Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ujumbe wanaupata...

Mungu ibariki Tanzania
 
Hata sijaelewa kile unasema bwana mdogo!! Una uhakika umepata breakfast? Au hapo Lumumba buku-2 hamajalipwa buku huku zenu??
Mimi sio takataka za CCM.yani hizo account wanasoma ila ukijionesha wazi wanakufata
 
Ukitaka kujua Tanzania ni nchi ya ajabu,usishangae , kapost hadi kwenye mtandao wa X ambao tayari haupatikani Tanzania baada ya kufungiwa ,sasa unajiuliza uko X ujumbe wakw utawafikia vipi WaTananzia wakati mtandao haupatikani hii sawa na mwalimu kuwaambia wanafunzi wajibu mtihani wakati ubao wa maswali ukiwa mweupe hajaandika ssali hata moja.
 
Sasa wewe unawaogopa?

Kwani kusema NO REFORMS NO ELECTION unakuwa umefanya kosa?

Vijana tujitahidi walau tujue haki zetu ili tusiburuzwe hovyo
Shida sio no reforms no election.Shida wao ni kujua mmoja moja.
Watuangamize
 
Yaani mambo yao kama futuhi
 
Shida sio no reforms no election.Shida wao ni kujua mmoja moja.
Watuangamize
Watatuua ila hawawezi kutumaliza wote.. Na uwenda vifo vyetu vikawa ukombozi kwa wengine..

Tukosoe kwa hoja na tupendekeze nini kifanyike bila lugha chafu wala matusi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…