Anakimbilia kumkashifu na kumdhalilisha akitegemea kum intimidate mzee Mohamed, technic za kibangibangiUsianzishe mada ndani ya mada. Hoja ya Mzee Mohamed Said hukuizingatia wakati unaisoma.
Lowassa alikuta wanachadema wapo wanasubiri mgombea Urais. Lowassa alikuta CHADEMA Ina mtaji wa watu tayari.
Eti Mrema akiitisha mkutano wa hadhara atapata watu? Kuna mdau kauliza juu hukoAgosti sio mbali.
Amandla...
Na sasa hivi hakuna hata anayemzungumzia, kwisha habari yake, tusubiri na haya madunduka hayana muda wala impacthuyo hana tofauti na msigwa nayesema, et jamani si mnaona uwanja ulivyo? huku sura na roho vikiwa havina ushirikiano.
Ndio zenu hizo. Mnapenda kuwa zushia watu. Mtu kuikosoa Chadema haimaanishi kuwa anataka ife. Mtazamo huo ndio umewafikisha hapa mlipofika. Nimemsikiliza Asia na Yosepher wakitangaza kwa uchungu mkubwa kujitoa Chadema. Mpaka sasa hivi sijasikia hata mtu mmoja akitangaza kujitoa kwa furaha. Lakini hiyo haitawazuia kuwatukana.Narudia tena, matamanio yako wazi. Jitahidi usibadili hadithi.
Wakipewa vyeo wataongoza wannanchi wajinga kama wao, kama watakwepo....!Ugumu unakuja kutokana na Bajeti ya manunuzi kushindwa kutosheleza, Inatosha kununua watu 10 lakini haitoshi kununua watu mil 1
Kumbuka kwamba wanaonunuliwa wameahidiwa pia kuhudumiwa kwa ajili ya kujikimu na ikiwezekana vyeo pia
Upo sahihi kabisa Mzee Mohamed Said ,ngoja tuone labda wafuasi wao watawafuata huko?Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Tindo,Mohamed, hii haikuwa quote yako.
Huna tofauti na yeye. Maandishi yako hayaonyeshi kama utasikitika cdm ikifa, ila maombi yako usiku na mchana na hilo litokee, na hata lisipotokea utatengeneza nadharia kutaka kujifariji. Halafu kuniweka mimi kwenye ignore list si tatizo maana sina la kupoteza. Jenga tabia ya kuvumilia ukweli usioupenda.Una hakika kuwa mimi ni Mrema? Ukiniita Mimi sitapata faida yeyote CDM ikidhoofika. Nitasikitika kwa sababu kuna wakati niliiamini sana.
Ukiniita tena mjinga au tusi lingine nitakuweka kwenye ignore list yangu.
Amandla...
Hakuna anayekuzushia, unalazimisha nadharia zako ili zibebe hisia zako. Hapa tulipo tumefika wapi, ama unataka tuone kwamba hili la kuhama ni jambo geni? Nionyeshe kikao chochote ambacho Mbowe aliitisha wakati viongozi na wanachama wanahama kwenda kuunga juhudi. Kila siku kulikuwa na tuhuma za uchaga, na kukaa madarakani muda mrefu, mbona hukutumia nguvu kubwa kuonyesha sasa ndio kuna tatizo kuliko huko nyuma! Hiki unaochoongea hakina tofauti na anachoongea mrema, na anachojiapiza ni hiki hiki unachokiandika ww. Unataka nielewe vipi?Ndio zenu hizo. Mnapenda kuwa zushia watu. Mtu kuikosoa Chadema haimaanishi kuwa anataka ife. Mtazamo huo ndio umewafikisha hapa mlipofika. Nimemsikiliza Asia na Yosepher wakitangaza kwa uchungu mkubwa kujitoa Chadema. Mpaka sasa hivi sijasikia hata mtu mmoja akitangaza kujitoa kwa furaha. Lakini hiyo haitawazuia kuwatukana.
Amandla...
👍Tindo,
Niwie radhi.
Huyu ni Mzee mwenye akili siyo juha hayo nenda kamwambie kubwa jinga Steven WassiraMzee mwenzangu, haya ya Vyama tuwaachie wajukuu. Endeleza kumnadi Sykes maana utaumbuka bure.
Yote kwa yote, Jibu la swali lako lipo hapa
PreGE2025 - Baadhi ya wanachama Katavi wahama CHADEMA, waisomea dua ya maiti!
Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'unwww.jamiiforums.com
Nisichovumilia ni matusi. Ukweli wako sio ukweli wangu. Sio lazima tukubaliane. Hicho ndicho usicho elewa.Huna tofauti na yeye. Maandishi yako hayaonyeshi kama utasikitika cdm ikifa, ila maombi yako usiku na mchana na hilo litokee, na hata lisipotokea utatengeneza nadharia kutaka kujifariji. Halafu kuniweka mimi kwenye ignore list si tatizo maana sina la kupoteza. Jenga tabia ya kuvumilia ukweli usioupenda.
Hana uwezo wa kuelewa hapo, akili yake is so shallow akijilisha upepo CHADEMA kinakufaFundi,
Kuna kisa cha mtu alitezwa nguvu na aliyemshinda akachomoa upanga wake kumchinja.
Bahati ule upanga ikawa hauwezi kukata kwa kuwa ulikuwa hauna makali.
Yule bwana akamwacha pale chini yule mtu yeye akaenda mjini kuunoa upanga wake.
