Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Huyo championship amewavua nguo humu. Jamaa pamoja na motiki, yaani watu wawili wamewashinda kwa hoja. Waislam kibao wamekuja humu wakaona pamoto wakakimbia.
Rafiki yako nimempa historia ya quran na manuscript aelewi anafanyaje huko kamsaidie
 
Daah sijaona kilaza mkubwa wa kiwango cha lami kama wewe.
Hata vitu vidogo tu kuhusu principles za lugha hujui.
Hujui hata maana ya “QUOTATIONS’
Tukienda kama akili yako inavyokutuma tutajaza tu servers za Jamii forums bure.
Mfano, mungu wako wa kwenye biblia (yesu) alichukuliwa na shetan na kupelekwa mlimani kujabiriwa. Eti mungu anajaribiwa na shetani daah hili likitabu lenu miyeyusho sana[emoji3][emoji3].
Walipofika mlimani,”shetani kamwambia Yesu ikiwa yeye ni mwana wa mungu ajitupe chini au abidili mawe kuwa mkate”
kwahiyo unatwambia biblia na yenyewe ni maneno ya shetani coz shetani hapo anazungumza kwenye biblia.
Una logic za kitoto sana…
Tukisema tufate logic zako humu , si tutajaza servers bure tu kwa upuuzi wako….
Huyu Motiki hana logic yoyote isipokua ni kuikashifu dini ya uislam, mtu aliyekua timamuangejenga hoja kwann Ktk Qur-an kuna mazungumzo hadi ya wanyama lakini si kwa anachokifanya huyo kafiri mwenye kujiuna anajua na mwenye akili kuliko yeyote, hivyo ningekushauri tu uachane nae maana dini yetu imeshatuambia kua hakuna kulazimishana ktk dini, na kama anaona Qur'an imekosewa basi aandike ya kwake ambayo anaona ipo sahihi na mwisho yeye ana dini yake na sisi tuna dini yetu haijalishi anaifaham vipi hiyo Qur'an ila ameshaamua kufanya kufuru basi haina haja ya kuendelea kujibizana nae huyo kafiri.
 
Hapo palipo andikwa

Ignore post view

Palikuwa na post yangu no 1559 post ambayo ilikuwa inamtaka Championship ajibu swali, swali ambalo Jibu lake ni

Ukitoka katika Seminal vesicle kuelekea juu utakutana na mifupa ya mbavu na ukielekea kulia au kushoto unakutana na uti wa mgongo

Ni Jibu ambalo linakubaliana Moja kwa Moja na Aya za Quran

Quran 86:5
Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?

6.
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,

7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Emdelea kuficha post zangu zinazofichua umbumbu wako wewe na hao wagalatia wenzako

Ila nimeshakuambia sio wewe tu Championship hakuna kafiri yoyote katika Dunia hi anayeweza kuthibitisha kuwa Aya za Quran ni maneno ya uongo

Screenshot_20221007-174814.jpg
 
Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana.

Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke.

Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama! Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!

Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
Duh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu. Kipi cha ajabu hapo wakati yai (ovary) la mwana mke huwa nidamu ambayo iko ktk form ya liquid inapokutana na mbegu ya mwanaume nayo iko ktk form ya liquid kinacho zalishwa hapo kinahitajika kiwe ktk form ya solid sasa bila hilo yai lilochanganyika na mbegu kuganda yaani kuwa solid huyo kiumbe ataumbika vipi ? wewe yaani unashindwa hata kuona mfano mdogo wa utengenezaji wa ice cream.?
 
Verse inasema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Yai la mwanamke halihusiki?
wewe usitoe akili mwako aya haikusema hivo hujui.

mwanzo mwa aya hiyo kwanza Allah alimuumba binaadam kwa udongo kisha akaja muumba binaadam kwa manii na akanza kupanga hatua zake,
 
Duh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu. Kipi cha ajabu hapo wakati yai (ovary) la mwana mke huwa nidamu ambayo iko ktk form ya liquid inapokutana na mbegu ya mwanaume nayo iko ktk form ya liquid kinacho zalishwa hapo kinahitajika kiwe ktk form ya solid sasa bila hilo yai lilochanganyika na mbegu kuganda yaani kuwa solid huyo kiumbe ataumbika vipi ? wewe yaani unashindwa hata kuona mfano mdogo wa utengenezaji wa ice cream.?
Kuwa makini usifananishe ice cream kuwa imeganda na damu kuwa imeganda utofauti ni kutoka alipo kaa kwenye kiti Allah na Dunia
 
Duh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu. Kipi cha ajabu hapo wakati yai (ovary) la mwana mke huwa nidamu ambayo iko ktk form ya liquid inapokutana na mbegu ya mwanaume nayo iko ktk form ya liquid kinacho zalishwa hapo kinahitajika kiwe ktk form ya solid sasa bila hilo yai lilochanganyika na mbegu kuganda yaani kuwa solid huyo kiumbe ataumbika vipi ? wewe yaani unashindwa hata kuona mfano mdogo wa utengenezaji wa ice cream.?
Wasaidie ndugu zako wamekimbia
23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
1.Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
2.Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
3.Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
4.Mifupa inakuja kuvikwa nyama

Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?

