suleiman xhaka
Member
- Dec 5, 2024
- 5
- 1
Mambo yanatokea ni mengi na kila mtu na changamoto yake hivo si kila mtu anapenda Hilo litokeeee..Sasa hivi ndio unaona kuna umuhimu wa mtoto kupata malezi ya baba? usimharibie binti wa watu ndoa yake, kwani ameshakuambia anahitaji msaada wa Baba katika kumlea mtoto? ulikuwa wapi siku zote mpaka anaolewa na usimuoe wewe mwenye mtoto?