Kuwa natural ndio kuwa mzuri?Mimi nawaona wazuri mno , hawajichubui wapo natural sana ,na wanajiamini mno.
Mmatumbi na mwarabu wana udugu gani ?Ni ndugu zao, kwanini wawashobokee sasa
Waongo hao bhana, eti zaidi ya 500 sijui zaidi ya 800....wabongo kwa kukuza mambo utatuwezaView attachment 3544720
Hizi ni nguvu za kiume au?๐ค
Wazanzibari sio wamatumbi ๐คMmatumbi na mwarabu wana udugu gani ?
Haswaaa, wabongo wengi ni wekundu ila hapo nyuma walikua weusi sasa sijui hizi adaptation zimetokea vipKuwa natural ndio kuwa mzuri?
Waongo sana, sema hawa wanawake nao duh! Uwakute ss kwenye comments wanatukana wenzao wanaosettle for less๐Waongo hao bhana, eti zaidi ya 500 sijui zaidi ya 800....wabongo kwa kukuza mambo utatuweza
Kuwa natural sio kuwa mzuri..Haswaaa, wabongo wengi ni wekundu ila hapo nyuma walikua weusi sasa sijui hizi adaptation zimetokea vip
Wamatumbi wapo kibao ๐ na ndio watu wa asili ya hapo hao waarabu wakuja tu nakuzaliana na wamatumbiWazanzibari sio wamatumbi ๐ค
Wabongo wengi kiasili ni Light skinned tofauti na Kenya na Uganda wao wengi ni Dark skinnedHaswaaa, wabongo wengi ni wekundu ila hapo nyuma walikua weusi sasa sijui hizi adaptation zimetokea vip
Kuwa mzuri ni kuwaje?Kuwa natural sio kuwa mzuri..
Naona unakubali sasa kua Wazenji na Waarabu ni ndugu๐hao waarabu wakuja tu nakuzaliana na wamatumbi
Kila mtu atajisifia kulingana na sehemu alipo lakin ๐ฐ๐ช inawanawake wazuri kulinganisha na ๐น๐ฟ tukisimamia ukweliWabongo wanajitahidi ila kwa kenya tuko vizuri zaidi
Hio sio kwa wanawake tu hata hao wanaume wanaowatukana hao wanawake kama wangefatwa na Mrussia mwanamke wangejipeleka kama mizombi imeona nyamaWaongo sana, sema hawa wanawake nao duh! Uwakute ss kwenye comments wanatukana wenzao wanaosettle for less๐
Sio kweli , wadada wabongo wengi hawajiamini na rangi ya weusi , wanaona weupe ndio uzuri, hivyo hufanya kila njia kuwa weupeWabongo wengi kiasili ni Light skinned tofauti na Kenya na Uganda wao wengi ni Dark skinned
Kuna ile kila mtu anavutiwa kwa namna yake, ila kuna yule kila mtu akimuona tu anasema huyu kweli mzuri anavutia kumuangalia kuanzia nywele mpaka ukucha ๐๐ฝKuwa mzuri ni kuwaje?
Hmm sikubaliani na hili!Kila mtu atajisifia kulingana na sehemu alipo lakin ๐ฐ๐ช inawanawake wazuri kulinganisha na ๐น๐ฟ tukisimamia ukweli
Wamatumbi wa asili kabisa ,wapo kibao tu .Naona unakubali sasa kua Wazenji na Waarabu ni ndugu๐
You ever seen how a poor guy behaves around rich men?Hio sio kwa wanawake tu hata hao wanaume wanaowatukana hao wanawake kama wangefatwa na Mrussia mwanamke wangejipeleka kama mizombi imeona nyama