Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Binafsi naona kuomba pesa kunasaidia sana wanaume, unapunguza idadi ya wanawake ambao unaweza kuwabamiza kirahisi bila usumbufu.

Ukiwa unapata free ride kila mara unaweza shangaa unakuwa malaya hivi hivi, hizi 10k+ nk zinatufanya turudishe Majeshi nyuma na kuona bora niwe na mmoja aua wawili tu maisha yasonge.

Endeleeni kutuomba pesa, inatufanya tuache umalaya.
 
Sio kweli, mwanaume huwa hachat bali vivulana, mimi binafsi ni muhanga wa mambo haya, nikibadilishana contact...very soon uombaji pesa unaanza hata sijasema chochote.
Yaaaaani hadi kero hata siku au saa halijausha ashakuomba hela tena ataanza na njaaa sijui au saloon balaaa mim hua nawachana ukweli
 
Sometimes hii ni mbinu ya kufukuza wakware, kushinda unatuma tuma mameseji tu kwa mtu na ukute mtu mwenyewe hajakuelewa anakukataa unajifanya king'ang'a hapo inabidi uombwe pesa ili kufukuzwa
Njia rahisi si ni ku block namba ya huyo mkware? Ukimuomba pesa yake si ndiyo unamuwashia taa za kijani?
 
Mie hata akiwa mpenzi wangu kama anaomba omba kila mara atanisikia kwenye bomba. Namshukuru Mwenyezi Mungu sijawahi kuwa na mpenzi wa hivyo ingawa pesa nilitoa bila kuombwa ná zawadi mbali mbali pia nilinunua bila kuombwa ninunulie hiki au nataka kile.

Hawajui tu hawa KE wakati mwingine unaweza kuwa na mtu wa maana mwenye mipango ya muda mrefu na huyo KE lakini omba omba huwakimbiza ME wengi wa maana kwa kuwaona kama wanafanya biashara badala ya kuwa kwenye PENZI.

Sijasoma michango ya wengine but binafsi naona kero kubwa kuombwa hela na mwanamke ambae sio mpenzi wako au hajawa mpenzi bado...

Kuna wanawake akikupa namba ya simu
Next ni kuombwa hela tu..hata hamjawi kufahamiana kabisa..no outing ..
Wala Kula na kunywa pamoja...

Hii naona ni kero sana...
Sioni kero kwa wapenzi tayari ..
 
Back
Top Bottom