PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
huo ndio ubingwa wenu, upuuzi mitandaoni, Lakini Hamuwezi kuzuia uchaguzi
 
Watatuua ila hawawezi kutumaliza wote.. Na uwenda vifo vyetu vikawa ukombozi kwa wengine..

Tukosoe kwa hoja na tupendekeze nini kifanyike bila lugha chafu wala matusi...
Usiseme huwenda
Huo ndio ukweli, kwamba vifo, damu na mateso ya mpigania haki ni chachu kubwa ya ukombozi

Kwa mfano,
Lisu asingekamatwa, mdude asingetekwa, Gwajima asingenyanyaswa, huu Moto unaowaka wa wananchi dhidi ya CCM usingelikuwa wa kiwango hiki
Ungekuwa bado kwa kiwango Cha chini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Usiseme huwenda
Huo ndio ukweli, kwamba vifo, damu na mateso ya mpigania haki ni chachu kubwa ya ukombozi

Kwa mfano,
Lisu asingekamatwa, mdude asingetekwa, Gwajima asingenyanyaswa, huu Moto unaowaka wa wananchi dhidi ya CCM usingelikuwa wa kiwango hiki
Ungekuwa bado kwa kiwango Cha chini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Asante kwa kuniongezea maarifa..
 
huo ndio ubingwa wenu, upuuzi mitandaoni, Lakini Hamuwezi kuzuia uchaguzi
Kuweka katiba mpya kwenye ilani yenu ni sehemu ya mafanikio ya harakati zinazoendelea!

Tukishindwa kuzuia Uchaguzi October, then tume inayopiganiwa ikapatikana muhula ujao, hayo ni mafanikio Jomba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu!

Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.

Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya wananchi wametumia fursa hiyo kuonesha msimamo wao kuhusu haja ya mabadiliko ya kisiasa na kisheria kabla ya uchaguzi mkuu ujao, wakisisitiza kuwa pasipo mabadiliko, hawatashiriki uchaguzi.

Jambo hili linaonesha kiwango cha ujasiri na kiu ya wananchi kushinikiza mabadiliko ya kidemokrasia nchini.

Oparesheni hii imeenda mbali zaidi kwani imepelekea hata baadhi ya viongozi na TBC kufunga sehemu ya comments.


No reforms no elections
 
JamiiCheck mnaweza kupitia hii kama ni kweli kwa faida ya umma !

“Niseme tu kwa uwazi, awali chaguo langu la Makamu wa Rais halikuwa Samia Suluhu Hassan. Nilikuwa na fikra za kumteua Dkt. Hussein Mwinyi. Hata hivyo, baada ya ushauri wa viongozi wenzangu, hasa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, nilikubali mapendekezo yao na kumteua Samia.” – Hayati Rais John Magufuli, 2020.

#TBT #tbthursday #tbt

FB_IMG_17492919394544458.jpg
 
Taarifa zinasema siku tatu mfurulizo kulikuwa na kikao kinachombembeleza asing'atuke...

Analalamika kusalitiwa na waliyompa kiti.

Anasema wana roho za nyoka.

Hapa anasubiriwa aliyebaki ,aje aseme neno then utaratibu mpya utangazwe.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanakesha kumtia moyo ili asing'atuke.

Tutaendelea kujulishana...
 
Sio kweli.

Anyway, No Reforms, No Election.
 
Huyo hang'atuki,alivyowatesa watu na kuwateka ina maana yupo tayari afe kwa madaraka
 
Kama ilivyo kwa viongozi wengine pamoja na wasanii kukabiliwa na comments za NO REFORMS, NO ELECTION, hali hiyo piia imemkuta Spika wa Bunge, Tulia Ackson baada ya karibu asilimia 97 ya comments kwenye post yake ya sikukuu ya Eid kujibiwa kwa style ya NO REFORMS, NO ELECTION.

Hofu yangu ni watawala Kutafuta sababu ya kusitisha mikutano ya kisiasa ya wapinzani (CHADEMA).kama njia ya kujaribu kupunguza hamasa y wananchi juu ya NO REFORMS, NO ELECTION ingawa haitasaidia lolote

Hakika CCM watu wamewachoka.
 
Back
Top Bottom