Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi waliokua kwenye hilo zoezi wamejeruhiwa vibaya, japokua hakuna kifo kilichorpotiwa hadi sasa.
View attachment 1885041View attachment 1885043View attachment 1885046View attachment 1885047
Waende na silaha kwa wananchi?Mimi naona hasira za hao wananchi zimeishia tu sehemu ambayo sio sahihi. Hao wataalam wao wana kosa lipi? Wao walienda tu kupima hiyo mipaka.
Japokua pia nadhani ni muhimu kwenye ishu kama hii, wakienda next time waende na ulinzi wa polisi wenye silaha za kutosha.
Sip kwenda na ulinzi lazima wananchi washirikishwe na serikali ya Kijiji haya Mambo kufanya bila kushirikisha wananchi madhara yake ndo hayo sasaMimi naona hasira za hao wananchi zimeishia tu sehemu ambayo sio sahihi. Hao wataalam wao wana kosa lipi? Wao walienda tu kupima hiyo mipaka.
Japokua pia nadhani ni muhimu kwenye ishu kama hii, wakienda next time waende na ulinzi wa polisi wenye silaha za kutosha.
Huo ni upumbavu na ujinga wa mtu asiyeenda shule ,anayeamini bunduki pekee ndiyo itakayo msaidia wakati wote .Asilimia kubwa ya polisi na viongozi wa CCM (Including you) wanaamini strength yao Iko kwenye bunduki (Indeed stupidity) .Hakuna marefu yasiyoSawa captain kinjekitile ngwale unaamini utaweza kupambana na mwenye bunduki wewe ukiwa na rungu,
Hapo najua lazima polis wataenda kutembezea jando wakaz wa hilo bushi ili next time wajue nini maana ya mali za serikali na watumishi wake
Inasikitisha,asante kwa kunikumbusha hii habari,kumbe ilikuwa kutoka Chuo cha SelianDah haya mambo sio kabisa nakumbuka vizuri nilimpoteza kijana alikua mwanafunzi wangu kutoka chuo cha madini alikua field kwenye hicho Kituo cha Utafiti was Udongo Selian Arusha
Alifariki mtoto wa wait
Maofisa wa Serikali wachomwa moto - Mtanzania
Mtanzania Maofisa wa Serikali wachomwa moto -mtanzania.co.tz
Hili ni tatizo mtu yeyote akitumia akitumia akili anaonekana ccm, kwa taarifa yako mimi sina chama na sijawahi kuipigia kura ccm katika chuguzi zote ukicha 1985 tulivyompigia mwinyi kura ya ndio nadhani kipindi hicho wewe ulikua bado ume kwenye karanga mimi ni free thinker boko likitolewa lazima niseme polis wakitendewa uovu lazima niwasemee, diwan wa ccm akionewa na lazima niseme mwananchi akitoa boko lazima niseme maana hatupo kwa mashindanoHuo ni upumbavu na ujinga wa mtu asiyeenda shule ,anayeamini bunduki pekee ndiyo itakayo msaidia wakati wote .Asilimia kubwa ya polisi na viongozi wa CCM (Including you) wanaamini strength yao Iko kwenye bunduki (Indeed stupidity) .Hakuna marefu yasiyo
Kuwa na nchi uvumilivu wa bunduki unakikomo.Hata kama Elimu yenu duni jifunzeni ya duniani.USA Ilifika sehemu polisi anapiga magoti kwa wananchi(Huku ndiko kuelemika)
Polisi tunaishi nao mitaani ,Polisi tunakunywa nao mitaani,polisi hao hao tunakumbana vikumbo kwa mangi kujikopa unga!..
Dr anashauri waende na polisi wenye silaha, sasa sijui hizo silaha za nini kwa wananchi ?Sip kwenda na ulinzi lazima wananchi washirikishwe na serikali ya Kijiji haya Mambo kufanya bila kushirikisha wananchi madhara yake ndo hayo sasa
Serikali ya chama gani!?Kafie mbele!Uonevu ukizidi serikali kwa wananchi matokeo yake ndiyo haya.
Kwa taarifa yako nchi nzima kituo kinachofuata ni polisi
Tatizo la nchi hii ni viongozi kuona kuwa matatizo ya wananchi ndio mtaji wao wa kisiasa!!wanakuja wanawadanganya hivi wanaondoka, hali ikifikia hivi ndio unaona serikali yote inahamia hapo, na kujifanya kuwa tatizo hilo ni jipya?!!wanalitatua ndani ya wiki moja tu baada ya maafa kuwa yametokea!!ndio unajiuliza mgogoro wa miaka zaidi ya 10, unakuja kumalizwa ndani ya wiki moja tu.walikuwa wapi muda wote huo?!!DC yupo, DED yupo, OCD yupo wote wanazingizia wananchi hawana matatizo huko Mlimba. Mlimba Kuna matatizo makubwa,badala ya kwenda kuwasikiliza wananchi watatumwa polisi kuwakamata.
Wananchi ni vichaa kwenda kuchoma magari moto? Iundwe time kuchunguza tukio hilo. Sio kuanza kamata kamata mkifanya hivyo mlimba nyumba zitabakia na yatima wananchi watatimkia mikoani serikali itaanza kupeleka misaada ya kwenda kutunza teza raia.
Hakuna watakachofanyaKwa hasara hio wanakijiji kaeni mkao wa kula