Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Hakunaga mwanamke wako peke yako tusijidanganye majamaaa. Uoe mzuri au ng'ong'ozo wote kuchapiwa utachapiwa tuu.
Wee unachopaswa kuzingatia ni kwamba hakunyimi mbususu basi.
Akianza kukunyima mbususu fukuza leta mwengine maana kilichomleta kimemshinda
 
Chukua kitunguu maji kikatekate usipo toa chozi ingia kwenye ndoa ila ukitoa chozi mkuu bado ujapevuka na mambo ya ndoa kausha...

Ndoa....na kifo cha mwanaume vipo karibu sana

Niwape ushauri vijana wenzangu ama niwaache muangamie? Mimi ya kwangu iliyodumu miaka kumi imevunjika juzi tu
So kama uko single na unahitaji kuoa nikushauri kitu cha msingi na cha maisha
Kama mpo tayari mnitag muda wowote nitarudi hapa kumwaga points.
 
Wewe unayejumua ma-afisa utamu wa riverside upate mke mwema?? 🀣🀣🀣
Halafu swala la kununua maafisa utamu nlianza nalo sababu nlikuwa curious, hee mwishowe ndo nimekuwa addicted kabisa, maeneo ya Kona baa, malindi, keko Dodoma, shivaz kote nshapita nao, ubungo riverside sijawahi nunua afisa utamu wa pale ingawa nshawahi pita lakini sikuwahi ona mdada anaenivutia pale riverside, sehem iliokuwa na maafisa utamu wazuri zaidi ni sinza Kona baa Lamomy
 
Sio wamepata watu wa maana ila wameamua kukubaliana na ukweli kwamba wanawake ndivyo walivyo hivyo wakaamua kila mtu akomae na zigo lake.

Mkuu hamna NDOA yenye amani watu wanajituliza tu, Nnje ni rahisi kuona wamebahatika ila ukipewa huyo Mke wake Unamrudsha ndani ya masaa 24 tu.
 
1. Oa rafiki yako
2. Oa MTU ambaye familia zenu yaani WAZAZI wenu hawapishani Sana kiuchumi.
3. Oa MTU ambaye hampishani Sana umri, tofauti iwe angalau miaka miwili mitatu.
4. Usiangalie mavi, sorry, usioe kwasababu ya tako.
5. Sio lazima mke awe na kazi ya kuajiriwa, anaweza kutengeneza pesa nyingi zaidi ukimpa mhradi.
6. Wasikilize wazee maana Kuna Koo au makabila ambayo hawaoani na ukoo/kabila lako.
7. Hata uswahilini Kuna wife material wengi tu. Na hata huku Kimara Kuna wasichana wahuni kibao.
8. Ukioa mnyakyusa, jipange kupokea amri. Ukioa mnyamwezi tegemea kulishwa Ile kitu ya kwao na ukioa muha jiandae kugawana mshahara na waganga. Ukioa mmakonde shauri yako.
9. Fanya makosa yote Ila usije ukaoa single mother, lazima mzazi mwenzake atakumbukia tu,piga ua garagaza.
10. Mwisho kabisa usije ukaoa mwanamke ambaye tayari ana master's degree, labda aje aipate mkiwa wote.
 
1. Muhimu zaidi Oa mwanamke anaekupenda
2. Ukishafanikiwa namba 1 angalia economic and social status ukiweza kuepuka mwanamke anaetoka familia maskin au yeye mwenyewe maskin ni bora zaidi
3 . Ni muhimu kukawa na chemistry/vibe/urafiki baina yenu,
mapenzi yatakapopungua/kuyumba connection will prevaill
4. Muonekano ni muhimu . But it shouldnt come first
NB "A man should master some tricks to make a woman fall and stay in love with him "
 
Dah ,ushauri mzuri.
Kuna madhaifu yanavumilika.

Ila mengine sio poa.
 
You appeared as more of a nice guy to her. It is boring to some women to act too nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…