Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Pole mtoa mada, kadhia yako kwa mumeo umeona itumike kutu alert โš ๏ธ Wanaume wengine kujitafakari, kwamba pamoja na starehe tunazofanya tuhakikishe tunatunza na hela za kufanya maendeleo.

Sio Wanaume wote wanaweza kujiongoza kufanya maendeleo, wengine wanahitaji kukumbushwa kama ulivyofanya. Hata Serikali hushauriwa kuhusu nini cha kufanya kulingana na vipaumbele vyake.

Ila ukumbuke Sisi Wanaume hupenda kushauriwa kwa hekima, tafuta nafasi baada ya chakula cha usiku( mizagamuo) akiwa amekukumbatia baada ya hiyo shughuli ndiyo umshauri kuhusu umuhimu wa kuanza ujenzi hata kwa kujibana.

Muoneshe wasiwasi wako kuhusu idadi kubwa ya watoto mlionayo huku mkiendelea kuishi kwenye nyumba za kupanga.

========

Pamoja na kupigwa mawe hapa kwenye hizi comments nilizosoma ila tukikaa wenyewe ujumbe unatuchoma hasa.

Tunasema message delivered ๐Ÿ‘
 
Kwani Wewe umejipangaje na life,mumeo anakushindaje? Tumia rasilimali zako zote kama mwanamke naamini ligi itakua yako. Miaka 7 ndoa mbichi kabisa hyo ,maamuzi ya kumnyoosha unayo Wewe au kushindwa na kubaki kulalama mpaka amekuoa means you've sth special .
Mwanaume ni mtoto wako wa kwanza kwenye ndoa hatujawahi kua ,we are always young so Lea kama unavyolea mtoto wako huyo ndo mume na chaguo lako.
 
Tulosoma cuba tushajua!!!, unataka afanye maendeleo afu umuue, umiliki kaya.
Inawezekana pia mshkaj anajua hayo ndio maana hamshirikishi anatindua kimya kimya isije yakaja ya kugawana Mali mapema[emoji38]
 
Ahahaha nipo...nipo mshkaji wangu kumbe uli notice kupotea kwangu eeh!!? Amehlo anani keep busy "kweri kweri"
1687930433321.png
 
Wanawake wote wanajua sisi ndo tutakufa kabla yao.
Ikute wanatuwekea vitu tufe mapema
Kweli kabisa unakuta friji baada ya kukaa matunda wanaweka makeki kibao Kama birthday na masoda mpaka mayonaiz[emoji51]
Tupate visukari presha tufe mapema
 
Kweli kabisa unakuta friji baada ya kukaa matunda wanaweka makeki kibao Kama birthday na masoda mpaka mayonaiz[emoji51]
Tupate visukari presha tufe mapema
Sasa kwenye hivyo huoni ni wewe kujiongeza kula au kutokula
 
Kwa ulivyo wasilisha hoja yako ukilaumu kila mtu ,huyo mume wako hawezi kuwa na maandeleo kabsa ,sababu sio yeye sababu ni wewe , jiangalie sna kama unamtosha ili yeye awe na maendeleo .
 
Umeongea kwa hisia sana shogare

Vipi we una maendeleo yoyote?

Aah havinihusu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ila pole
Maendeleo yake si kuzalishwa, kumstarehesha mumewe na kulea watoto?

That's her primary duty as a wife (ma feminists msinirukie!)

Na ukimsoma vizuri (kama umesoma Cuba) ana hasira sana; na hasira hizi naamini zinasababishwa na mumewe kuwa k*tombi. Da woman is in pain!

Pulizi piga goti chini hapo ulipo umuombee mwanamke mwenzio ili mumewe apunguze akina Mama J. huko nje ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Maana badala ya kupambana na k*tombi wake huko amekuja kutubebesha msalaba wa lawama wanaume wote hapa duniani!

Not fair!
 
Back
Top Bottom