Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

Sasa hivi ndio unaona kuna umuhimu wa mtoto kupata malezi ya baba? usimharibie binti wa watu ndoa yake, kwani ameshakuambia anahitaji msaada wa Baba katika kumlea mtoto? ulikuwa wapi siku zote mpaka anaolewa na usimuoe wewe mwenye mtoto?
Mambo yanatokea ni mengi na kila mtu na changamoto yake hivo si kila mtu anapenda Hilo litokeeee..
 
Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Samahani unaushauri mzuri ila mlengwa anataka ushauri wa njia za panya
 
Utakuwa unaishi na single mother pole , mnambiwa single mother haolewi hamsikii sasa una pressure kubwa aise
Sio kidogo, anataka kuharibu ndoa ya binti wa watu wakati hakumuona wa maana alipompa ujauzito, vijana wasiowajibika kwenye makosa yao ni waharibifu san
 
Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja
Mtoto akikua bila shaka utamchukua. Umefikiria itakuwaje kwenye mawasiliano ya wewe na mama yake?
 
Kama A alizaa mtoto Q akiwa na X, basi siku X akiolewa mawasiliano yao juu ya mtoto yatakuwa kwa protokoo maalumu, kwamba A akitaka kuwasiliana na X juu ya mtoto Q, yeyote kati yao atakaye initiate mazungumzo atatakiwa kuongea akiwa na mwenza wake wa wakati huo
Mmmmh ni ngumu sana
 
Mtoto anakaa kwa mjomba wake(kwa shemeji yangu)
Shemeji yako Tena, kwani ulimuoa huyo Binti uliyezaa naye???

So dada zako wanamuita wifi na dada za mume wake wanamuita wifi pia au imekaaje hio.
 
Kusiwe na mawasiliano ya moja kwa moja kati ya mzazi na mzazi, tafuteni platform nzuri ya kuwasilisha mahitaji ya mtoto, ila sio kupigiana simu kila mara.

Binafsi kulelewa mtoto na ME wenzangu naona ni kosa kubwa sana mwanaume unaweza kufanya.

Poleni mnaopitia njia hiyo!!
Bado hujawajua wanawake wakitaka kufanya yao!!
 
Kuna ambao walikataa mimba, mtoto alipozaliwa.... Matumizi hutoi, matusi na masimango kibao....

Leo kijana yupo std 5 unamtaka wa kazi gani.... Unafikiri ni rahisi rahisi kiasi hicho??
Sasa si anataka damu yake,apewe hakuna shida, kwa std 5 safari ya malezi bado ndefu sana,nae atamlea tu!!
 
wengine tushapita hizo zama, mtoto yupo 21+ huko ana uamuzi wake tayari, ananikera tu kuomba omba pesa akati kwa baba ake simfikii hata nusu, sjui anahonga mabinti?[emoji19]
 
Back
Top Bottom