Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwanza unatakiwa kukubali kuwa andiko limesema tone la manii iligeuka kuwa damu iliyoganda na sio tone la manii iliingia na kukaa kwenye damu ilioganda kama ulivyotaka kupotosha ktk bandiko lako
Damu ilikuwa mfu , damu iliyoganda ndani ya mwanamke kwa siku 40!
 
Wakati unaikumbusha hiyo mada ambayo Isha jadiliwa embu tuletee huo upumbavu wa Mungu wako kwanza kwa mujibu wa andiko
Son of mutah , hakuna aliejibu mpaka sasa
Embu wewe jaribu , mifupa mitupu ipo ndani ya mji wa uzazi huyu mudy alikuwa anaongea na vilaza wa aina gani?
 
Stage inayokupa wewe ukakasi ni hiyo tu? Na je hizo stages zinazofuata unazikubali?
Son of mutah , inayofuata inasema mifupa tupu skeleton ndani ya mji wa uzazi , Yani wapiga utra sound wangezimia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa alikuwa pimbi Sana
 
Kimsingi Muhammad alikopi hiyo elimu ambayo haikuwa sahihi. Huyo Hippocrates sio mkristo. Aliishi zaidi ya miaka 350 kabla ya Yesu. Hii inaonesha mambo mengi kwenye quran ni stori mbalimbali ambazo muhammad alizifahamu kupitia vyanzo vingi.
Quran 86 – 7

Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

We ndio mkristo wa kwanza kukubali kuwa Muhammad hapa alisema kweli
Kuwa sperm zinatoka hapo ila unasema amekopi Hippocrates

Nikikudai ushahidi kuwa mtume Muhammad alikopi hautaweza kunipa

Maana mtume Muhammad alikuwa hajui kusoma Wala kuandika kabla ya kuletewa ufunuo Sasa kama alikuwa hajui kusoma Wala kuandika lugha yake ya kiarabu ndio ataweza kupekuwa mavitabu yaliyo andikwa kigiriki
 
Son of mutah , inayofuata inasema mifupa tupu skeleton ndani ya mji wa uzazi , Yani wapiga utra sound wangezimia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa alikuwa pimbi Sana
Son of mutah , inayofuata inasema mifupa tupu skeleton ndani ya mji wa uzazi , Yani wapiga utra sound wangezimia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa alikuwa pimbi Sana
Du! Kumbe upo ktk hayo! Ila ningependa kuona hivi, kama unapingana na hiyo aya uungekjja na soma la utungwaji wa mimba na process zinavyokuwa ktk stages zote mpaka inapokuja kuwa kiumbe kamili
 
Kinywaji ulichotumia jana usiku usikitumie tena maana leo angalau unaongea mambo yanayoeleweka.

Nikurekebishe kidogo, imani ya kikristo imeenezwa na wayahudi walioamini kwenye maeneo ya Israel, palestina, uturuki, Syria, ugiriki, rumi, misri, Algeria, libya na morocco. Watu kama Paulo, Barnabas, Petro na mitume wote wa mwanzo walikuwa wayahudi. Hivyo sio sahihi kusema kwamba walioeneza injili sio wayahudi.

Mfumo rasmi wa imani ya wayahudi pale yerusalemu na viunga vyake walimkataa Yesu Ingawa aliendelea kuwa na ushawishi mkubwa kwa raia wa kawaida. Pamoja na kwamba viongozi hao wa dini walipata habari kutoka kwa walinzi wa kaburi kwamba Yesu alifufuka lakini bado waliamua kushupaza shingo.

Kwahiyo miaka ya baadae kwasababu mfumo rasmi ulimkataa Yesu, ndio maana mitume waliendelea kuhubiri na kusambaza neno kwenda maeneo mbalimbali. Wakati bado mtume Paulo yuko hai tΓ yari kanisa lililokuwa antiokia (iliyopo syria) lilikuwa ni kanisa kubwa kuliko lililokuwepo yerusalemu kwasababu huko Syria hapakuwa na persecution.

Baadae headquarters za kanisa zilikuwa Alexandria pale Egypt na baadae kuwa rumi (ambayo ilikuja kuwa corrupt sana) ambao mpaka leo wameshikilia mfumo wa kitaasisi wa dini ya catholic.

