Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Huyu jamaa Champion naye ni mpuuzi Sana, hapo umemuwekea Aya iko wazi lkn kila komenti anarudia ujinga wake.

Waislamu humu kuna watu wawili inabidi tuwapuuze katika mijadala kwasababu ni WAPUUZI WAKUBWA!

1) MOKITI

2) CHAMPION

Hawajadili kuelimishana Bali kuweka ligi za kipumbavu.

Binafsi naachana nao kabisa!
 
Mkuu shida yako ni moja tu,unasoma Quran ili utafute kosa lilipo...Hebu msikilize huyu sheikh hapa kisha urudi tena hapa na hiyo mijadala yako mfu.
Sperm inabadilika na kuwa damu iliyoganda?
 
Hyo picha imepigwa lini?
Mnapika mambo mpk mnasahau viungo mlivyotumia kupikia.....Tuambie hyo picha ya huyo "mzee" imepigwa karne ipi?
Hiyo elimu ya Hippocrates wa ugiriki na Gillan wa uturuki ilikuwepo sana. Nenda wikipedia ujielimishe. Hao wote concept zao zilikuwa wrong na ndizo muhammad alizikopi na kuwaletea.
 
Kipindi Hicho kuna sayansi ambayo ili advance kama Leo? Kumbuka huyo Muhammad hajui kusoma wala kuandika je aliwezaje kukopi hata kama hiyo sayansi ingekuwa ime advance? Hivi Kaka ubongo wako upo Sawa kweli?
Acha kupotosha raia. Kama alikuwa hajui kusoma na kuandika ni kwanini jibreel alimkaba koo kule mapangoni akimlazimisha asome?
 
Kwahiyo Allah akaamua awaige waarabu?🤣🤣 Kweli madrasa imefanya kazi nzuri kwenye ubongo wako.
 
Sperm inabadilika na kuwa damu iliyoganda?
 
Mkuu si alikua hajui kusoma Sasa amendikaje
Wakristo ndio walikuwa wasomi , walikuwa wanamuandia , Kuna jamaa mkristo alivyomstukia akasema Muhammad hajui chochote nachomuandikia

Muhammad akamumtoa uhai akasingizia Allah ndie kamuua
 
Kiarabu ni lugha Tu kama lugha nyingine, ingawa Qur'an imeshuka Kwa kiarabu lkn imetafsiriwa katika lugha mbali mbali,kwahiyo Acha upuuzi wako
Hakuna muislamu anayejua kiarabu zaidi ya kukariri aya za quran.
 
Kwahiyo manii ni muunganiko wa sperm na ovum? Wewe jamaa sidhani kama una ubongo katika kichwa chako.

Quran inasema tone ndio sperm na hiyo ndio inabadilika na kuwa damu iliyoganda.
 
Je hawa pichani ni wavuta bangi ama sio wavuta bangi.

Je wanavyofunga ndoa na watoto wadogo quran, hadithi na sunnah zinaruhusu ama haziruhusu
Jibu hoja Kwa hoja,,,,unaleta mambo mengine ambayo sijakuuliza
 
Kwahiyo manii ni muunganiko wa sperm na ovum? Wewe jamaa sidhani kama una ubongo katika kichwa chako.

Quran inasema tone ndio sperm na hiyo ndio inabadilika na kuwa damu iliyoganda.
Sina Mda wa kujadili na wapuuzi
 
Muhamaad alikua bingwa wa copy and paste jamaa head yake ilikuwa na uwezo wa kucite sana...na ikumbukwe alikuwa na misafara mingi sana na kukutana na watu wa jamii tofauti ikiwemo wagirik, wayahud nk
Wapumbavu mpo wengi Sana!
 
Muhammad alikopi mawazo ya mwanasayansi anayeitwa Gillan wa uturuki kwenye uandishi wake. Wengi miaka hiyo walikuwa wanakisia tu bila microscopic investigation. Ndio maana quran imeandika kitu ambacho sio sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…