Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wanataka kufanana na wazungu hapo hapo wazungu nao wanajianika juani walau wapate dark color....

The world is fair because is unfair to everyone
Kuna zile mashine hutumia wanaziita tanning bed, zinakuwa zinawaka mwanga wa blue ambao ni ultraviolet, wanawake hata wanaume wa kizungu huzitumia sana kwa ajili ya kuchochea mwili uzalishe melanin, hivyo inapelekea ngozi kuwa darker...

Akitoka hapo anaonekana kama ametoka beach, wazungu huwa wajianika juani walau wapate darker skin, huku mwafrika akijichubua ili awe kama mzungu..

Hizo tanning bed ilikuja kuonekana zinaweza pelekea skin cancer, hivyo hivi sasa wanatumia lotion wanaita self tanning, hio husaidia ngozi kuwa darker.. japo tanning bed bado wanatumia...

 
Unaona sasa kila mtu anahangaika kivyake😆 basi tusiwaseme sana Congolese
 
Ukitaka kujua kuna waganga wa kweli mfuate mmoja wapo wa hao wanawake waliorekodiwa ambao hadi sasa hawaja achika.
 
Hatuwezi kuthibitisha harufu ya pafyumu kupitia video zinazosambaa mtandaoni. Kwahiyo kwa sasa tunahitimisha tu kwamba wale wanawake ni malaya
 
Daah! ila wale wanawake wametuangusha sana, huwezi kumfata a stranger namna ile kama mbwa anavyomfata chatu, anyway justice for them wamedhalilishwa kwa kurekodiwa bila kujua na kupostiwa
Video nitaazipata wapi?
 
Sio Mrussia peke yake kuna namna Mwanaume ukijweka hapa Bongo..utakuja kunishukuru..acha kukaa kindezi ndezi mtoto wa Kiume.
 
Kupata pisi kali Kenya ni shughuli ngumu sana. Nimetembea tembea nairobi, kule ni sura za baba na shape namba 1 au 9 tu
Ngoja wakukute usikimbie.

Ila mimi kama beer-holder nawaonaga kama yule Arvil msanii wana sura nzuri , nadhani ni wameru wale sijui
 
H
 
Au utakuta kwavile ni mzungu ndomaana wanamfata.
 
Hiyo paragraph ya mwisho unaweza kutekwq na kunyofolewa figo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…