Josephus ambaye alikuwa mwanahistoria mzuri ameandika sana kuhusu Yesu Kristo tangu kuzaliwa, huduma yake, kuhukumiwa, kusulibiwa, kufa, kuzikwa, kufufuka na kupaa kwa Yesu na hii ni nje ya maandishi ya wakristo.

Hata hivyo mpaka muda huu haujaleta uthibitisho wowote wa jamaa anayeitwa issa kuishi ndani ya Israel.
 
Du! Kumbe upo ktk hayo! Ila ningependa kuona hivi, kama unapingana na hiyo aya uungekjja na soma la utungwaji wa mimba na process zinavyokuwa ktk stages zote mpaka inapokuja kuwa kiumbe kamili
Haujafika secondary? Umeishia darasa la ngapi shule ya msingi?
 
Nasikitika kukwambia kuwa hujajibu nikichokuuliza.

Leta hiyo aya ya biblia inayomtaja mohammed.


Unatoa maelezo mengi wakati swali ni moja tu
 
No we unajua ukubwa Mungu mpaka akuachie kirahisi hivyo ngoja nikwambie rafiki aya nyingi za sayansi ndani ya bibilia zimefutwa kwa sababu haiendani na matakwa ya mnao waona nyinyi ni wakubwa wa dunia badala ya Mungu
Naomba ushahidi wa madai yako haya mazito kabisa.
 
Haujafika secondary? Umeishia darasa la ngapi shule ya msingi?
Usitake kujua elimu yangu ila kama wewe ni educate man kweli, na unapingana na maelezo ya quran, unatakiwa kuja na kitu mubadala kinachoonyesha usahihi wa hilo jambo na sio kupingapinga tu kibubusa
 
Una uelewa duni sana...
Wewe mfuasi wa jamaa wa mapangoni asiyejua kusoma wala kuandika ndio mtu duni..

Halafu inashangaza kwamba jibreel alikuwa hajui kwamba muhammad alikuwa hajui kusoma.🀣🀣 Akaishia kumkaba muhammad mapangoni hadi akarudi kwa Khadija akiomba afunikwe na blanketi.🀣
 
Stone kisser mnachekesha , Yani Allah Kuna mda anawapa uwezo na Kuna mda anapoka uwezo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Walikuwa wakweli kuliko allah , walinuaje mbele ?
Walijibu nini baada ya kuulizwa maswali kuhusu vitu vilivyo wekwa mbele Yao ? Ila akavijibu Adamu ?

Unapishindwa hoja si lazima ujibu hona. Unainyesha ujinga wako ulipo. Mfuasi wa Mpagani wa Paulo.
 
Soma yote song of Solomon sikupi aya maana nyinyi wavivu sana kitabu cha kiharameik shukran
Sasa kitabu cha kiharameik n biblia Sisi tunakwambia hatumjui mwamed wala hatujawahi kumfikiria wanaomjua n hao waharameik cjui iv biblia unaijua vizuri, namaanisha Bible unaposema kitabu cha elmereikh n team ya kandanda huko sudan
 
Ngoja Akujibu Yesu mwenyewe maana wewe mbinguni hupajui na maana zako za Google hizo ay yesu ulifanyaje saa ilipo fika

Yohana 17:1 Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni,
Asante
Sasa unajua alipoinua macho yake alikuwa anaangalia kimwili au kiroho? Ili uzione mbingu unapaswa kuwa umekaa mahali penye malango ya mbinguni.

Hizo ni specific places hapa duniani ambapo kuna portals za kuweza kuona mbinguni. Yakobo siku moja alilala mahali penye portal na akaiona ngazi ikielekea mbinguni na malaika walikuwa wakishuka na kupanda.

Mwanzo 28:12 BHN
Aliota ndoto, na katika ndoto hiyo, aliona ngazi iliyosimamishwa duniani na ncha yake inafika mbinguni. Malaika wa Mungu walikuwa wakipanda na kushuka katika ngazi hiyo.

Ninaamini ndugu yangu unapata darasa zuri hapa. Bwana Yesu akupe neema uupokee wokovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…