Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Huyo mwanamke ni lazima awe na upendo kwako,akuheshimu,awe anajua maana ya ndoa,ambae ukianguka atakusaidia,yupo tayari kufanya maendeleo na wewe.Kabla hujamchukua angalia historia yake,miaka yake,akili zake,kwao baba yake na mama yake wanaishi pamoja?Ukikurupuke kuoa sababu umemkuta ni mdada mzuri ana kazi ana gari na nyumba ana shepu na whatsoever kuwa makini sana unaweza kuta unaolea watu na hujui.Hapa mjini kuna wadada nawafahamu zaidi ya watatu wanatembea na waume za watu(maboss zao) muda mrefu tu na ndio waliowapa hizo kazi.Imagine unaoa huyu lazima ukubali huyo mwanamke utashare na mwanaume mwingine
Hakunaga mwanamke wako peke yako tusijidanganye majamaaa. Uoe mzuri au ng'ong'ozo wote kuchapiwa utachapiwa tuu.
Wee unachopaswa kuzingatia ni kwamba hakunyimi mbususu basi.
Akianza kukunyima mbususu fukuza leta mwengine maana kilichomleta kimemshinda
 
Chukua kitunguu maji kikatekate usipo toa chozi ingia kwenye ndoa ila ukitoa chozi mkuu bado ujapevuka na mambo ya ndoa kausha...

Ndoa....na kifo cha mwanaume vipo karibu sana

Habarini,

Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo?

Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?

Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.

Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.

Weekend njema
Niwape ushauri vijana wenzangu ama niwaache muangamie? Mimi ya kwangu iliyodumu miaka kumi imevunjika juzi tu
So kama uko single na unahitaji kuoa nikushauri kitu cha msingi na cha maisha
Kama mpo tayari mnitag muda wowote nitarudi hapa kumwaga points.
 
Wewe unayejumua ma-afisa utamu wa riverside upate mke mwema?? 🤣🤣🤣
Halafu swala la kununua maafisa utamu nlianza nalo sababu nlikuwa curious, hee mwishowe ndo nimekuwa addicted kabisa, maeneo ya Kona baa, malindi, keko Dodoma, shivaz kote nshapita nao, ubungo riverside sijawahi nunua afisa utamu wa pale ingawa nshawahi pita lakini sikuwahi ona mdada anaenivutia pale riverside, sehem iliokuwa na maafisa utamu wazuri zaidi ni sinza Kona baa Lamomy
 
Sio wamepata watu wa maana ila wameamua kukubaliana na ukweli kwamba wanawake ndivyo walivyo hivyo wakaamua kila mtu akomae na zigo lake.

Mkuu hamna NDOA yenye amani watu wanajituliza tu, Nnje ni rahisi kuona wamebahatika ila ukipewa huyo Mke wake Unamrudsha ndani ya masaa 24 tu.
 
Habarini,

Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume wengi tu wako kwenye umri wa kuoa, wana kazi nzuri tu, ila bado wapo single, sawa huenda mimi nina tatizo (personality problem) ndo maana sipati mke, lakini je hata wanaume mabachela naowajua nao pia wote wana tatizo?

Mdada ambaye atakuchukulia kama a friend and a life partner, muanze familia from the scratch hadi mzeeke pamoja, mwanamke ambaye sio lazma awe mzuuuri, awe tu mwenye mwonekano wa kawaida unaoridhisha na tabia inayoridhisha, wanaume wenzangu mliooa wadada wa hivyo, mliwapata wapi?

Huku mtaani all I see ni wadada ambao wanataka ku-suck life out of you wakuache empty, naishia kuona wadada ambao wanataka financial help na sio love.

Mfano imagine unamwita mdada uliezoeana nae tena mnaishi mtaa mmoja, aje barabarani uliposimama mpige tu story, anakuuliza akija utampa nini, na hujamwomba namba na hujawahi mtongoza, u can imagine jinsi wadada wengi walivyo sick kitabia huku mtaani.

Weekend njema
1. Oa rafiki yako
2. Oa MTU ambaye familia zenu yaani WAZAZI wenu hawapishani Sana kiuchumi.
3. Oa MTU ambaye hampishani Sana umri, tofauti iwe angalau miaka miwili mitatu.
4. Usiangalie mavi, sorry, usioe kwasababu ya tako.
5. Sio lazima mke awe na kazi ya kuajiriwa, anaweza kutengeneza pesa nyingi zaidi ukimpa mhradi.
6. Wasikilize wazee maana Kuna Koo au makabila ambayo hawaoani na ukoo/kabila lako.
7. Hata uswahilini Kuna wife material wengi tu. Na hata huku Kimara Kuna wasichana wahuni kibao.
8. Ukioa mnyakyusa, jipange kupokea amri. Ukioa mnyamwezi tegemea kulishwa Ile kitu ya kwao na ukioa muha jiandae kugawana mshahara na waganga. Ukioa mmakonde shauri yako.
9. Fanya makosa yote Ila usije ukaoa single mother, lazima mzazi mwenzake atakumbukia tu,piga ua garagaza.
10. Mwisho kabisa usije ukaoa mwanamke ambaye tayari ana master's degree, labda aje aipate mkiwa wote.
 
1. Muhimu zaidi Oa mwanamke anaekupenda
2. Ukishafanikiwa namba 1 angalia economic and social status ukiweza kuepuka mwanamke anaetoka familia maskin au yeye mwenyewe maskin ni bora zaidi
3 . Ni muhimu kukawa na chemistry/vibe/urafiki baina yenu,
mapenzi yatakapopungua/kuyumba connection will prevaill
4. Muonekano ni muhimu . But it shouldnt come first
NB "A man should master some tricks to make a woman fall and stay in love with him "
 
Mnachagua sana Hadi mnaboa mnasahau kuwa hakuna aliekuwa perfect

Chagua wako hayo madhaifu yake mawili matatu tafuta namna ya kusolve muweke unavotaka hata Hao wakamilifu walikutana na watu wakawaboresha ndio mnaona Leo ni wakamilifu
Msisahau Dua kumuomba Mungu sio mtu ukiamka kazini ukirudi pombe ukichoka kulewa ni kubadili wanawake chukua muda Amka usiku Sali Mungu akupe mtu sahihi
Dah ,ushauri mzuri.
Kuna madhaifu yanavumilika.

Ila mengine sio poa.
 
😁 Almost kila mwanaume ana story inayofanana na hii yangu, huyo bidada ana miaka 29 hajaolewa bado, anadai hana mtoto, kumuuliza why yupo single anasema hajapata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli.

kwa vile nlikuwa nae serious nika play a role of a good man, weeeh

Tangu siku ile nlimkaushia, no kumuomba pussy,no kumpa hela, no kumfaham zaidi ni hi tu, sahiv naona hata nikipost status zangu za Whatsapp haziangalii kama mwanzo, sijui kosa langu ni nini 😃 Kapeace
You appeared as more of a nice guy to her. It is boring to some women to act too nice
 
Back
Top Bottom