ramli ni ushirikina wa kitumwa sana gentlemanKuna viongozi wengi tu ndani ya CCM hawakubali walahawafurahishwina kunyanyaswa kwa viongozi wa kikristo nchini.
Samia wewe uliyejivika uharabu wakati kwenu ni kiximkazi kaa ukijua seccessor wako lazima atoke bara na lazima awe mgalatia,Atakipiza kisasi tu

Tungempataga Mwinyi, tungekuwa mbali sana. Na sasa tunamuelewa Magu kwa kutoenda sambamba na huyu Bi Mdashi. No wonder zilikuwa haziivi.JamiiCheck mnaweza kupitia hii kama ni kweli kwa faida ya umma !
“Niseme tu kwa uwazi, awali chaguo langu la Makamu wa Rais halikuwa Samia Suluhu Hassan. Nilikuwa na fikra za kumteua Dkt. Hussein Mwinyi. Hata hivyo, baada ya ushauri wa viongozi wenzangu, hasa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, nilikubali mapendekezo yao na kumteua Samia.” – Hayati Rais John Magufuli, 2020.
#TBT #tbthursday #tbt
View attachment 3359175
No reforms No electionramli ni ushirikina wa kitumwa sana gentleman![]()
Kamwe kwa kufira watu hataishi kwa amanipaka umautiTaarifa zinasema siku tatu mfurulizo kulikuwa na kikao kinachombembeleza asing'atuke...
Analalamika kusalitiwa na waliyompa kiti.
Anasema wana roho za nyoka.
Hapa anasubiriwa aliyebaki ,aje aseme neno then utaratibu mpya utangazwe.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanakesha kumtia moyo ili asing'atuke.
Tutaendelea kujulishana...
UKWELI no reforms no elections Tundu lisu aliikuta yeye akaibonyezeSasa kama hii kampeni ya no reforms no election inatembea yenyewe kama moto wa nyika, si wamuachie tu kinara wa kampeni hiyo aliyeko mahabusu? Maana tulidhani huyo kinara akiwekwa ndani na kampeni hii inakoma, badala yake ndio kwanza inaenea mpaka kwenye page za vigogo
Watuue wote sasa maana hakuna namnaSasa hivi hii hashtag imegeuka kuwa salamu ya Taifa🤸🤸
safi sanaKwahiyo Mtapiga kura au labda kura iwapige nyinyi ?