Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ramli ni ushirikina wa kitumwa sana gentleman
 
Tungempataga Mwinyi, tungekuwa mbali sana. Na sasa tunamuelewa Magu kwa kutoenda sambamba na huyu Bi Mdashi. No wonder zilikuwa haziivi.
 
Ni bahati mbaya huwa hawajifunzi
 
Kamwe kwa kufira watu hataishi kwa amanipaka umauti

Kaongeza na kufungia Kristo atakuta milele
 
Sasa kama hii kampeni ya no reforms no election inatembea yenyewe kama moto wa nyika, si wamuachie tu kinara wa kampeni hiyo aliyeko mahabusu? Maana tulidhani huyo kinara akiwekwa ndani na kampeni hii inakoma, badala yake ndio kwanza inaenea mpaka kwenye page za vigogo
 
UKWELI no reforms no elections Tundu lisu aliikuta yeye akaibonyeze
 
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…