,peleka ushamba wako huko ..Tulipambania uhuru nyie mlikuwa bado hata kupiga mswaki hamjui na kuoga.