Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #141
Hilo linajulikana mkuu. Kwani hivyo visa havipo Marekani? Ndio swali languRecording someone having sex without their consent is generally illegal and considering a criminal act in most jurisdictions. Marekani sio kama Bongo au Kenya,
Haiwadhalilishi wanawake? Unaweza kutazama porno au OF mbele ya watu unaowaheshimuKama unataja pornstars na onlyfans models unachemka vibaya sana, they're content creators and making more money than you, sasa wanadhalilishwa kivipi?
Hilo linajulikana mkuu. Kwani hivyo visa havipo Marekani? Ndio swali langu
Jibu swaliMarekani huwezi kujaribu kufanya huu upuuzi, utakwenda jela na lawsuit juu. Na ukifika jela utateseka vibaya sana.
Jibu swali
Inasikitisha sana malaya ni malaya tuMwanzoni nilikuwa nawaonea huruma sana ila nilipotazama video ya yule bi mkubwa kawahi kumrudisha dogo home chaap ili awahi kwenda kupigwa ndogo na jamaa 😠 aiseee nilipata hasira halafu eti bi mkubwa ndio anajikuta fundi maiko kuilengeshea kabsa 😠 daah Russian Baltazar ametunyoosha kwa hakika
Katoto kalikuwa kanamuuliza "Mamaa unaenda wapi mbona una haraka?" eti huyo mama anajibu "naenda kumsalimia mgonjwa narudi mapema' 😔 yaani ni kama mimi ndio nipo nafasi ya dogo 😠 mwanamke anapagawa na 🥒 ya mrusi mpaka majasho!Inasikitisha sana malaya ni malaya tu
Zinaitwaje.Huko mtandaoni Kuna binti insemekana kaliwa na huyo mrussia anasema huyo mrussia alikuwa amepaka perfume fulani ambayo harufu yake inampa mwanamke nyege ghafla. Inawezekana ni uongo au ni ukweli, hizo chemical huwa zipo siku nyingine mwanamke akisikia harufu tu anapata nyege nyigi mno kuliko nyege za ovulation na inakuwa ghafla ndani ya dakika au sekunde chache. Hizo chemical huwa zinachochea hormones za mwanamke kutoka kwa wingi ghafla hasa estrogen hormones
Sidhani kama ni kiswahili sanifu lkn, i meant kuna mdada kampata kanisani huyo Mrussia😀Sijawahi sikia mtanzania akitumia neno" adi" wewe ndo wa kwanza😅
Vijana wa huku kwetu Kenya especially the Gen Zs ndo wana hiyo tabia ya kuanza sentensi na hilo neno" adi"
Utasikia wakisema,
Adi sijui
Adi sijamuona
Of course sio Kiswahili sanifu nadhani ni filler words bt inaonekana wewe ni mwenzetu kbsa😅Sidhani kama ni kiswahili sanifu lkn, i meant kuna mdada kampata kanisani huyo Mrussia😀
Tajiri naona umeongeza net worth yako mkamaria, hongera. Umemuotea kanji
Duh hatari sana , kwamba mtu aliyefanyeje huko imeandikwa?Balthazar aliingia kwenye GENESIS RECORD
Wenyeji wa hapo kwenu Zanzibar wanawashobokea waarabu hakuna tofauti yoyote hapo.Kuna kitu hujakielewa, tunazungumzia kuhusu MGENI/MZUNGU, sio wenyewe kwa wenyewe, culture ya kitanzania imemshape mtoto wa kike awaogope wageni na hata aogope kwenda nje ya Tanzania ndio maana huko duniani wabongo sio wengi sana ukilinganisha na mataifa mengine ya kiAfrica,
Mfano mzuri hapo Znz, wazungu wapo teleeee mnapishana nao hadi vichochoroni ila huwezi kumkuta BINTI WA KIZANZIBARI anaranda randa na kijishungi chake au kiremba kichwani akiwa na mzungu, imewekwa mipaka kua wageni waje wafanye yao waondoke na sio kujichekelesha chekelesha kwao, ila haimaanishi kama wenyeji hawalani wenyewe kwa wenyewe....sijui kama hapo umenifahamu???
Kwanza tuzijue sifa za malaya kabla ya kutoa neno.Justice haichagui, na kuwaita malaya ni kuzidi kuwavunjia utu wao
Kenya kuna mwanamke wazuri mno labda kama unasema weupeKenya kupata mwanamke mzuri ni mtiti labda pwani huko
kawalala wanawake zaidi ya 600 tena wale classic with videoDuh hatari sana , kwamba mtu aliyefanyeje huko imeandikwa?