Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Pole sana mama angu
Muombee kwa Mwenyezi Mungu
Na uwe mwenye subira
Na usichoke kutafuta namna bora ya kuyajadili haya ndani ya nyumba hakika utafanikiwaπŸ™

Tunashukuru kwa ujumbe pia umetufikia na tunauchukua kwa kujifunza
UbarikiweπŸ™
 
Umeongea vizuri sana mkuu, POMBE na WANAWAKE ni vitu viwili vinavyoturudisha nyuma sana sana.

Ukiweza kuzishinda hizi tamaa mbili, ukajibidisha kutafuta pesa, uzee wako utakuwa wa raha na amani, short of that ni majuto..

Tatizo sasa, nyama moja inakifu balaa😁
 
Yeah,inawezekana stress anazo lakini comments zinachekesha kinyama 🀣

Lakini uzuri wa uzi wake hajaja kuomba ushauri...yeye ndio kaja kuwashauri madume suruali

Hahah...

Kungekuwa na namna ya kumtag "mai husband wake"...ningefanya hivyo 😊
 
Umepewa kifurushi cha kufanana nawe, na umekibeba for 7 good years acha kulialia kila mtu atauchua mzigo wake mwenyewe pambana.
Mbadilishe huyo mume wako kwanza, kabla hujawaza kubadilisha wanaume wa Jf maana charity siku zote it begins at your own home.
 
Mleta mada mimi nipo na wewe, sasa cha kufanya(kutegemeana na mnavoishi)
...kama kipo kiwanja tafuta laki tano, nenda ukanunue tofali 500 weka site then mwambie uone reaction yake.
 
"YAANI unaamini yeye atatangulia KUFA kabla yako"

Wanawake mnatukosea SANA!!😑😑😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…