Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Yes ila ukiwa hujaamua unawaona wengi Tena unajisemea hata kesho nikitaka kuoa naona tu ... Kuna kazi sana ilinishinda hakika.Aiseh kumpata mke wa kuoa ni big challenge
Ugonjwa upo upi ule wakuisha vidole?Tafadhali ieleweke, ukoma si ugonjwa wa kurithi.
Mycobacterial liprae.
Hujui ata kilichotokea masikini kwa vile swz kuandika sana tu ila survey ya kutosha ilifanyika
Ukoma ni ugonjwa wa kuambukizaUgonjwa upo upi ule wakuisha vidole?
Hata mabinti zetu wnahangaika kupata right partners! Huwezi mpata right candidate bila referenceHabarini,
Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo??
Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?
Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.
Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.
Weekend njema
Tatizo limeanzia kwako, mwanamke ukimtafuta kama unatafuta shilingi utampata ambaye sio sahihi au utamwona kila mmoja hafai.Habarini,
Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo??
Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?
Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.
Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.
Weekend njema
KweliMwanamke hatafutwi unakutana nae tu popote
Hela zangu kweli ni za mawazo, ila dharau na ukali kwakeli hizo ni tabia ambazo sina, hizo tabia labda ni za kina mzabzab wa jf 😁, kwenye kujishusha unamaanisha nini, nipe mfano mmoja wa kujishusha SweetyCandyAcha madharau, jenga heshima kwa wanawake. Usipo fanya hivyo harusi utasikia kwa watu .
Kwanza mkali , hujishushi unataka uheshimiwe hela za mawazo
Ugonjwa ni ugonjwa ...Ukumbuke Afya ni mtaji wako WA kwanza unapokuwa na hali ambayo si nzuri unaweza sababisha meeng baadae ambayo ulitakiwa uyatatue mwanzoniUkoma/"leprosy" ni infectious disease......yaani kama ilivo TB,malaria.......sio genetic disease.....haukumtendea halo huyo binti
Hiyo mentality ya kuwa kanisani Kuna wanawake WA maana wa Kuoa ni Mbaya Sana.. Kuna mishetani mingi Sana ipo makanisani kujificha huko ili yaonekane ya maana lakini kumbe ni madangajiUkishindwa nenda kanisani utapata walau ambaye ana hofu ya Mungu
Binadamu hatujakamilika ila bora ambae pamoja mtasogezana karibu na Muumba kuliko yule ambaye atakuacha unatanga tanga huko kwa mataifa
WeeeeeNenda uchagani mtafute m'machame mmoja vuta weka ndani hutajutia.
HupingiwiHiyo mentality ya kuwa kanisani Kuna wanawake WA maana wa Kuoa ni Mbaya Sana.. Kuna mishetani mingi Sana ipo makanisani kujificha huko ili yaonekane ya maana lakini kumbe ni madangaji
Sasa hao wa kanisani si ndio hao hao wa mtaani anaowasema jamaa au wanatoka mbinguni?Ukishindwa nenda kanisani utapata walau ambaye ana hofu ya Mungu
Binadamu hatujakamilika ila bora ambae pamoja mtasogezana karibu na Muumba kuliko yule ambaye atakuacha unatanga tanga huko kwa mataifa
Mkuu hilo linatukuta wengi sio peke yako aisee.Habarini,