Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kipindi Hicho kuna sayansi ambayo ili advance kama Leo? Kumbuka huyo Muhammad hajui kusoma wala kuandika je aliwezaje kukopi hata kama hiyo sayansi ingekuwa ime advance? Hivi Kaka ubongo wako upo Sawa kweli?
Utuambie leo kama Muhammad alikuwa kiziwi
 
Huoni makosa hapo kwenye hiyo trend? Hatua za mtoto tumboni ndio ziko kwenye mpangilio huo?

Naurudia tena hapa chini:

Kutoka sperm - kuwa damu iliyoganda - halafu nyama - kisha mifupa - baadae mifupa inavalishwa nyama - ndipo anatokea kiumbe mwingine..
Inaelekea akili huna sijui umesoma shule zipi zilizokufanya uwe mjinga kiasi hiki ? taratibu ya majadiliano ilibidi wewe uonyeshe usahihi kea kutumia huo usahihi ukosoe upotoshaji unaouita wa kwenye Qu'ran hapo utakuwa umemuelimisha mtu kwani ataweza kucompare na kugundua ukweli na upofu kwa misingi wa ulinganifu.

Sasa unaponiuliza mimi kama hizo hatua zipo sahihi unajua vipi kama nina elimu ya maswala hayo ? hawezi kuwa mwalimu bora kwa kukosa tu jibu la mwanafunzi pasi na kuweka jibu sahihi ili mwanafunzi alinganishe na kugundua makosa na kujifunza na mimi nilikuomba unipe jibu sahihi sasa wewe unapiga kona ukiitwa mwehu kuna makosa ? ndio maana nimesema uzi huu umeonyesha jinsi gani ulivyokuwa mweupe hata skills ndogo tu za majadiliano huna.
 
Kama hujaona tofauti hata nikiongeza nyama hutaelewa pia,,,naomba nikuache kwasasa
Kama hujaona tofauti hata nikiongeza nyama hutaelewa pia,,,naomba nikuache kwasasa
Mkuu labda wewe mwenyewe hujasoma bandiko lako....Hapo kuna sehemu umeweka hoja ya kwanini malaika sio maroboti?
Nimesoma mara tatu sijaona.
Sanasana umeconfirm kuwa ni maroboti maana hayana free will...Yenyewe yanafata Commmand/program iliyokuwa installed na Mungu
 
Kuna watu wajinga ambao badala ya kujiongezea maarifa na ujuzi wanabeza bila facts mradi mihemko ya kutukana na kutafuta sifa tu

Mjadala ungekuwa mzuri kama mtu angekuwa kasoma mawili matatu kutoka vyuo mbali mbali na kuelewa maana halisi

Hebu someni Harvard wameliongelea hili na sidhani kama wataalamu wetu wanaweza kuwazidi ma professor wa Harvard University

Na nyingine ni National Institute of Health View attachment 2373668View attachment 2373669
Ata umlete pimbi gani siwezi kubali sperm kuwa damu iliyoganda , damu mfu ndani ya mwanamke kwa siku 40 , baadae mifupa tupu skeleton siwezi kubali
 
Mkuu kwanza naomba nikupe salute maana angalau umekuja na kujenga hoja. Ndugu zako wengi wameleta vihoja
Shukran
Sasa mimi nitajikita kwenye huu mstari maana umetoa mtiririko wa uumbaji ndani ya tumbo la uzazi. Hatua dhahiri zinazoonekana hapo ni hizi:

Kutoka sperm - kuwa damu iliyoganda - halafu nyama - kisha mifupa - baadae mifupa inavalishwa nyama - ndipo anatokea kiumbe mwingine.

Huoni kama kuna mkanganyiko mkubwa hapo kwenye nyama kuwa mifupa? Pia damu ikiganda inakuwa imekufa haiwezi kuwa hai.
Ninakuelewa vyema, ila wacha niulize swali
Mkuu wafahamu kisayansi mtoto hukuaje akiwa tumboni? Yaani hatua au kama una ‘visuals’ zinazojaribu kuelezea.

Kwahiyo hapa unataka kusema kwamba mwanadamu hawi mwanadamu halisi kwa tendo la urutubishaji bali anakuwa mwanadamu baada ya kupitia hatua zote za development?
Ninasema kwamba Urutubishaji yai ni moja ya hatua ya kumtengeneza mwanaadamu kama ilivyo kuwa na manii zenye afya Mkuu.

Halafu mkuu hili ni swali korofi, japo si kwa namna mbaya.

