Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Mpenzi wako akikuomba 50K utampatia??Mwajuma ganii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpenzi wako akikuomba 50K utampatia??Mwajuma ganii
Wanaendaga saloon? Wananunua gas? Simu zao zinaharibika?Ulishawahi kuwaona wanyama wengine nao wanaombana pesa ?
Kwani kabla ya kupata kishoka alikuwa hafanyi hayo yote?Wanaendaga saloon? Wananunua gas? Simu zao zinaharibika?
Mbuzi wake labda huwa anenda saluni[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaendaga saloon? Wananunua gas? Simu zao zinaharibika?
Yaaaaani hadi kero hata siku au saa halijausha ashakuomba hela tena ataanza na njaaa sijui au saloon balaaa mim hua nawachana ukweliSio kweli, mwanaume huwa hachat bali vivulana, mimi binafsi ni muhanga wa mambo haya, nikibadilishana contact...very soon uombaji pesa unaanza hata sijasema chochote.
Njia rahisi si ni ku block namba ya huyo mkware? Ukimuomba pesa yake si ndiyo unamuwashia taa za kijani?Sometimes hii ni mbinu ya kufukuza wakware, kushinda unatuma tuma mameseji tu kwa mtu na ukute mtu mwenyewe hajakuelewa anakukataa unajifanya king'ang'a hapo inabidi uombwe pesa ili kufukuzwa
Hii 50-50 ya mama mnajifanya hamuioni nyie binadamuSometimes hii ni mbinu ya kufukuza wakware, kushinda unatuma tuma mameseji tu kwa mtu na ukute mtu mwenyewe hajakuelewa anakukataa unajifanya king'ang'a hapo inabidi uombwe pesa ili kufukuzwa
Mpenzi wako akikuomba 50K utampatia??
Ambazo hutakiwi kulalamika ovyo na kuketa threads za makasiriko.ili uwe na hela unatakiwa kuwa na kiasi gani ?
Wafe na sumu ya dudukilaKwahiyo unashauri hapa wote wauwawe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaenda nunulia bia huko[emoji23] ndo wale wa mupe muruke... kuvimba tu kumbe umasikini mpaka pomoniNa aibu hawana mtu unatakaje vitu vizuri vya bure mwanaume kuwa omba omba tu haipendezi kabisa, vizuri vinahitaji matunzo
Mijadala kama hii ndiyo maana inakuwa migumu hatuna criteria zipi ni indicators za mwanamme kuwa na helaHawawezi kujibu hapa, maana hata hao wenyewe hawajui
Inategemeana nini?[emoji23][emoji23][emoji23]inategemeana
Hao wapo sana, wanataka free p.
Sijasoma michango ya wengine but binafsi naona kero kubwa kuombwa hela na mwanamke ambae sio mpenzi wako au hajawa mpenzi bado...
Kuna wanawake akikupa namba ya simu
Next ni kuombwa hela tu..hata hamjawi kufahamiana kabisa..no outing ..
Wala Kula na kunywa pamoja...
Hii naona ni kero sana...
Sioni kero kwa wapenzi tayari ..