Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Yaani nimechekaje hapa adi wife ananiuliza ni Nini.so unakuwa mgumu ili sio kila mtu aile
Weree... mma roho mbaya nayo kweli. Kila nikiifikiria naihurumia. Kuna saa nalachungulia kanatia huruma kenyewe kametulia kanarembuaaa. Basi nakaambia tulia, nitakulinda kama last born. Basi ndo kametulia kwenye cotton huko hakana hata wasiwasi. Sikagawi bana. Ubaya ubayani tu. Usifikiri nikicheka cheka na wewe ndo nakupa. Mifupa ya babu yangu kaburini

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Duuu natamani nimuone alivyo ndani ya cotton kwani ukimtoa atazeeka ama atakuwaje
 
Mos Def....๐Ÿ˜…
 
Lipi hilo
SisterEvelyn we acha tuu!!!
-Zaman mke ndio alikuwa anaweza kumwomba hela Mme wake...
-Ikaja baadae mkaanza kuomba hela wakati bado mpo kweny uchumba....
-Ikaja tena baadae mkaanza kuomba hela kabla hata hamjaingia kweny uchumba...
-Na sikuiz mnaomba hela kwa kijana yeyote wa kiume anayeonesha interest kwako(this is very discouraging)

JUZI JUZI JUZI....BHANA SIKUAMINI MACHO YANGU!!!.....yaan kuna mdada simjui wala hanijui ameniomba hela tena alikuwa na wenzake wawili...upo hapo??
Mshafikia hii stage aisee๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

NAHIC ITAFIKA KIPINDI MTAKUWA MNATUPORA HELA KABISA BILA KUOMBA....
 
Hii ni leo....sio sina hilo ten mkuu...shida ni ten linaweza enda alafu maku niisikilizie kwenye bomba View attachment 1966910

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio hela inadaiwa haiombwi hapo yani ni kama hela ya vikoba๐Ÿ˜‚ na kwa style hio ya baadae natoka labda nikiwahi huyo mtengee 30K tu! Tuma leo, akiomba tena kesho tuma ya mwisho omba aje ghetto mdiscuss jambo la maana kisha kamalize!
 
Hahahahah itafikia stage ya robbery! Demu anakupiga sachi bila maelezo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naona kipaji cha Sanaa cha kutunga mashairi kweny maneno yako๐Ÿ˜…
 
Ila mbona watu tuliowahi kukutana na wazungu mbona hata kwenye dating lunch au dinner wanalipa wenyewe? Hawa wenzetu wanafanya mwanaume awe yesu na mwokozi wa matatizo yao
Wazungu wanajitambua sana yani๐Ÿ˜… sio siri mzungu anajua kabisa kwamba its so fuccking disgusting kuwa omba omba!

Yani haijawahi kuwa sawa kwamba lazma yeye alipiwe kila kitu vingine anajiongeza tu. Inaleta balance flani kwenye mahusiano hasa ikiwa wote mnajiweza a man feels proud to spend on such kind of woman sababu nae anamjali na mapenzi motomoto yani hamna chembe za utapeli ndani yake. Bongo wapo wanawake design hii ambao sio wachoyo na wabinafsi japo ni wachache mno. Yani ratio yaweza kuwa 5% out of 95% na wakipendaga they do love for real! Utakula nae bata and still she makes you feel at ease sababu she is loyal.

About 95% ya madem wa kibongo ni wabinafsi na roho za kimaskini siku akispend hela yake kwako hata buku tu anaandika kwenye diary ipo siku atakusimanga na hilo buku yani wengi they donโ€™t have such hearts. Atatumia 10K yake kwako kukulainisha ila atakupiga mzinga wa 50K yani lazima ajilipe ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