Kwa maana itatubidi tuanze kufafanua maana ya mwanaadamu,

Je, sharti awe na roho au hata asipokuwa na roho.

Kama Kiumbe huyo si mwanaadamu mpaka awe na roho basi kwa mujibu wa hadithi hapa chini itatulazimu kufuatilia muda wa ukuaji wa huyu kiumbe, ila kama kiumbe hiki hata kisipokuwa na roho kinaitwa mwanaadamu basi tutasema ni mwanaadamu.

Imepokewa kutoka kwa Sayyiduna Abd Allah bin Mas’ud kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) amesema:

“Kila mmoja wenu ameumbwa tumboni mwa mama yake siku arubaini, kisha akafanywa pande la damu kwa muda kama huo, kisha kipande kimoja cha nyama kwa muda kama huo.

Kisha Mwenyezi Mungu huntuma Malaika anayeamrishwa kuandika mambo manne.
Ameamrishwa aandike amali zake, riziki yake, na siku ya kufa kwake, na iwapo atabarikiwa au atakosa baraka (katika dini).
Kisha roho hupuliziwa ndani yake…”
(al-Bukhari no: 3036)

Kimsingi swali ulilouliza ni pana sana,
 
Dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu hivyo ni maana general
Hii ndio tafsiri?🤣🤣 Kazi kwelikweli. Kwahiyo hicho ndio Allah amekuletea lakini hakuwapelekea wajapani na wachina? Je kwanini mifumo yao ya maisha sio dini kwako?
 
Nikirudi kwenye swali lako, siko kiimani sana ila hayo maandiko kwa hicho kipande ulichoweka yako sahihi sana. Nadhani kikubwa ni tutofautishe kati ya tafsiri na maana, tujikite kuelewa yalichokusudia.[/QUOTE]


Yaani hapa sidhan kama kuna maongezeo. Kongole kwako Tafsiri vs maana.[emoji419][emoji419]
 
Kwa usahihi ilipaswa kuanziwa aya ya nyuma yake isemayo;

28:12
“And indeed, We created humankind from an extract of clay,”

“Na hakika tumewaumba watu kutokana na udongo.”

28:13
“then placed each ˹human˺ as a sperm-drop in a secure place,”

“kisha tukamweka kila mtu kama tone la manii mahali pa usalama.”

28:14
“then We developed the drop into a clinging clot ˹of blood˺, then developed the clot into a lump ˹of flesh˺, then developed the lump into bones, then clothed the bones with flesh, then We brought it into being as a new creation. So Blessed is Allah, the Best of Creators.”

“Kisha tukalifanya tone kuwa pande la damu linaloshikana, kisha tukalitengeneza pande la damu kuwa bonge la nyama, kisha tukaliumba bonge hilo kuwa mifupa, kisha mifupa tukaivika nyama, kisha tukaifanya kuwa kiumbe kipya. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu, Mbora wa Waumbaji.”

28:15
“After that you will surely die,”

“Baada ya hayo hakika mtakufa,”


Hapana, na hapa ndipo ulipokosea mtirirko mzima, kuanzia pale aya inapoeleza kuhusu ‘Blood Clot’ inaongelewa hatua ndani ya tumbo la mama na si manii kama manii.


Maana ya neno za kiarabu “Alaq”
Kwa mujibu wa Dr. Zakir Naik ameeleza kuna maana tatu za neno “Alaq”

1. Kitu kama Ruba (leech-like substance) kiumbile na kitabia
Katika hatua za mwanzo za “embryo” huonekana kama ruba, mbali na muonekano huo pia hua na tabia kama ya ruba kwa maana hupata nutrisheni (nutrition) zake toka kwa mama kupitia placenta.
View attachment 2373715
View attachment 2373716

2. Kitu kinachoshika/ganda (Clinging substance)
Hapa kwa maana ya kuwa “Embryo” huganda kwenye ukuta wa uterus kwa miezi yote 9.
View attachment 2373717

3. Kama Damu (Clot/ Conjured out of blood)
Katika hatua za mwanzo damu huwa haitembei na huonekana kukusanyika sehemu moja.
View attachment 2373719



Hapana, manii huingia kwenye yai kulirutubisha, baada ya kueleza makao ya manii aya ilienda moja kwa moja kueleza yanayotokea tumboni kwa mama.

Inategemea wakati gani, wakati wa hatua za mwanzo huwa na kitu kama damu iliyoganda.

Hapana, inafahamu, na katika Quran 28:14 katika lugha ya kiarabu limetumika neno ‘nutfah’ ambalo wafasiri wamelifasiri kuwa ni yai lililorutubishwa.