Aliporudi akamkuta yule jamaa yuko pale pale alipomuacha shingo yake juu ya kigogo anasubiri kuchinjwa.
Hakunyanyuka toka chini kujiokoa.
Kutokana na hili nimeboresha maana ya unyumbu wa kisiasa itakuwa niWachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Mbowe hakuitisha kikao kwa sababu aliheshimu haki yao ya kuhama. Ulitaka aite kikao cha kuwatukana kama mnavyofanya nyie?Hakuna anayekuzushia, unalazimisha nadharia zako ili zibebe hisia zako. Hapa tulipo tumefika wapi, ama unataka tuone kwamba hili la kuhama ni jambo geni? Nionyeshe kikao chochote ambacho Mbowe aliitisha wakati viongozi na wanachama wanahama kwenda kuunga juhudi. Kila siku kulikuwa na tuhuma za uchaga, na kukaa madarakani muda mrefu, mbona hukutumia nguvu kubwa kuonyesha sasa ndio kuna tatizo kuliko huko nyuma! Hiki unaochoongea hakina tofauti na anachoongea mrema, na anachojiapiza ni hiki hiki unachokiandika ww. Unataka nielewe vipi?
G-55 wote huu ndio utetezi wao, na ww unatiririka katika mashairi yaleyale, what coincidence. Yaani ni kama mnajiona mna mawazo fulani ya maana ila mnatukanwa! Ww hata kukutukana ni kukupa sifa usiyostahili. Tafuteni utetezi mwingine sio wa kutukanwa boss. Nasisitiza, weka kikao Mbowe alichokaa na waliokuwa wanataka kwenda kuunga juhudi, ili tuone uongozi wa sasa unakosea kwa kutokaa na hawa waitisha press. Maana hata chaguzi za kihuni, bado cdm chini ya Mbowe walisusia kushiriki. Nasubiri hiyo agosti matamanio yako yafikie.Nisichovumilia ni matusi. Ukweli wako sio ukweli wangu. Sio lazima tukubaliane. Hicho ndicho usicho elewa.
Ila kama unaamini kuwa njia pekee ya kunishinda ni kwa kunitukana nitajitoa katika majadiliano na wewe. Nitakuweka katika ignore list yangu ili nijipunguzie matusi na kejeli.
Amandla...
G-55 hawajitetei bali wanaeleza umma sababu zilizowatoa Chadema. Kufanana kwa sababu hizo ni uthibitisho kuwa tatizo ni structural, sio la mtu mmoja mmoja.G-55 wote huu ndio utetezi wao, na ww unatiririka katika mashairi yaleyale, what coincidence. Yaani ni kama mnajiona mna mawazo fulani ya maana ila mnatukanwa!
Nimekusikia.Ww hata kukutukana ni kukupa sifa usiyostahili.
kutukanwa ni mojawapo za sababu. Sababu kubwa ni kutofautiana na strategy ya Chadema ya NRNE. Na nyingine ni ya kutosikilizwa. Sasa kama Chadema kinaona ushauri wao hauna maana kwa nini kinawaandama wanapo amua kujitoa?Tafuteni utetezi mwingine sio wa kutukanwa boss.
Waliounga juhudi hawakuweka wazi tofauti zao na Chadema wakati wako ndani ya chama. Walitangaza tu wameondoka. Msigwa ambae alitangaza wazi wazi tofauti zake na Mbowe pamoja na kutoridhishwa na matokeo ya uchaguzi wa Kanda ya Nyasa alikaribishwa kwenye kikao ambako angepewa nafasi ya kujenga hoja zake. Sasa ulitaka Mbowe aite kikao na wakina Lijualikali baada ya wao kuwa wanachama wa CCM?Nasisitiza, weka kikao Mbowe alichokaa na waliokuwa wanataka kwenda kuunga juhudi, ili tuone uongozi wa sasa unakosea kwa kutokaa na hawa waitisha press.
Unapiga ramli au na wewe mmoja wao?Kutakuwa na wimbi la wanachama na viongozi wa CHADEMA litakalo ungana na G-55. CDM itabaki hai lakini itakuwa inaelekea ICU.
Amandla...
Kwanini mnataka Lisu aitishe kikao sasa kwa hawa wanaoniita G55, wanapoondoka, na kumuona hana busara? Mbowe aliitisha kikao na Covid19 na hawakwenda na covid19 wanasema walihofia usalama wao, mbona na nyie G55 mnapita kwenye sababu hizo hizo?Mbowe hakuitisha kikao kwa sababu aliheshimu haki yao ya kuhama. Ulitaka aite kikao cha kuwatukana kama mnavyofanya nyie?
Hilo la kukaa muda mrefu alilisikia ndio maana akafanikisha uchaguzi ambao ulimtoa madarakani. Na aliposhindwa akampisha aliyeshinda kwa moyo mkunjufu.
Kama watu mliamini kuwa Chadema ni chama cha wachaga, hata angefanya nini msingemkubalia. Kama ambavyo kuna watu wanaamini kuwa ni chama cha wakristu. Sasa ulitaka kuwe na quota Chadema?
Mimi sijamsikia Mrema akiapa kuwa Chadema itakufa. Ninachojua ni kuwa mtu aliyesema kuwa Chadema ina kikundi cha kuteka watu ndie mnasimama nae jukwaani. Na aliyejiunga na CCM na kutangaza kifo chake Iringa ni rafiki mkubwa wa viongozi wa sasa wa Chadema. Lakini hao huwaoni, unamuona Mrema kwa sababu tu ni mchaga!
Amandla...