Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Walimpinga wazi wakamwambia kwa Nini unatengeneza kiumbe ambacho kita shed blood, Allah akatoa Boko πŸ˜‚πŸ˜‚ akasema nitajieni majina ya vitu Yani majina kayaweka yeye alafu anasema Malaika wamtajie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka sana kijana. Haya ndiyo matatizi ya kujifunza Uislamu mtandaoni kwa wasio ujua Uislamu.

Maongezi baina ya Allah na Malaika yalikuwa hivi, Kisha onyesha Hilo Boko ewe Mfuasi wa Paulo Mpagani.

Anasema Allah mtukufu :

30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.

31. Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli.

32. Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe. Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima.

33. Akasema: Ewe Adam! Waambie majina yake. Basi alipo waambia majina yake alisema: Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni na za duniani, na ninayajua mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha? (al-Baqarah :30-33)
 
Huelewi!!!

Nimekuambia Ukristo haukuwa promoted duniani na Wayahudi... sasa hayo maelezo yako ndo yanaonesha ulikuwa promoted na Wayahudi!!

Hao uliowataja ni Wayahudi?!
 
Usitake kujua elimu yangu ila kama wewe ni educate man kweli, na unapingana na maelezo ya quran, unatakiwa kuja na kitu mubadala kinachoonyesha usahihi wa hilo jambo na sio kupingapinga tu kibubusa
Itakuwa uneishia shule ya msingi tena hukumaliza darasa la Saba , ungemaliza usinge uliza ulicho uliza
 
Hapo hoja iko wazi hata usome mstari upi huwezi ukafikia kumtukana Mungu
Hamna mahali Mungu ametukanwa. Kinachoelezwa hapo ni kwamba wayunani walikuwa wanataka hekima na wayahudi walikuwa wanataka ishara.

Wote kwa pamoja wakawa wanaona wokovu kwa njia ya imani hauwapi yale waliyodhani wanayataka. Wakasema wokovu kwa kumwamini Yesu ni upumbavu.

Ndio sasa Paulo anawaambia upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

Endelea kupata darasa maridhawa hapa.
 
Kwanza unatakiwa kukubali kuwa andiko limesema tone la manii iligeuka kuwa damu iliyoganda na sio tone la manii iliingia na kukaa kwenye damu ilioganda kama ulivyotaka kupotosha ktk bandiko lako
Jibu hoja zilizoainishwa hapo uache kujificha.
 

Hakuna kupigwa kama hutaki kumiliki,kuchukua ama kufatwa. Umesema waislam wanafunzwa kupinga kwaiyo inawauma sisi kupinga na kufwata tunayoamini mnataka kila mtu awe mkristo, dini nyingi ndizo hufata waislamu maana wanaamini wao ndo wako sahihi kwanini waslam wao wakue zaidi kati wao ndo wako sahihi(kwa mtizamo wao) icho ndo kinawauma na ndo kimewafanya mue na madhehebu lukuki na kuliacha amri mlizo paswa kufuata na kutafuta suruhu za madhehebu lukuki mnayopingana nyinyi kwa nyinyi na mnafata waislam.

sisi kazi yetu ni KUPRESERVE, KURUN NA KUPROTECT tulichonacho ila nyinyi ndo kinawauma.
 
Una zidi kuni Aminisha kua ukristo ni dini ya kufikirika hapo unazungumzia ndoto wakati pale yesu akainua macho kuelekea mbinguni akiwa na kiwiliwili kabisa unacho fanya wewe ni kukataa maandiko basi sina somo napata hapo kwa kutumia ndoto wewe vipi hizo si muvi kabisa hizo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Allah ni chizi majina katunga yeye kamwambia Adam tu , alafu anawauliza Malaika kama wanajua , anajisifu kuwa yeye anajua Siri za mbinguni na duniani kwa kujua majina aliyotunga mwenyewe , Muhammad kwenye verse hiyo wakati anaitunga Kuna kinywaji kikali alikunywa


Kama yeye ni mjuzi Kwa Nini asiwaambie Malaika watunge majina alafu yeye ayataje ?
 
Kwahiyo wewe unakubaliana na muhammad kwamba sperms zinatokea kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
 
Sio jibu la hekima ilo alilo litoa we huoni kua hapo Paulo Hana hekima hata kidogo
 
Kwahiyo wewe unakubaliana na muhammad kwamba sperms zinatokea kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
Jitahidi kua unajibu maswali ndio maana unakua kila utakalo sema unaulizzwa swali kwa sababu hujibu swali au ujawahi kufundishwa namna ya kujibu maswali
 
Huelewi!!!

