Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

Uliyeandika huu uzi ni mwanaume au mwanamke?

Kama ni mwanaume, unakuaje muoga muoga hivyo!!
 
Raha ya JF ni kwamba tunashare idea na Baba,Mama,SHANGAZI na viongozi wetu bila hata kujua wala kuhofia na tunawatania Vzuuur tu.
 
Shukrani saana ndugu yaangu, dua zako zikubaliwe,
Ubarikiwe saana mkuu.

Nisingekutonya dua hizi ningezipata saa ngapi[emoji91]
Amin, Na ndo maana tunawasih msiwe wasili kama Uncle, Utaskia tu nmepata mtoto wa kiume. Tutataka kujua umempatapataje. Dua nene.
 
Uliyeandika huu uzi ni mwanaume au mwanamke?

Kama ni mwanaume, unakuaje muoga muoga hivyo!!
Jamaa unanionea 😀😀 mimi sijaonyesha uoga ni mtazamo wangu,siunaona trends za wachangiaji zinavyokatika?Yes na No za kutosha na ushauri wa aina mbalimbali tunapata.
 
Dada unaushauri mzuri sana pale mwisho ulivyomalizia,nahisi wewe ni mke bora kwa mume wako kama huna Mungu akujalie nakuombea.
 
Sh
Sheria bro?😀😀😀 watu watalala juu ya miti.
 
Mi mniuwe siendi, yani ni shuhudie kile kichwa kinapotoka aise naweza poteza hisia.
[emoji23][emoji23]Sasa wee si ndo mhusika si mnasemaga hebu tujazie jazie miguu ya mtoto[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23]Sasa wee si ndo mhusika si mnasemaga hebu tujazie jazie miguu ya mtoto[emoji1787][emoji1787]
Hapo ndo siku unashuhudia mdogo wqko anazaliwa Maana wewe ni 1st born.
 
Nipo nahesabu watakao ingia labour na wake zao Hadi Sasa wamefika 50 mwitikio mzuri
 
Mkuu, you spoke my mind.
Sometimes we are better-off not knowing some stuffs.
Labor inakuja na vitu vingi ambavyo ni embarrassing.
Imagine seeing mke wako anajinyea, anachanika, anatukana etc..
Utaendelea kuwa na sexual desire ileile kwake??? Maybe or maybe not..
Kitu ambacho nakubaliana nacho ni kuingia naye Theater kwa ajili ya C/S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…