N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
 
Duh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu.
Koran mnasomaga kweli , muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
 
Hakuna aliye kimbia ila kwa kuona uenda wazimu wenu hakuna anaekufatilieni tena
 
Wasaidie ndugu zako wamekimbia
23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
1.Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
2.Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
3.Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
4.Mifupa inakuja kuvikwa nyama

Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?

N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
Umeshapewa maana na umeshaikataa hivyo uone kua hatuna muda wa kuendelea na mpumbavu
 
Mmeshindwa mada hakuna maana mmetoa
Mlichofanya mmepinga Muhammad kusema damu iliyoganda mkasema alisema mdudu leech, mmempinga mpaka Muhammad alivyoelezea kwenye Hadith
Hakuna alie mpinga Mohamed kwanza ila wewe upo kibishani tu kabla mada haijaendelea uliulizwa unajua maana ya neno Alaqa
Na hukujibu na screen shot umepewa
Alafu ikatae hii maana au muweke mtaalamu wako wa lugha anae ipinga hii maana ili nimpopoe hapa
Na kama ujamleta mtetezi wa kuikataa hii maana basi fahamu kua wewe ni kafiri usio na elimu alafu naja kukujibu kwenye hadithi
Nahii ndio itakuwa nafasi yako ya mwisho kusoma.
Screenshot_20221006-225344.jpg
 
Soma qoute ya chini hiyo ni screen shot.
Ipinge hiyo au mlete mtetezi wako wa kuipinga hiyo.
Koran iliyo na translation kiswahili unatumia ya nani nipe jina nikasome kama ameandika mdudu jaruba
Soma qoute nambari 1775 hiyo ni screen shot.
Ipinge hiyo au mlete mtetezi wako wa kuipinga hiyo.

Alafu ukisha soma hiyo qoute unganisha na Elimu hii hapa

The period begins on day 15 and is completed on day23 or 24,when the embryo gradually acquires the shape of a leech, the Arabic word “alaqah” has three meanings --- (i) Leech (ii) a suspended thing (iii) a blood clot. There is a great similarity between a fresh water leech to early embryo. Enclosed picture shows the similarity between the two. The second meaning is a suspended thing and that is what we can see the way embryo is attached to the placenta in this stage. Both these meanings describe and reflect accurately the external appearance of embryo at this stage. The third meaning –“the blood clot” describes the most important internal structure that affects the external appearance, for in alaqah stage blood is formed in the blood vessels in the form of isolated islands and the embryo resembles a blood clot descriptions are given miraculously by a single word----“Alaqah”.”

‘ALAQA (CLOT?!?) AND OTHER EMBRYOLOGICAL STAGES IN THE QUR'AN

Dr. William F. Campbell

It has been said that the idea of the embryo developing through stages is a modern one; that the Qur'an is anticipating (i.e. prophesying) modern embryology by describing different stages in the development of the embryo. In a pamphlet entitled Highlights of Human Embryology in the Koran and the Hadith by Keith L. Moore, M.D.[1], Dr. Moore claims that outside the Qur'an, "The realization that the embryo develops in stages in the uterus was not discussed or illustrated until the 15th century AD".[2] In addition the claim is made that the stages described in the Qur'an match our modern knowledge.

We will weigh these claims by considering the meaning of the Arabic words used by the Qur'an and secondly by examining the historical situation leading up to and surrounding the Qur'an.

Let us start by looking at the main verses using the word ‘alaqa.

‘ALAQA

The Arabic word ‘alaqa in the singular; or ‘alaq as the collective plural is used to indicate a stage in the development of the fetus six times in five different Quranic verses.

In the Sura of the Resurrection (Al-Qiyama) 75:37-39, we read,

"Was he (man) not a drop of sperm ejaculated? Then he became a leech-like clot (‘alaqa) and God shaped and formed and made of him a pair, the male and the female."

In the Sura of The Believer (Al-Mu'min) 40:67, it says,

"He it is Who created you from dust, then from a sperm-drop, then from a leech-like clot (‘alaqa), then brings you forth as a child, ... that perhaps you may understand."

In the Sura of The Pilgrimage (Al-Hajj) 22:5, it says,

"O mankind! if you have doubt about the resurrection (consider) that We have created you from dust, then from a drop of seed, then from a clot (‘alaqa), then from a little lump of flesh, shapely and shapeless ..."

And finally the fullest treatment is in the Sura of The Believers (Al-Mu'minun) 23:12-14, which reads:

"Verily We created man from a product of wet earth, then placed him as a drop of seed in a safe lodging, then We fashioned the drop a clot (‘alaqa), and of the clot (‘alaqa) We fashioned a lump, and of the lump We fashioned bones, and We clothed the bones (with) meat. Then We produced it as another creation."

These stages can be summarized as follows:

QURANIC STAGES OF PRENATAL DEVELOPMENT

STAGE 1. nutfa -- sperm

STAGE 2. ‘alaqa -- clot

STAGE 3. mudagha -- piece or lump of flesh

STAGE 4. ‘adaam -- bones

STAGE 5. dressing the bones with muscles

Over the last 100 plus years this word ‘alaqa has been translated as follows:

French, un grumeau de sang (a small lump of blood) - Kasimirski, 1948 (last Ed. during life of author was 1887)[3]

a leech-like clot - Yusuf Ali, (translation of 1938) 1946[4]

a clot -
 
Back
Top Bottom