Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #2,141
Madrasa zinaharibu akili.. soma tena hapa.Unaifahamu 'original manuscript' iliyopatikana na kunadiwa official website? Una taarifa baadhi ya aya hakuna kama 1 John 5 7 na nyinginezo ambazo zimeongezwa kwenye biblia nyingine?
Manuscripts zimekusanywa kutoka maeneo mbalimbali kwa miaka mingi na nyingine zimekuja kupatikana baada ya excavation. Wakristo walipitia persecution kwa miaka kadhaa na hivyo walilazimika kuwa wanaficha nyaraka walizokuwa nazo.
Kwahiyo over the years zilipokuwa zinapatikana ziliongezewa mpaka Jerome alipofanya compilation. Baadhi ya manuscripts bado scholars wanafanya argument kwasababu unaweza kukuta kuna verse zimepatikana kwenye baadhi ya manuscripts lakini kwingine hazikupatikana. Hii ndio sababu ya baadhi ya translation kukosa kuweka hizo verse.