Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Aiseh kumpata mke wa kuoa ni big challenge
Yes ila ukiwa hujaamua unawaona wengi Tena unajisemea hata kesho nikitaka kuoa naona tu ... Kuna kazi sana ilinishinda hakika.

Maana yule unayemuona Sasa ananifaa ukija deal nae zaidi Unakuta siyo.

Mzee alikuwa anatumia wanawake watu wazima ambao Wana miji zao

Na walimhakikishia kama kijana wako anataka mke basi yule pale ila kama ataangalia sura haya binti yule Bado hajajua mwanaume
Nandivyo ilivyokuwa
 
Habarini,

Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo??

Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?

Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.

Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.

Weekend njema
Hata mabinti zetu wnahangaika kupata right partners! Huwezi mpata right candidate bila reference
 
Tatizo limeanzia kwako, mwanamke ukimtafuta kama unatafuta shilingi utampata ambaye sio sahihi au utamwona kila mmoja hafai.

Mwanamke unampata kutokana na mazingira yako, na kwa namna unavyotimiza wajibu wako kijamii na kwako binafsi. Mfano unaweza ukampata mke bar, safarini, kutokana na kazi yako, kanisani n.k. ila usiamke asubuhi ukasema sasa namtafuta mke wa kuoa, utampata muuaji wa maisha yako.
 
Huyo mwanamke ni lazima awe na upendo kwako,akuheshimu,awe anajua maana ya ndoa,ambae ukianguka atakusaidia,yupo tayari kufanya maendeleo na wewe.Kabla hujamchukua angalia historia yake,miaka yake,akili zake,kwao baba yake na mama yake wanaishi pamoja?Ukikurupuke kuoa sababu umemkuta ni mdada mzuri ana kazi ana gari na nyumba ana shepu na whatsoever kuwa makini sana unaweza kuta unaolea watu na hujui.Hapa mjini kuna wadada nawafahamu zaidi ya watatu wanatembea na waume za watu(maboss zao) muda mrefu tu na ndio waliowapa hizo kazi.Imagine unaoa huyu lazima ukubali huyo mwanamke utashare na mwanaume mwingine
 
Acha madharau, jenga heshima kwa wanawake. Usipo fanya hivyo harusi utasikia kwa watu .

Kwanza mkali , hujishushi unataka uheshimiwe hela za mawazo
Hela zangu kweli ni za mawazo, ila dharau na ukali kwakeli hizo ni tabia ambazo sina, hizo tabia labda ni za kina mzabzab wa jf 😁, kwenye kujishusha unamaanisha nini, nipe mfano mmoja wa kujishusha SweetyCandy
 
Ukoma/"leprosy" ni infectious disease......yaani kama ilivo TB,malaria.......sio genetic disease.....haukumtendea halo huyo binti
Ugonjwa ni ugonjwa ...Ukumbuke Afya ni mtaji wako WA kwanza unapokuwa na hali ambayo si nzuri unaweza sababisha meeng baadae ambayo ulitakiwa uyatatue mwanzoni
 
Ukishindwa nenda kanisani utapata walau ambaye ana hofu ya Mungu

Binadamu hatujakamilika ila bora ambae pamoja mtasogezana karibu na Muumba kuliko yule ambaye atakuacha unatanga tanga huko kwa mataifa
Hiyo mentality ya kuwa kanisani Kuna wanawake WA maana wa Kuoa ni Mbaya Sana.. Kuna mishetani mingi Sana ipo makanisani kujificha huko ili yaonekane ya maana lakini kumbe ni madangaji
 
ukifika muda utajikuta tu ushaoa, Hapo utakuwa umejipata Mkuu, nimepitia Ndoa mbili ambazo zilikuwa ni kama daftari la mazoezi nikasema siji kuoa tena. Nimeoa tena. Mambo ni mazuri, najiona mimi, hii ya sasa haina stress labda nivuruge mwenyewe. Ndoa inakuja tu Mkuu
 
Ukishindwa nenda kanisani utapata walau ambaye ana hofu ya Mungu

Binadamu hatujakamilika ila bora ambae pamoja mtasogezana karibu na Muumba kuliko yule ambaye atakuacha unatanga tanga huko kwa mataifa
Sasa hao wa kanisani si ndio hao hao wa mtaani anaowasema jamaa au wanatoka mbinguni?
 
Habarini,

Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo??

Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?

Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.

Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.

Weekend njema
Mkuu hilo linatukuta wengi sio peke yako aisee.
Wanawake wengi waliobaki ni wale wa kuishi maisha ya kuigiza ambao wanawaza maisha ya kuagiza take away kila siku na sio kupika,kununuliwa Iphone za macho matatu kwa ajili ya show off na sio kujenga future,kwenda outing kila wikiendi maeneo ya Sinza/Mlimani city na usipomudu hivyo vitu unaonekana sio mme bora tuna changamoto kubwa sana.
Nakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa mwanamke au mchumba anachunguzwa kwa muda wa mwaka au hata miaka miwili ndio uje kuona dosari lakini siku hizi ile umechukua namba yake ya simu tu kesho anageuka ombaomba kuanza kupiga mizinga,kazi ipo.
 
Back
Top Bottom