Hapana, hatua zilizoeleZwa zilielezwa zinazokuwa zinatokea tumboni kwa mama.


Kauli ile imetokana na ukweli kuwa hatua za mwanzo za ukuaji wa mwanaadamu tumboni hazitofautiani na za Samaki, Mjusi, Panya, Sungura na wengine mpaka pale mikono na miguu inapoanza kujijenga.
View attachment 2373731
View attachment 2373732
Shukran sheikh,kazi umeimaliza
 
Mkuu labda wewe mwenyewe hujasoma bandiko lako....Hapo kuna sehemu umeweka hoja ya kwanini malaika sio maroboti?
Nimesoma mara tatu sijaona.
Sanasana umeconfirm kuwa ni maroboti maana hayana free will...Yenyewe yanafata Commmand/program iliyokuwa installed na Mungu
Ngoja nichukue nafasi ya mwisho kukujibu kabla hujaonyesha upuuzi wako

Nimekuonyesha wakihoji juu ya kuumbwa Kwa Adamu? Je roboti linahoji?

Pili hawana free will kwakuwa wao hawana mambo maovu na mabaya,Wana mission maalumu.

Ngoja nione kama umeelewa au laa! Ili nijue najadiliana na mtu anayejitambua au mpuuzi kama MOKITI na Championi!
 
Ukisema wapo kama maroboti unakosea,na hawana mambo mengi ya kuhoji,,,sehemu moja Tu ambayo tumeonyeshwa wakihoji ni pale alipokuwa anaumbwa Adamu,wao walimwambia Mwenyezi Mungu je Una Muumba kiumbe ambaye atakuja kufanya ufisadi na kumwaga damu?

Mola wao akawajibu kuwa yeye anayajua wasiyo yajua wao,ndio pale baada ya kumuumba,akamfundisha baadhi ya mambo,kisha akawauliza Malaika awatajie majina ya vitu kadhaa,wakashindwa na kisha Adamu akavitaja,ndio pale wakaambiwa wamsujudie Adam Kwa heshima.
Hapa umeandika huku ukijipinga. Inaonesha hufahamu maana ya free will.

Malaika hawana free will kwakuwa wao wameumbwa Kwa kazi maalum Tu,,,ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.
Naomba aya inayosema hili.
 
Kisai mziki mzito huu , Allah katema pumba sayansi inamuumbua , usijifiche kwenye kiaarabu
Tunaongelea Elimu hapa hatuongelei utoto. Nyinyi kama Hanna matini ya vitabu kaa kimya. Sisi marejeo tunayo.

Namsubiri aje kujibu swali nilili uliza au kama unaweza msaidie.
Allah hana sifa ya kukosea sababu yeye ni mkamilifu.
 
Hakuna lugha ya picha , Muhammad mwenyewe kasema linazama kwenye chemchem ya matope , kwingine kasema ni kwenye kiti Cha Allah ambao chini yake Kuna maji na jua linaongea linamuomba Allah kila siku
Bibi yako alipokua anasema jua limezama alimaanisha linazama wapi!?
 
Hii ndio tafsiri?[emoji1787][emoji1787] Kazi kwelikweli. Kwahiyo hicho ndio Allah amekuletea lakini hakuwapelekea wajapani na wachina? Je kwanini mifumo yao ya maisha sio dini kwako?
Nikikujibu wewe sio wajapan au wachina elewa kua mfumo wowote ule wa maisha ya mwanadamu adam hiyo ni dini yake aijalishi ni upi ndio maana kuna uislamu na ukristo maana yake kua kama unafuatilia mfumo wa ukristo basi wewe Dini yako ni mkristo ila inaonekana wewe hauna uelewa kabisa so wewe umesema huna dini maana yake huna mfumo wowote wa maisha sawa
 
Mjumbe auwawi.

Kama kuna anaweza kutengeza angalau aya moja ktk quran basi uwanja ni wenu.

Mana kuna watu hawataki kuamini kama quran ni maneno ya Allah mwenyewe muumba mbingu na ardhi pasi na nguzo na wala hana mshiirika katika ufalme wake...wenye kupinga wanapinga tu kwa kuwa wana upungufu wa hormones flani kwenye miili yao na pia wana stress za ajira maisha magumu.coz wapingaji wakubwa walikuwa zama zake mwenye mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam lakin hawakufanikiwa .itakuwa hawa wa leo mavi kunuka wanaoshinda kwenye betting na wazinifuView attachment 2373744View attachment 2373745
 
Back
Top Bottom