MKARASINGA
Senior Member
- Jun 9, 2018
- 135
- 222
Nyumba si inaonekana lengo lake ni kuondoa hofu kwa wengine maana mwingine hapo angeongeza Sifuri za kutosha tuu...
Dar, Ilala , Mvutidar au wapi?
aisee mnajenga kwa materials za almasi au, maana yangu imezidi kidogo haposqm 132.
Hongera bora ww una pa kujilaza wengine maneno kibao alfu hata uwanja hawana
Ndicho kinacho nishangaza nyie manawezaje. Maana bati gauge 28 ni 38000 hadi 39000 na boq inasema ntatumia bati kama 110.aisee mnajenga kwa materials za almasi au, maana yangu imezidi kidogo hapo
Kwakweli mnatenda miujiza 😁Dar, Ilala , Mvuti
Inawezekana mkuu unachokataa ni nini hapo mbona ni nyumba ya kawaida tu kwa gharama hizo au ulitaka iweje?Mkuu hata kama ila ni zaidi ya milion 6. Hayo mabati na mbao alizotumia kuezeka na ela ya ufundi vinakula zaidi ya milioni 3, sasa hlo pagale na msingi inawezekanaje alijenge kwa milion 3 iliyobaki
Yani nashangaa maana assume tofali 2000 kila tofalu 1000 ina maana 2,000,000, so hapo inabadi milioni 4 ambayo bado trip ya mchanga, bado cement, bado kokoto za zege la mkanda na linta, bado bati, bado mbao, bado ela ya ufundi, skimming mkuu kwakweli watu wanatenda miujiza kama mwamposaInawezekana mkuu unachokataa ni nini hapo mbona ni nyumba ya kawaida tu kwa gharama hizo au ulitaka iweje?
Hatupo kuonyeshana nani anasimamia nyumba au laa ila hiyo nyumba kama mimi najenga nyumba hiyo ni nyumba ya nyumq baada ya kubwa mbele ambayo haipo kwenye hesabu ndio maana nasema tena inawezekana kama unataka kujua zaidi utaelekezwa acheni kutisha watu bhana nyumba zinajengwa kwa gharama ndogo na nyumba nzuri tuu...Uzuri ni kwamba ujenzi najua sana ingawaje si fundi na nyumba si chini ya nne nimepewa nisimamie ujenzi wake. Haijalishi upo mkoa gani ila kwa hizo gharama hata kama ni fundi Bado haitoshi labda uwe hanja
(Mwizi wa material
Hiyo nyumba ina skimming hapo mbona ni lipu tuu mkuu unaongea vitu ambavyo havijafanyika...Yani nashangaa maana assume tofali 2000 kila tofalu 1000 ina maana 2,000,000, so hapo inabadi milioni 4 ambayo bado trip ya mchanga, bado cement, bado kokoto za zege la mkanda na linta, bado bati, bado mbao, bado ela ya ufundi, skimming mkuu kwakweli watu wanatenda miujiza kama mwamposa
Hebu tuondoe skimming. Lakini mkuu bado ni miujiza hiyo milion 4 iezeke, ilipe fundi, ijenge mashimo ya maji taka maana kama anaishi ina maana ina mifumo hiyo yote. Assume imekula bati 70 kwa 22,000 kwa kila bati ina maana kwenye milion 4 iliyobaki unaondoa 1540000 za bati hapo inabaki 2.5 huno utoe mbao, ela ya mafundi kujenga msingi mpaka juu. Mkuu hesabu haziingiiHiyo nyumba ina skimming hapo mbona ni lipu tuu mkuu unaongea vitu ambavyo havijafanyika...
Hawezi si kaitoa mtandaoninaona umejikita kwenye ubishani wa nani muongo nani mkweli,tuwekee gharama za vifaa tujue wengine tunakwama wapi
Imagine [emoji848]Hahahaaa! Swahiba sema mleta uzi amekuwa mkali sana.
Angedadavua hata kwa uchache hiyo milioni sita yake sababu mwisho wa siku anaeza fanya watu waamini ujenzi ni kitu rahisi hali ambayo sio kweli.
Si ndo maana kakimbia[emoji16][emoji16]Mnatoa uongo wa Twitter mnaleta na huku, nimekutana na iyo post Twitter
[emoji28][emoji28][emoji28]shubbamitHawezi si kaitoa mtandaoni
Jibu zuriKama uongo sikulazimishi