suleiman xhaka
Member
- Dec 5, 2024
- 5
- 1
Mambo yanatokea ni mengi na kila mtu na changamoto yake hivo si kila mtu anapenda Hilo litokeeee..Sasa hivi ndio unaona kuna umuhimu wa mtoto kupata malezi ya baba? usimharibie binti wa watu ndoa yake, kwani ameshakuambia anahitaji msaada wa Baba katika kumlea mtoto? ulikuwa wapi siku zote mpaka anaolewa na usimuoe wewe mwenye mtoto?
Aaah we sio wa kujidogodisha bwana!!We haya tu.
Samahani unaushauri mzuri ila mlengwa anataka ushauri wa njia za panyaMimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Sio kidogo, anataka kuharibu ndoa ya binti wa watu wakati hakumuona wa maana alipompa ujauzito, vijana wasiowajibika kwenye makosa yao ni waharibifu san
Mtoto akikua bila shaka utamchukua. Umefikiria itakuwaje kwenye mawasiliano ya wewe na mama yake?Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Tunawasiliana vizuri tu,maana hatuna ugomvi na tulikubaliana mtoto akifikisha miaka 10 ndipo ntamchukua rasmiMtoto akikua bila shaka utamchukua. Umefikiria itakuwaje kwenye mawasiliano ya wewe na mama yake?
Hii silaha umetumia ni nzito sana.Kama unajua kuwa mtoto ana hitaji malezi ya baba na mama kwanini hamkuoana?
itakuwa juu yakeSamahani unaushauri mzuri ila mlengwa anataka ushauri wa njia za panya
Dawa yako ipo jikoni.Aaah we sio wa kujidogodisha bwana!!
Mmmmh ni ngumu sanaKama A alizaa mtoto Q akiwa na X, basi siku X akiolewa mawasiliano yao juu ya mtoto yatakuwa kwa protokoo maalumu, kwamba A akitaka kuwasiliana na X juu ya mtoto Q, yeyote kati yao atakaye initiate mazungumzo atatakiwa kuongea akiwa na mwenza wake wa wakati huo
Shemeji yako Tena, kwani ulimuoa huyo Binti uliyezaa naye???Mtoto anakaa kwa mjomba wake(kwa shemeji yangu)
Bado hujawajua wanawake wakitaka kufanya yao!!Kusiwe na mawasiliano ya moja kwa moja kati ya mzazi na mzazi, tafuteni platform nzuri ya kuwasilisha mahitaji ya mtoto, ila sio kupigiana simu kila mara.
Binafsi kulelewa mtoto na ME wenzangu naona ni kosa kubwa sana mwanaume unaweza kufanya.
Poleni mnaopitia njia hiyo!!
Sasa si anataka damu yake,apewe hakuna shida, kwa std 5 safari ya malezi bado ndefu sana,nae atamlea tu!!Kuna ambao walikataa mimba, mtoto alipozaliwa.... Matumizi hutoi, matusi na masimango kibao....
Leo kijana yupo std 5 unamtaka wa kazi gani.... Unafikiri ni rahisi rahisi kiasi hicho??
Niandalie naisubiri, niinywe ya moto, vuguvugu au baridi..Dawa yako ipo jikoni.
🤣🤣🤣🤣🤣 unachokitafuta, utakipata.Hadi ukiri kwamba ulinikosea, siwezi kukaa kwa utulivu
Ñdio nikipate kwa upesi, huwa sina subra 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unachokitafuta, utakipata.