professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Nipe mtu alie sema maana sio sahihi nikupopoeni hapa mwalimu wenuKila siku sayansi ikiwaumbua mnatunga maana mpya ya maneno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mtu alie sema maana sio sahihi nikupopoeni hapa mwalimu wenuKila siku sayansi ikiwaumbua mnatunga maana mpya ya maneno.
Nakupa na uthibitisho wewe we mtoto mdogo sana kwenye elimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naona sasa unapoteza network. Pengine na wewe jibril amekukaba.
Rafiki yako nimempa historia ya quran na manuscript aelewi anafanyaje huko kamsaidieHuyo championship amewavua nguo humu. Jamaa pamoja na motiki, yaani watu wawili wamewashinda kwa hoja. Waislam kibao wamekuja humu wakaona pamoto wakakimbia.
Hahahah manuscript wamekuelezea vizur BBC wakatilie sasa huna elimu wewe zaidi ya ku Google.Kukataa kwako majibu sio tatizo kwetu
Nipe mtaalamu wako wa lugha ya kiarabu aikatae maana niliyo toa nimpopoe hapaKila siku sayansi ikiwaumbua mnatunga maana mpya ya maneno.
Huyu Motiki hana logic yoyote isipokua ni kuikashifu dini ya uislam, mtu aliyekua timamuangejenga hoja kwann Ktk Qur-an kuna mazungumzo hadi ya wanyama lakini si kwa anachokifanya huyo kafiri mwenye kujiuna anajua na mwenye akili kuliko yeyote, hivyo ningekushauri tu uachane nae maana dini yetu imeshatuambia kua hakuna kulazimishana ktk dini, na kama anaona Qur'an imekosewa basi aandike ya kwake ambayo anaona ipo sahihi na mwisho yeye ana dini yake na sisi tuna dini yetu haijalishi anaifaham vipi hiyo Qur'an ila ameshaamua kufanya kufuru basi haina haja ya kuendelea kujibizana nae huyo kafiri.Daah sijaona kilaza mkubwa wa kiwango cha lami kama wewe.
Hata vitu vidogo tu kuhusu principles za lugha hujui.
Hujui hata maana ya “QUOTATIONS’
Tukienda kama akili yako inavyokutuma tutajaza tu servers za Jamii forums bure.
Mfano, mungu wako wa kwenye biblia (yesu) alichukuliwa na shetan na kupelekwa mlimani kujabiriwa. Eti mungu anajaribiwa na shetani daah hili likitabu lenu miyeyusho sana[emoji3][emoji3].
Walipofika mlimani,”shetani kamwambia Yesu ikiwa yeye ni mwana wa mungu ajitupe chini au abidili mawe kuwa mkate”
kwahiyo unatwambia biblia na yenyewe ni maneno ya shetani coz shetani hapo anazungumza kwenye biblia.
Una logic za kitoto sana…
Tukisema tufate logic zako humu , si tutajaza servers bure tu kwa upuuzi wako….
Hawana elimu hao na lazima tuwafundishe watake wasitakeMmeifuta tena post no 1743 endeleeni kufuta
Duh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu. Kipi cha ajabu hapo wakati yai (ovary) la mwana mke huwa nidamu ambayo iko ktk form ya liquid inapokutana na mbegu ya mwanaume nayo iko ktk form ya liquid kinacho zalishwa hapo kinahitajika kiwe ktk form ya solid sasa bila hilo yai lilochanganyika na mbegu kuganda yaani kuwa solid huyo kiumbe ataumbika vipi ? wewe yaani unashindwa hata kuona mfano mdogo wa utengenezaji wa ice cream.?Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana.
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke.
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama! Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!
Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
wewe usitoe akili mwako aya haikusema hivo hujui.Verse inasema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Yai la mwanamke halihusiki?
Kuwa makini usifananishe ice cream kuwa imeganda na damu kuwa imeganda utofauti ni kutoka alipo kaa kwenye kiti Allah na DuniaDuh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu. Kipi cha ajabu hapo wakati yai (ovary) la mwana mke huwa nidamu ambayo iko ktk form ya liquid inapokutana na mbegu ya mwanaume nayo iko ktk form ya liquid kinacho zalishwa hapo kinahitajika kiwe ktk form ya solid sasa bila hilo yai lilochanganyika na mbegu kuganda yaani kuwa solid huyo kiumbe ataumbika vipi ? wewe yaani unashindwa hata kuona mfano mdogo wa utengenezaji wa ice cream.?
Wasaidie ndugu zako wamekimbiaDuh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu. Kipi cha ajabu hapo wakati yai (ovary) la mwana mke huwa nidamu ambayo iko ktk form ya liquid inapokutana na mbegu ya mwanaume nayo iko ktk form ya liquid kinacho zalishwa hapo kinahitajika kiwe ktk form ya solid sasa bila hilo yai lilochanganyika na mbegu kuganda yaani kuwa solid huyo kiumbe ataumbika vipi ? wewe yaani unashindwa hata kuona mfano mdogo wa utengenezaji wa ice cream.?
Koran mnasomaga kweli , muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamuDuh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu.
Hakuna aliye kimbia ila kwa kuona uenda wazimu wenu hakuna anaekufatilieni tenaKoran mnasomaga kweli , muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Umeshapewa maana na umeshaikataa hivyo uone kua hatuna muda wa kuendelea na mpumbavuWasaidie ndugu zako wamekimbia
23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
1.Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
2.Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
3.Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
4.Mifupa inakuja kuvikwa nyama
Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?
N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
Mmeshindwa mada hakuna maana mmetoaUmeshapewa maana na umeshaikataa hivyo uone kua hatuna muda wa kuendelea na mpumbavu
Koran iliyo na translation kiswahili unatumia ya nani nipe jina nikasome kama ameandika mdudu jarubaUmeshapewa maana na umeshaikataa hivyo uone kua hatuna muda wa kuendelea na mpumbavu
Hakuna alie mpinga Mohamed kwanza ila wewe upo kibishani tu kabla mada haijaendelea uliulizwa unajua maana ya neno AlaqaMmeshindwa mada hakuna maana mmetoa
Mlichofanya mmepinga Muhammad kusema damu iliyoganda mkasema alisema mdudu leech, mmempinga mpaka Muhammad alivyoelezea kwenye Hadith
Soma qoute ya chini hiyo ni screen shot.
Ipinge hiyo au mlete mtetezi wako wa kuipinga hiyo.
Soma qoute nambari 1775 hiyo ni screen shot.Koran iliyo na translation kiswahili unatumia ya nani nipe jina nikasome kama ameandika mdudu jaruba