Ondoka hapa na wwe unaongea ujinga ,huko Mbeya mna nn cha maana kazi ni ujinga tu ..Pelekeni uthege wenu huko.Nani ulimpambania uhuru wewe mtu wa pwani..haya huo upambanaji wenu umewafikisha wapi hadi sasa..nyinyi si ndio maskini wa kutupwa nchi hii kazi kuongeza wake tu mzigo wa kuhudumia watoto na mama zao wanabeba wengine, hata senti tano ya kodi hamtoi..nani anawalisha nyinyi km si hao washamba..!
sisi tunakulisha wewe..usiongee tu km umekatwa kichwa.Ondoka hapa na wwe unaongea ujinga ,huko Mbeya mna nn cha maana kazi ni ujinga tu ..Pelekeni uthege wenu huko.
Hilo nakubali kanda ya ziwa huyu hawampigii kura sina shaka na hiliWasukuma wataonyesha hasira yao kwa kutompa kura Mzanzibari ambaye wanaamini ana mkono kwa kumtanguliza mwendazake, japo atatangazwa kuwa ameshinda kwa 99.9% lakini hataokota hata kura moja toka Usukumani.
Una umri gani ndugu?SIJAELEWA MKUU. "hao waliomuua Mdude" kwani mdude ameuwawa?.
Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sitazamii kuwa mwanachama wake wakati wowote ujao.
Watu wenyewe kina mazinge, kipozeo unategemea nini?Dar hopeless kabisa yaani.
Toa uthenge wako hapa ,unamlisha nn hata samaki hamna ,mna nn cha maana washamba nyie na wale wenzenu?😅😅😅Vitambi tu ,nyie wazee wa kuharisha na utapiamlo mumlishe nan?sisi tunakulisha wewe..usiongee tu km umekatwa kichwa.
Kiukweli watu wa Mbeya ni majasili sanaNimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Tumewavulia kofia Waisa. Mpo vizuri sana.Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sitazamii kuwa mwanachama wake wakati wowote ujao.
Ila mimi ni mwananchi wa Mbeya.
Watu wa Mbeya tupo tofauti kidogo, kwanza usimdharau mtu wa Mbeya , huwa tupo very sensitive kwa hilo.
Pili, watu wa Mbeya wako very emotional, habari za ubinadamu wanaichukulia very personal.
Hivyo katika hili, kupotea kwa Nyagali limewagusa kiasi cha kuamshataharuki na munkari.
Tukumbuke alipowekwandani Mbunge Mbilinyo a.k.a Sugu wa CHADEMA. Prof Mwandosya kwa kuona isivyo sahihi na kuonewa alienda kumtembelea jela.
Hili ni thibitisho halisi la watu wa Mbeya.
Tatu, watu wa Mbeya wakisha hamasika kuwa kuna hatari inakuja, ni very serious fighters
Ni wapiganaji hodari wasioogopa.
Mifano hai ni Gen Davis Mwamunyange akiwa vita ya ukombozi kusini mwa Afrika na Gen Mwakibolwa huko Goma Kongo.
Hii sifa ya watu wa Mbeya , serikali iliyopo madarakani ijue nama ya kuitumia kama resource.
Ngoja tuendelee kumtafuta ndugu yetu Mdude.Kumbe 🙌
Kweli lisu ni Habari nyingine aisee
Umaskini ni wewe na akili yako , uache kuwasaidia ndugu zako mtu ana miaka 42 anaishi kwa baba yake mpaka anaiba koti ya baba yake , mzee anamuua mwanae wa kumzaa ..Saidia hawa wajinga kwanza huko kwenu , kwingine ni shobo mpauko .
Kwamba wagosi kuwa vibarua wa wachaga ndiyo maendeleo?Umaskini ni wewe na akili yako , uache kuwasaidia ndugu zako mtu ana miaka 42 anaishi kwa baba yake mpaka anaiba koti ya baba yake , mzee anamuua mwanae wa kumzaa ..Saidia hawa wajinga kwanza huko kwenu , kwingine ni shobo mpauko .
Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sitazamii kuwa mwanachama wake wakati wowote ujao.
Ila mimi ni mwananchi wa Mbeya.
Watu wa Mbeya tupo tofauti kidogo, kwanza usimdharau mtu wa Mbeya , huwa tupo very sensitive kwa hilo.
Pili, watu wa Mbeya wako very emotional, habari za ubinadamu wanaichukulia very personal.
Hivyo katika hili, kupotea kwa Nyagali limewagusa kiasi cha kuamsha taharuki na munkari.
Tukumbuke alipo wekwa ndani Mbunge Mbilinyi a.k.a Sugu wa CHADEMA. Prof Mwandosya kwa kuona isivyo sahihi na kuonewa alienda kumtembelea jela.
Hili ni thibitisho halisi la watu wa Mbeya.
Tatu, watu wa Mbeya wakisha hamasika kuwa kuna hatari inakuja, ni very serious fighters
Ni wapiganaji hodari wasioogopa.
Mifano hai ni Gen Davis Mwamunyange akiwa vita ya ukombozi kusini mwa Afrika na Gen Mwakibolwa huko Goma Kongo.
Hii sifa ya watu wa Mbeya , serikali iliyopo madarakani ijue namna ya kuitumia kama resource.
Kwani nyie hakuna vibarua kutoka uchagaji?🤣🤣🤣kwani hapo uchagani nani hajafika ?,hauoni mna akili za kitumwa hampendi kwenu ...Walevi na wachafu ,kazi kuvaa nguo za mtumba.Kwamba wagosi kuwa vibarua wa wachaga ndiyo maendeleo?
Yaani nimevaa viatu bya yule mke 🙌😭Ngoja tuendelee kumtafuta ndugu yetu Mdude.
Mtaani ni simanzi imetanda, watu wazima kwa wazee hata wasio na vyama wanalaani kilichotokea na wanasema aliyetenda hayo basi hasira ya Mungu iwake juu yake.
Mkuu umenichekesha sn, hivi kunywa baada ya kazi kuna shida gani? Mtumba hata wazungu wanavaa sn, unataka tuvae suti huku tupo field kutafuta pesa? Nipe mfano mmoja mchaga ambaye ni kibarua kwa mgosi? Tungekuwa hatupendi kwetu hayo maghorofa migombani nani amejenga?Kwani nyie hakuna vibarua kutoka uchagaji?🤣🤣🤣kwani hapo uchagani nani hajafika ?,hauoni mna akili za kitumwa hampendi kwenu ...Walevi na wachafu ,kazi kuvaa nguo za mtumba.
Labda ma jobless hawana cha kufanya. Unaanzaje kumtafuta Mdude_Nyagali ?? Kijana mporomosha matusi bila kujali heshima ya binadamuMbeya kuna watu na nusu. Kwetu Kilimanjaro kila mtu angekuwa anakunywa zake mbege saivi.
Insha allahSiku mumeo akitekwa utajua hujui
Kaa kwa passwordInsha allah
Mnyakyusa kwa kujipandisha status ndiyo zenu. Yaani umemsahau General Mboma CDF kipindi cha Mkapa na kamanda wa Airforce wakati wa vita dhidi ya Uganda mwaka 1978/79 kwa kuwa siyo Mnyakyusa??Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sitazamii kuwa mwanachama wake wakati wowote ujao.