Nimekuambia Ukristo haukuwa promoted duniani na Wayahudi... sasa hayo maelezo yako ndo yanaonesha ulikuwa promoted na Wayahudi!!

Hao uliowataja ni Wayahudi?!
Nani katika hao niliowataja sio myahudi? Hivi unajua kwamba wayahudi walikuwa wamesambaa maeneo yote ya mashariki ya kati kipindi kile?

Hata Paulo pamoja na kwamba ni myahudi lakini nyumbani kwa baba yake ilikuwa ni Tarsus ambayo ipo uturuki ya sasa? Sasa sio Paulo aliyeipeleka injili mpaka ulaya?

Petro mwenyewe aliwahi kuhubiri mpaka ulaya. Tomaso alihubiri India, Filipo alihubiri Ethiopia, Andrea alifika mpaka Iraq na iran. Wote hawa ni wayahudi sasa sijui unaposema sio wao waliopromote ukristo unamaanisha nini.
 
Mtu anataka kukutana na maneno kama cells, tissue, fertilization, ovulation kweny kitabu kilichoandikwa miaka 1500 iliyopita[emoji28]. Inashangaza sana[emoji2][emoji23]
 
Sio jibu la hekima ilo alilo litoa we huoni kua hapo Paulo Hana hekima hata kidogo
Ngoja nikupe mfano rahisi uuelewe.

Wewe ukiniambia mimi mafundisho yangu ni upumbavu halafu nikakujibu, "upumbavu wangu una hekima kuliko kauli zako." hapo itamaanisha nimekubali kwamba mimi ni mpumbavu?
 
Mtu anataka kukutana na maneno kama cells, tissue, fertilization, ovulation kweny kitabu kilichoandikwa miaka 1500 iliyopita[emoji28]. Inashangaza sana[emoji2][emoji23]
Kinachoshangaza ni kwamba Allah ndio anaelezea mambo hayo ya utungaji mimba kimakosa.

Kwamba Allah aliumba lakini hajui procedure za uumbaji.🀣🀣🀣
 
Ngoja nikupe mfano rahisi uuelewe.

Wewe ukiniambia mimi mafundisho yangu ni upumbavu halafu nikakujibu, "upumbavu wangu una hekima kuliko kauli zako." hapo itamaanisha nimekubali kwamba mimi ni mpumbavu?
Ndio umeukubali maana hapo haitaondoa uhalisia sasa alafu pili unajua kati yako na Mungu kuna hitaji kua na mipaka na ndio maana wayahudi walikuwa hawakubaliani na ishara za hao watu kwa sababu hapa tunaona kabisa hata paulo kashindwa kutambua cheo cha Mungu wake na yeye na jibu jepesi tu kua hakuna hekima lazima ufahamu huyu ni nani na napaswa kumtolea mfano upi mimi wewe tuko sawa na Mungu
Sasa angalau ange jibu hivi hapana Mungu sio mpumbavu na anahekima sana alafu anatoa hiyo mifano ya hiyo hekima au kasahau yesu alivyo kua anawajibu hao ndugu zake au yeye hakujaribiwa
 
Nimekuambia WALIO-PROMOTE UKRISTO DUNIANI...

Hao wote ni Wanafunzi wa Yesu, miongoni mwa Wayahudi WACHACHE ambao waliikubali Injili, na walichofanya ni kuhubiri Injili maeneo ya jirani lakini sio WALIOSAMBAZA UKRISTO DUNIANI!!

Wayahudi wengi waliukana Ukristo na ndo maana hadi kesho pale Israel Wakristo ni Wachache sana, na majority ni WAARABU na sio WAYAHUDI
 
Kauli ya Paulo haikuwa na tatizo lolote. Ni kauli iliyojaa hekima.
 
Kinachoshangaza ni kwamba Allah ndio anaelezea mambo hayo ya utungaji mimba kimakosa.

Kwamba Allah aliumba lakini hajui procedure za uumbaji.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lete procedure hapa za uumbaji sio unaongea tu kuna mtu hapa alikwambia unapo leta mada ue unauwezo wa kuleta usahihi wake wewe huo usahihi wake pia huu leti inamaanisha pia upo kiushindani na si elimu so huna jibu mpaka sasa linalo kutosheleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…