Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Unaifahamu 'original manuscript' iliyopatikana na kunadiwa official website? Una taarifa baadhi ya aya hakuna kama 1 John 5 7 na nyinginezo ambazo zimeongezwa kwenye biblia nyingine?
Madrasa zinaharibu akili.. soma tena hapa.

Manuscripts zimekusanywa kutoka maeneo mbalimbali kwa miaka mingi na nyingine zimekuja kupatikana baada ya excavation. Wakristo walipitia persecution kwa miaka kadhaa na hivyo walilazimika kuwa wanaficha nyaraka walizokuwa nazo.

Kwahiyo over the years zilipokuwa zinapatikana ziliongezewa mpaka Jerome alipofanya compilation. Baadhi ya manuscripts bado scholars wanafanya argument kwasababu unaweza kukuta kuna verse zimepatikana kwenye baadhi ya manuscripts lakini kwingine hazikupatikana. Hii ndio sababu ya baadhi ya translation kukosa kuweka hizo verse.
 
Wameongeza kutoka wapi? Na umejuaje wameongeza au wameondoa , umetimia chanzo kipi original
 
Tatizo huelewi kiarabu hao waliotafsiri hawaķutumwa na mnyaazi

ngoja jioni jua lizame kwenye matope
Ni huyo huyo "mnyaazi" anayekupa pumzi ya kumtukana na kumvunjia heshima. Kwann huupi Uislam heshima kama mm ninavyoupa heshima Ukristu.???
 
Achana na mambo ya kuigiza ya vitabu hiyo. Just google. Mudi hakujua science yoyote, achana na vitu kama hivyo, najua unajua what happens ila unataka reaction ya wale watu.

Una hakika Mudi hakujua science yoyote?
 
Una hakika Mudi hakujua science yoyote?
Hii ndio sayansi ya allah na muhammad iliyojaa udanganyifu mkubwa.

1. Sperm kutokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo

2. Kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne

3. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi
 
Madrasa zinaharibu akili.. soma tena hapa.

Manuscripts zimekusanywa kutoka maeneo mbalimbali kwa miaka mingi na nyingine zimekuja kupatikana baada ya excavation. Wakristo walipitia persecution kwa miaka kadhaa na hivyo walilazimika kuwa wanaficha nyaraka walizokuwa nazo.

Kwahiyo over the years zilipokuwa zinapatikana ziliongezewa mpaka Jerome alipofanya compilation. Baadhi ya manuscripts bado scholars wanafanya argument kwasababu unaweza kukuta kuna verse zimepatikana kwenye baadhi ya manuscripts lakini kwingine hazikupatikana. Hii ndio sababu ya baadhi ya translation kukosa kuweka hizo verse.
Kutumia lugha za hovyo inaonesha ni namna gani umeshindwa mjadala. Hizo lugha ndiyo mnafundishwa kanisani kwenye kumjibu mtu?
Weka ushahidi wa hizo original manuscripts zilizokusanywa tovuti unayoiamini tuone.

Nakuwekea mfano hapo wa matini halisi zilizopatikana na kuna vitu vimepunguzwa.

www.codexsinaiticus.org
 
Wameongeza kutoka wapi? Na umejuaje wameongeza au wameondoa , umetimia chanzo kipi original
Niliangalia kwenye hii website ambazo kuna document ambazo zimekuwa scanned na kuonesha verse zilizokuwepo ambazo zipo katika lugha ya kigiriki.

www.codexsinaiticus.org

Uzuri wa siku hizi hata kama haujui lugha unaweza kutumia lens na google translate kupata muelekeo wa maana.
 
Kutumia lugha za hovyo inaonesha ni namna gani umeshindwa mjadala. Hizo lugha ndiyo mnafundishwa kanisani kwenye kumjibu mtu?
Weka ushahidi wa hizo original manuscripts zilizokusanywa tovuti unayoiamini tuone.

Nakuwekea mfano hapo wa matini halisi zilizopatikana na kuna vitu vimepunguzwa.

www.codexsinaiticus.org
Umeelewa nilichokuandikia au umekimbilia tu kujibu? Lugha ya hovyo ipi hapo? Nimekupa statement of fact.

Umeweka link ya Vatican ambayo ina vitabu vingine sio sehemu ya cannon. Onyesha manuscript gani imebadilishwa katika vile vitabu 66 tangu vilipowekwa kama biblia.
 
Back
Top Bottom